kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. musicarlito

    PreGE2025 CCM huwa mnawatumia akina Butiku na Warioba kwenye kuimarisha chama?

    Mara nyingi wazee hawa wakitoa neno kwa nia njema ya kuboresha, wamekua wakibezwa na wakati mwingine hata kukogeshwa matusi, wengine wamewahi kupigwa pia Chama sasa miaka yetu hii imekua ni mwamvuli wa kupiga/ kuhujumu nchi kwa maslahi binafsi...ndio maana utakuta vijana (akina Jaji Sinde...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Godbless Lema: Mbowe alitaka kugombea Urais 2025

    Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA amesema Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), alitaka kugombea Urais 2025 Soma, Pia: Godbless Lema: Uchaguzi 'huru na haki', umeongeza heshima kwa Mbowe
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Godbless Lema: Uchaguzi 'huru na haki', umeongeza heshima kwa Mbowe

    Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA. "Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Mbowe atoa neno baada ya matokeo, awaagiza wateule kufanya upatanisho

    Wakuu, Mbowe atoa neno baada ya Lissu kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya Taifa, anza kwa kushukuru Mungu kwa zoezi zima kwenda vizuri bila ya kuwa na changamoto yoyote na kujenga chama chenye heshima, hadhi, maono, chama kilichojaa matumaini ya wote wanaoitamani kesho iliyobora zaidi. Mbowe asema...
  5. Cute Wife

    PreGE2025 Lissu aongea baada ya ushindi CHADEMA, asema Mbowe aliahidi uchaguzi wa huru na haki na ametenda

    Mshindi wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ametoa kauli yake ya kwanza baada ya Mpinzani wake Freemn Mbowe kukubali matokeo hata kabla hawajafika ukumbini, kwa kutweet. Lissu amesema wameweka a golden satndard, ambapo chama chochote nchini wameambiwa kama wanawaweza wafikie...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Watanzania wabubujishwa na machozi ya furaha na matumaini kwa ushindi wa Lissu. matumaini kwa upinzani kurejea?

    Wakuu, Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake. Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya kutokuwa na mgombea aliyefikisha zaidi ya 50%

    Wakuu, Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi. Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo yanatakiwa kunangazwa yote huku nafasi ya Mwenyekiti ikiwa ni ya mwisho. Pia soma: LIVE - Pre GE2025 -...
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Wazee wa kubeti na Ban huu Uchaguzi hamuuoni? Au ndio hamuamini timu zenu?

    Wakuu, Majibu ya kura yanatangazwa muda wowote kuanzia sasa, baada ya zoezi kufanyika usiku kucha. Wale wazee wa kuomba ban mko wapi? Mbona hatuwaoni, hamuamini team zenu kabisa? Ombeni basi tuwaite mods muda ukifika :BearLaugh: :BearLaugh: . Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Mbali na legacy Mbowe ana nini cha kuwafanyia CHADEMA?

    Wakuu, Mbowe amekuwa kama Sukuma gang lia lia, kazi ni kuongelea legacy tu, utafanyia nini chama.... aaah unajua nimetoa damu na kamasi kwenye chama hiki, nipeni niwaongoze tena :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKLaugh: Mchango tumesikia hadi tumechoka, afu sio yeye tu ndio amejenga...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Mwenyekiti Uchaguzi CHADEMA: Wajumbe wasiruhusiwe kuwa na simu wakipiga kura, kura ikiwa na alama isihesabiwe

    Wakuu, Kumbe suala la kuweka alama lilikuwa kweli bwana. Mwenyekiti wa Uchaguzi CHADEMA Frank Mwakajoka amesema amepokea kikaratasi chenye ujumbe kilichokuwa na mapendekezo ili kunyoosha zoezi la uchaguzi liende vizuri. Pia soma: Pre GE2025 - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Ndio kwanza wanahakiki majina, bado wagombea kujinadi ndio zoezi la kura lianze! Wanatoboa kweli leo?

