kueleka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Gulamali apendekeza moja Shule Nzega Vijijini ipewe jina la Dkt. Kigwangala

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Seif Khamis Gulamali Amuomba Waziri Mkuu Shule moja jimbo la Nzega Vijijini ipewe jina la Mbunge wao Dkt. Khamis Kigwangala. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  2. Chizi Maarifa

    PreGE2025 Wassira pumzi imekata Hoiiiiiii! ataweza heka heka za Kampeni kweli?

    Wakati kuna vijana wanabubujikwa na machozi ya furaha humu kila siku.... wanajitahidi kwa kila siku kuanzisha nyuzi hadi 5 kutetea matamko na viongozi then nafasi nyeti anaenda pewa BaBu Wassira... Ukimtafuta kwa sasa unamwona tayari ameshachoka pumzi imekata. imekata mapema sana. Mzee ataweza...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Baraza la Madiwani halmashauri ya wilaya ya Ludewa lapitisha azimio la kugawa Jimbo la Ludewa kuwa Mawili

    Baraza la Madiwani la halmashauri ya wilaya ya Ludewa sambamba na kamati ya Ushauri wilaya limepitisha azimio la kugawa Jimbo la Ludewa na kuwa majimbo mawili ya uchaguzi ili kuweza kusogeza huduma kwa wananchi kwa urahisi zaidi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya mnamo Februari 2,2025 Tume Huru ya...
  4. B

    PreGE2025 Wakati ambao Watanzania wanakabiliana na Hali mbaya ya kiuchumi, Serikali ya CCM inaongeza majimbo, 2015 iliongeza majimbo 25

    Tanzania Chini ya Uongozi wa Serikali ya CCM itaendelea kupiga MatchTime. Yaani kwenda mbele na nyuma huku hali za wanyonge zikiendelea kudidimia siku hadi siku. Inasikitisha sana kuona viongozi tulionao wanaona ni sawa kuongeza nafasi za vyeo na wala sio nafasi za Fursa za kiuchumi uwekezaji...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga lathibitisha kukamatwa kwa kada wa CCM Swahibu Juma

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema linamshikilia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani humo Swahibu Juma Mwanyoka kutokana na tuhuma zilizoripotiwa. Katika taarifa iliyotolewa na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi leo Jumatano Machi 12,2025 imeeleza...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 DC Lindi Victoria Mwanziva aendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi na kusikiliza changamoto za Wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Victoria Mwanziva ameendelea na ziara ya Kata kwa Kata katika Wilaya ya Lindi; na ziara hii inafanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo na imetoa uwanda mpana wa kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amesema mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Gulamali: Jimbo letu tumeondoa ziro, sasa hivi tuna one. Asante kwa Rais Samia

    Mbunge wa Manonga Self Hamis Gulamali akieleza namna serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ilivyoleta maendeleo jimboni kwake. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  9. Mindyou

    PreGE2025 CCM waweka ukomo nafasi za Ubunge na Udiwani Viti Maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM

    Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM na jumuiya zake kwa nafasi za Wilaya na Mikoa
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM Dodoma: CCM ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma Abdulhabib Mwanyemba amewaasa Watanzania kikupigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania. Pia amesema umoja huo hauko tayari kuona...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makalla Jimbo la Kigamboni mmezidi kujipitisha, msipojirekebisha tutawaengua

    Minyukano ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), inayoendelea kupigania Jimbo la Kigamboni imeuibua uongozi wa Chama hicho unaodai haufurahishwi na vitendo hivyo huku ukiahidi kuwashughulikia iwapo hawata jirekebisha. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 PSSSF na AICC kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KMICC) kati ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Singida: Mitungi zaidi ya 29,000 yatolewa kwa bei nafuu

    Katika kilele cha siku ya Wanawake Duniani Mkoa wa Singida, imeunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan za kupambana na matumizi ya nishati chafu na kuhamia kwenye nishati safi, kwa kutowa mitungi zaidi ya 29,000 kwa wanawake wa Mkoa wa Singida kwa bei nafuu ambayo ita...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA Sharifa: CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    “Nipende kumwambia Chatanda, CHADEMA ni chama chenye viongozi makini wanaojitambua wenye uwezo mkubwa wa kiakili na ubora unaojulikana ndani na njee ya mipaka ya Taifa hili.” Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  16. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Kanyasu aeleza Mafanikio ya uongozi wake katika Jimbo la Geita

    Mbunge Kanyasu Aeleza Mafanikio na Changamoto za Maendeleo Jimboni Geita Mbunge wa Jimbo la Geita, Costantine Kanyasu, amesema zaidi ya zahanati 40 zimejengwa katika jimbo hilo katika kipindi cha uongozi wake. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  17. Erythrocyte

    PreGE2025 CHADEMA yatangaza kumnyang'anya Rais Samia Tuzo aliyopewa na BAWACHA

    Taarifa hii kabambe na ya Kusisimua imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kwenye Kongamana, Wanawake la Kidunia lilofanyika Kitaifa Mlimani City D'Salaam. Jambo hili likifanyika litatengeneza rekodi ya Dunia kwa Rais wa Tanzania kuwa Kiongozi wa kwanza wa Ngazi ya Juu Duniani...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wanawake wa jamii ya kihadzabe: Tunatamani sana kumuona Rais Samia, tumweleze tunavyoishi maisha magumu sana

    Wanawake wa Jamii ya wahadzabe wanaoishi katika eneo la Eyasi wilayani Karatu Mkoani Arusha wamepaza sauti katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kwa kumuomba Rais Samia Suluhu awasaidie wapate ardhi,maji,chakula na kuzuia uvamizi wa maeneo yao. Katika mdahalo uliofanyika katika Kijiji...
  19. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Aesh Hilaly aahidi kutoa mabeseni 100 kwa kila Kituo cha Afya Sumbawanga Mjini

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ameahidi kukabidhi mabeseni Mia Moja (100) kwa kila kituo cha Afya kilichopo katika Jimbo la Sumbawanga Mjini. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti CCM Rukwa ampongeza Mbunge Aesh Hilaly kwa Usikivu na Kujali Wananchi

    Mwenyekiti wa CHama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Rukwa Bi. Silafu Jumbe Maufi amemtaja Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly kuwa Mbunge Msikivu na anayewajali wananchi waliompa dhamana ya kuwaongoza. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
Back
Top Bottom