kudai haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  2. K

    Wakili Amon Mpanju: Kama hakuna amani utawezaje kudai haki na kutimiza wajibu wako?

    “Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake...
  3. M

    PostGE2025 Njia za kudai haki kutoka kwa watawala zipo nne(4) kati ya hizo mbili (2) ndio pekee tu

    Wajumbe sina mengi moja kwa moja kwenye mada 1.Maandamano ya amani yasiyo koma ambayo mpaka sasa haya wezekani ,kwa kuwa JESHI LA WANANCHI, JESHI LA POLISI NA USALAMA WA TAIFA hawapo upande wa haki .Wapo kumlinda mtawala. Kufanikiwa katika hili ni asilimia ndogo sana 2.Jeshi la wananchi (jwtz)...
  4. T

    Wakina mama, kesho ni siku yenu ya kudai haki juu ya dhuluma na ukatili uliofanywa kwa watoto wenu

    Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke mwenzenu D9 ni siku yenu ya kupigania damu ya watoto wenu iliyomwagika mbele ya macho yenu wakipania...
  5. Kipenzi Changu

    Ridhiwani apigiwa wimbo wa kudai haki kwenye mahafali, akerwa

    Hivi kwa nini HAKI inakuwa kero kwa wengine, kwani HAKI ina ubaya gani? Kwa nini upende amani bila HAKI?
  6. Genius Man

    Madowo: Serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja

    Madowo: serikali ya Tanzania ilikataa kutoa ufafanuzi wowote kuhusiana kilichotokea oct 29 lakini baada ya CNN kutangaza dunia ndio wamekuja. #D9
  7. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Rais Samia: Naambiwa kwamba vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa kwanza ndipo wakaingia

    Leo Novemba 20, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassani katika uzinduzi wa tume huru ya uchunguzi wa vurugu za uvunjifu wa amani uliojitokeza siku ya uchaguzi mku Oktoba 29, 2025 ameeleza kuwa walioingia barabarani na kudai haki walikuwa wamelipwa na NGO za ndani na za...
  8. Carlos The Jackal

    Kwa Afrika waasi ni wazalendo wa nchi zao waliovikwa ubaya mara baada ya kuanza kudai haki zao

    Huu ndio Ukweli !! Wanaweza wakawa ni wengi au wachache ila lengo lao ni HAKI ZAO TU. Wanapopuuzwa, ndio huamua kudai Haki zao Kwa namna wawezavyo. Baada ya hapo, hutangazwa kua ni Waasi.
  9. Keynez

    Mambo haya yafanyike ili kujipanga upya kwa Season 2 ya kudai haki na demokrasia ya kweli nchini

    Maandamano ya tarehe 29/10/2025 yalienda kinyume cha matarajio ila kuna upande yamefanikiwa. Sitaenda ndani sana kwenye uchambuzi huo kwa sasa ili naomba nielezee nini kifanyike kuanzia sasa ili nafasi nyingine ikipatikana iwe bora zaidi. 1. Ni muhimu kuwa na viongozi on the ground. Hawa...
  10. R

    GE2025 Jeshi la Polisi yakanusha video ya Wamasaai Kuandamana kudai haki zao Arusha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha". Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...
  11. B

    Jaji Warioba: Wasilaumiwe watakaoingia barabarani kudai haki zao walizonyinyimwa!

    Kauli thabiti: “Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona...
  12. Fascinating

    Huyu Mchungaji, anafanya uchochezi au anatimiza wajibu wake kiimani?

    Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt. Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
  13. H

    Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

    Mchungaji amesema kuwa hana neno na wazee, ana shida na vijana. Asema vijana wa nchi hii ni foolish, hawawezi hata kusoma katiba na kudai haki zao, vijana wanahongwa elfu 5, tshirt, nyama na wali, baiskeli, eti ndiyo wakapige kura. Vijana hawa ni foolish. Anasema neno la Mungu linasema vijana...
  14. mkokamoto

    Swali: Kabla ya kuwalalamikia watanzania kuwa waoga wa kudai haki zao; Je, ni kweli wanajua wanahitaji hizo haki?

    Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
  15. H

    Watanzania wanaogopa kufa kwa kudai haki zao wakati walishakufa

    Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa. Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za udikiteta .
  16. Prof_Adventure_guide

    Wafanyakazi wa Mlima Kilimanjaro: Jiungeni Sasa Kudai Haki Zenu Kisheria Kupitia Mountain Workers Advocacy Union (MWAU)

    Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali inayokiuka haki zao za msingi kazini. Kwa mujibu wa Employment and Labour Relations Act, 2004, Kifungu...
  17. H

    Watanzania wameamua kutumia njia za amani kudai haki zao, lakini watawala wanatumia Maguvu kuharibu Amani

    Mpaka sasa, hakuna mwananchi hata mmoja, hakuna chama cha siasa chochote cha upinzani hata kimoja, wala hakuna taasisi hata moja, imetumia nguvu kudai haki za kikatiba zinazogandamizwa nchini. Jambo la kusikitisha ni kuwa madai hayo ya haki za msingi za kikafiba za wananchi, yanayofaiwa kwa...
  18. Carlos The Jackal

    Waislam walofanikiwa Kua na Elimu Dunia wengi wanakubaliana na TEC kudai Haki

    Unaweza jiuliza, TEC mbona hawajazungumzia Udini wa MTU, TEC na Maaskofu na Manabii wengineo , wao wanataja neno "HAKI HAKI HAKI". Ila Hawa wenye kuponda Elimu Dunia , huku vichwan wamejaza Elimu Dini, kwenye kujibu utawasikia majibu Yao ni mawili tu 👉Kwakua Rais ni Muislam 👉 Angekua Mkristo...
  19. Bushmamy

    DOKEZO Kilimanjaro: Walimu wadai kudhalilishwa na Afisa elimu kwa kuambiwa kuwa hata Mahari hawajawahi kumaliza. Kisa kudai haki yao

    Baadhi ya walimu wa shule ya msingi waliohamishwa katika shule mbali mbali katika wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamesikitishwa na kauli iliyotolewa na Afisa elimu wa wilaya hiyo kuwa hata mahari yenyewe hawajamalizaga kulipa kwa hiyo hata malipo yao watalipwa kidogo kidogo. Walimu hao...
  20. L

    Hivi Mhe.Rais akiamua na yeye kwenda Mahakamani kudai haki yake ya kubaguliwa na Mbowe na Lissu kwenye majukwaa ya siasa c itakuwa balaa

    Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais. Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi, kama ningekuwa mm hakyamungu ningewaongoza kama Niccolo Machiaevell vile. Rais ni kiongozi wa nchi lkn...
Back
Top Bottom