    Wakuu, Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo kwenye orodha, hapo inabidi wajadili tena ili naowahakikiwe. Kupoteza muda tu. Wakimaliza kuhakiki...
  12. M

    PreGE2025 Ushiriki mdogo wa wanawake nafasi za Uongozi CHADEMA unakwamisha juhudi za kufikia usawa wa kijinsia kwenye demokrasia

    Wakuu, kama mnavyojua, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya chaguzi mbalimbali kuanzia ngazi ya Kanda hadi Taifa. Jambo moja lililonivutia kufikiria kwa kina ni ushiriki mdogo wa wanawake katika nafasi za uongozi. Hili ni tatizo linalozidi kuathiri usawa wa kijinsia katika siasa...
  13. M

    PreGE2025 Wanawake katika Uongozi ni chachu ya kufikia Dunia yenye usawa

    Pili Said Mohamed, ni Diwani wa Wadi ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, simulizi yake katika harakati za uongozi inaonesha historia ya kipekee katika safari za Wanawake wengi wenye ndoto za uongozi visiwani Unguja. Pili ambaye alianza harakati za Siasa Mwaka 2020 akiwa Mwanachama hai...
  14. N

    PreGE2025 Bahati Issa Suleiman: Wanawake wanaotaka kuingia kwenye Uongozi wasiwe na hofu, ni haki yao Kikatiba

    "Inaonekana hali ya kisiasa itakuwa ngumu na huenda hali hiyo ikasababisha Wanawake kutokugombea kwa hiyo lazima kuwajengea uwezo." Hayo yalizungumzwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Victoria Luhiri tarehe Febuary 14, 2019 katika mdahalo wa ushiriki wa Wanawake kwenye Uongozi...
  15. Roving Journalist

    PreGE2025 TANESCO yaeleza sababu ya umeme kukatika Mliman City wakati Lissu akihutubia kwenye Uchaguzi wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA UPATIKANAJI WA HUDUMA YA UMEME KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Jumanne, 21 Januari 2025 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kwamba hali ya upatikanaji wa huduma ya umeme katika Mkoa qa Dar es Salaam ni nzuri kwa ujumla licha ya kuwa na maboresho mbalimbali ya...
  16. Mindyou

    PreGE2025 Hotuba ya Lissu Uchaguzi Mkuu CHADEMA: Asema amekuwa na Mbowe kwa zaidi ya miaka 20 bila kugombana, amshukuru

    Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye mkutano mkuu ambao utaenda kuamua nani atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Lissu amshukuru Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe kwa kufanya nae kazi kwa kipindi cha miaka 20, licha ya kutofautiana kimitazamo lakini amekiri hawajawahi kugombana. "Mheshimiwa mwenyekiti...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Hotuba ya Mbowe Uchaguzi Mkuu CHADEMA: Bora alivyokimbia Mdahalo maana Lissu angemvua nguo kweupe!

    Wakuu, Lissu amepiga hotuba moja safi sana, Mbowe karudi kule kule kuanza kuanza kuongelea historia ya chama, mara kusifia wafanyabiashara (wanaompa hela za kuhonga wajumbe :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:), mara aanze kupiga majungu kuhusu matusi kwenye chama, yaani bure kabisa. Ndio maana...
  18. Erythrocyte

    PreGE2025 Tanesco yadaiwa kuhujumu Mkutano Mkuu wa CHADEMA. Yakata umeme Lissu akihutubia

    Inadaiwa wanakata umeme na kuwasha mara kwa mara Taarifa hii ni kwa Mujibu wa Katibu Mkuu wa Chadema aliyoitoa Ukumbini hapo. Nashauri wazime umeme wa Tanesco wawashe Generator. Kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu M/kiti fuatilia LIVE - Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya...
  19. Cute Wife

    PreGE2025 Hilda ahoji mapenzi ya Polisi kwa CHADEMA yanatoka wapi wakati wakiwa kwenye mikutano yao au maandamano huwapiga virungu?

    Wakuu, Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha? "Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16 ambazo zimejaa Polisi wenye silaha, najiuliza huu urafiki wa Polisi na Chadema umeanza lini? Pia...
  20. Abraham Lincolnn

    PreGE2025 Kwanini TBC hawarushi Live Mkutano Mkuu wa CHADEMA? Je, hiki ni chombo cha CCM au Watanzania wote?

    Inasikitisha sana kuona chombo kikuu cha habari hapa nchini, kikifanya ubaguzi kwa walipa kodi ambao kimsingi ndiyo chanzo cha uwepo wa chombo hicho. Uchaguzi wa CHADEMA, soma Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5% Mimi nikiwa kama Mtanzania ambaye...
Back
Top Bottom