kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PreGE2025 Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao!

    Wakuu, Hawa watu hata matambara ya kudekia hatoshi kuelezea upumbavu huu wanafanya na hizo poda zilizojaa kwenye vichwa vyao, maana matambara yanasaidia kufanya usafi vizuri na kuhakikisha sehemu inakuwa safi kuliko hawa wapuunzi ambao wapo hapo kwaajili ya kula matapishi na chochote...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Dkt. Slaa akosa dhamana, kuendelea kusota rumande hadi Januari 23, Kesi ya kusambaza taarifa za Uongo mtandaoni

    Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam kuahirisha Kesi yake ya kusambaza taarifa za...
  3. W

    PreGE2025 Baada ya Mbowe kukacha mdahalo, Lissu asema ingependeza kama mdahalo ungewahusisha wote watatu

    "Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti' ni utamaduni wa kisiasa unaopaswa kujengwa na kukuzwa kama sehemu ya ujenzi wa utamaduni wa...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Mbowe: Lissu kusema hajui nilichozungumza na Rais ni Umbea

    Wakuu, Wakiwa kwenye vikao wanatabasamu na kucheza pamoja, wakitoka hapo ni spana kwa kwenda mbele! Ni huzuni! :PepeHands: :KEKLaugh: "Taarifa kwamba sikusema nilichozungumza na Rais ni umbea, na unapoona kiongozi mwandamizi kama kweli amesema..mimi sijasikikia ila kama kweli amesema...
  5. figganigga

    PreGE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

    Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360, Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi. Yaonekana alikuja na...
  6. Mindyou

    PreGE2025 Ezekiel Wenje: Dkt Slaa alikuwa anataka aifute CHADEMA kwa msajili wa vyama. Leo Lema na Lissu wanataka arudishwe kamati kuu

    Wakuu, Wenje amesema kuwa Dkt Slaa kupitia kitabu chake cha "Nyuma Ya Pazia" alisema kuwa CHADEMA ni chama cha kigaidi hivyo kuleta uezekano wa chama hicho kufutwa na msajili wa vyama kwa tuhuma za ugaidi. Wenje amesema kuwa inakuwaje Lissu na Lema wanataka kumrudisha mtu kama Dkt Slaa kwenye...
  7. Cute Wife

    PreGE2025 Lema: Wajumbe mkipewa pesa au chakula chukueni kwenye kupiga kura wachinjeni. Mchagueni Heche kwenye Umakamu Uenyekiti

    Lema awaambia wajumbe yeyote anayewashawishi kwa pesa na kutaka kuwafungia chakula wachukue halafu wakishakua waende kwenye kuwachinja kwenye uchaguzi. Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-namuomba-mbowe-apumzike-amuachie-lissu-afanye-kazi-ya-uenyekiti-chadema.2297060/...
  8. Cute Wife

    PreGE2025 Lema: Ukiona mtu anataka kununua uongozi ambao hauna mshahara jua kuna mshahara analipwa kwaajili ya uongozi huo

    Wakuu, Lema anazidi kutema cheche kwenye mkutano wake na waandishi wa habari leo Januari 14, 2025, asema ukiona mtu anataka kununua uongozi akiwa mwenyekiti wa CHADEMA au kiongozi mwingine, kwa uongozi ambao hauna mshahara jua kuna mshahara analipwa kwaajili ya uongozi huo. Pia soma: Pre...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025

    Januari 13 na 16, 2025, mabaraza ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha) na wanawake (Bawacha) yanafanya uchaguzi wa kupata viongozi wake, huku makundi mawili kwenye Uchaguzi ngazi ya Uenyekiti kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu yakitarajiwa kuibua...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Mtanzania anatekwa nchi jirani hakuna tamko lolote kutoka serikali ya Tanzania, hii ina maana gani?

    Wakuu, Toka tukio la utekaji wa Maria limetokea jana Januari 12, 2024, akapatikana, akatoa statement kwa ufupi na kusema ataongea vizuri leo hakuna neno lolote kutoka serikali ya Tanzania kuhusu utekaji huo uliofanyika kwa majirani zetu! Soma Pia: Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Kesi ya Dkt. Slaa yapigwa kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025

    Kesi ya Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76), imepigwa Kalenda hadi tarehe 17 Januari 2025 baada ya kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Januari 10, 2025 kujibu shtaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa X (zamani twitter). ================ Wakili Peter Madeleka...
  12. Cute Wife

    PreGE2025 Mbowe: Kuna kitu nataka nikisukume, wanaotamani nipumzike huruma inatoka wapi?

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa kwenye mahojiano na BBC amesema; "Leo Mbowe wa 2025 nina uwezo mkubwa wa kiakili, uzoefu wa kunitosha, nguvu, lakini zaidi nina adhma, dhamira, nina ndoto, nina ndoto ninayotaka kuifikia, kuna kitu nataka nikisukume. Utafika tu wakati ambako...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Musiba alihoji Sarungi na Kabendera wangekuwa Rwanda au Uganda wangeachwa waichafue serikali? Maneno yake yamefanyiwa kazi?

    Wakuu, Katika mahojiano aliyofanya siku tano zilizopita Musiba alisema kuna vikundi ambavyo angependa kuishauri serikali ya Tanzania kwa jicho la tatu, kwani si wema na wameanza harakati za kuchafua na kuharibu taswira ya nchi yetu, ambapo kuna makachero wanaoshirikiana nao ili kukamilisha...
  14. W

    PreGE2025 Mbowe: Magufuli aliniambia niachane na CHADEMA, na atanirudishia kila kitu changu kilichopotea au cheo chochote

    "Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu" "Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema nitakurudishia mali zako zote zolizochukuliwa na utake biashara au cheo chochote nitakupa" - Freeman...
  15. W

    PreGE2025 Mbowe: Kipindi cha Magufuli biashara zangu ziliharibika nikaomba likizo kutoka Chadema ili niweke mambo yangu sawa wenzangu wakanikatalia

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  16. W

    PreGE2025 Mbowe: Si kweli kuwa Chadema hakuna ukomo wa uongozi

    "Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama," "chama chetu kimeweka ukomo wa...
  17. W

    PreGE2025 Mbowe: CHADEMA ni kubwa kuliko mtu yeyote

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema "Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama. Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
  18. W

    PreGE2025 Kigwangalla asema aliyoyafanya Lissu kwa Zitto Kabwe takribani miaka 11 iliyopita yamemrudia! Hatoboi huu uchaguzi, Je ataenda CCM? CUF au NCCR?

    Dr. Hamis Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa X ameandika Mhe. Lissu hatoboi huu uchaguzi. Last two weeks akizungumza kwenye Space/Clubhouse nilimsikia akisema yeye hatoondoka CHADEMA, namnukuu “I ain’t going nowhere…” Akasema tena situation yake na ya Mhe. Zitto ziko tofauti sana, akidai kuwa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Utekelezaji wa ahadi, Uzinduzi wa Miradi na utatuzi wa ghafla wa kero za wananchi

    Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa Mji wa Chalinze. Akizungumzia na wakazi wa Kata ya Msata leo Jumatano Januari 8, 2025 alipotembelea...
  20. Don Gorgon

    PreGE2025 Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025?

    Tangu Rais Samia alipopokea kijiti cha uongozi wa nchi mwaka 2021, amesifiwa na baadhi ya Watanzania kama Mama mwenye moyo wa ukarimu, hususan katika kujitoa kwa hali na mali pale anapodhani anaweza kusaidia kwa kutumia fedha ili kuhakikisha mambo fulani yanaenda vizuri. Wanaona kuwa huu ni...
Back
Top Bottom