Wakuu,
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Chacha Makuri, ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akieleza kuwa hatua hiyo imesukumwa na dhamira ya kweli ya kulitumikia taifa kupitia jimbo hilo muhimu kwa maendeleo ya wananchi...