Mbunge wa Viti Maalum Jesca Kishoa, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge wa Jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Kishoa amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025, katika Ofisi za CCM Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida.
Hatua hiyo ya Kishoa inakuja ikiwa ni mwezi...