“Hawa polisi wajue kitu kimoja, wewe unaweza kuwa OCD leo, mimi leo naweza kuwa Mbunge napiga maneno tu, au mwingine akawa Mbunge, lakini kesho mimi ndiye Rais – ndiye ninateua IGP, ndiye ninayeamua pensheni zenu. Polisi wekeni akiba,” amesema
Zitto amesisitiza kuwa CCM haitadumu madarakani...