Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Oganaizesheni, Issa Usi Gavu, akiwa kwenye mkutano wa wana CCM Rorya amesema; "mwongozo uko wazi CCM, fanya kosa lolote tutakusamehe, kosa la usaliti hatuna msalia Mtume. Ukitusalitu hatutakusamehe, hatutokusahau, tutakuchukulia hatua."
Akiongeza kuwa, wanaamini wao ndio waliopewa dhamana ya kuongoza chama hicho kwa kiamini kwamba kila mmoja wao ana waki na wajibu sawa sawa na wengine, na hakuna matabaka kati yao, kwamba bilionea na yule masikini wote wana haki sawa. Hivyo wasipoteza heshima waliopewa kama chama cha siasa kilichopewa ridhaa nchini, na hawataweza kufanikiwa kama sio wamoja.
(Hii itakuwa ndio maana Nape, Makamba, yule UVCCM wa geita, na DC Longido wamechakazwa shwaaaaa! Kwahiyo akifanya kingine hata kuua ilimradi kwa maslahi ya chama ni hewala?)
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Bw. Gavu amesisitiza pia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa waache chuki baina yao, ili waweze kushinda wapinzani wao kwa kishindo.