kudai haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

    Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali. SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana. Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao...
  2. realMamy

    Mwanamke Akianza kudai haki zake, huonekana ana kiburi.

    Hususan Maeneo ya Vijijini na hata baadhi ya Familia Mjini Mwanamke akianza kutambua na kudai haki zake huonekana ana kiburi sana. Halafu cha kushangaza sasa unakuta wanawake ndio wa kwanza kuanza kukandamiza haki ya Mwanamke mwenzao ili mradi tu na wao wasionekane wabaya. Mwanamke huyu...
  3. Erythrocyte

    Wakili Sweetbert Nkuba kupinga ushinda wa Wakili Boniface Mwabukusi kuwa Rais wa TLS

    Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Rais wa chama cha Wanasheria nchini TLS, Wakili Sweetbert Nkuba amekataa kutambua ushindi alioupata mpinzani wake wa karibu Mwabukusi kwa madai ya ukiukaji wa mwenendo wa uchaguzi. Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274...
  4. Return Of Undertaker

    Jomo Kenyatta(RIP): Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao

    Jomo Kenyata alishawai kusema: "Waganda ni sawa na wagonjwa wanaweza kupona mda wowote na wakadai vyao, Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao, Ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao.
  5. realMamy

    Kijana dai haki kwa kutimiza wajibu wako

    Niwakumbushe tu vijana wa kudai haki zenu hakikisha unatimiza wajibu wako. Mfano kama ulisomeshwa vizuri na wazazi wako na wewe ukatimiza ushauri wa wazazi wako na ukakosa ajira ni haki yako kudai haki. Kama unafuata sheria za nchi kama katiba inavyoeleza una haki ya kudai haki. Sio ujiingize...
  6. and 998 others

    Dhana ya maiti katika Siasa na Harakati za kudai Haki Tanganyika

    1. Wakenya mara kadhaa wametumia dhana ya MAITI kuelezea namna ambavyo Watanganyika "Wamekufa" katika kudai haki zao toka Uhuru 1961 (miaka 63 iliyopita). 2. Mkataba wa DP World ilikua fursa ya Watanganyika kukataa dhana ya "MAITI" Ila ndo kama mnakumbuka mkataba umeshaanza kutumika, 3...
  7. Mhafidhina07

    Watanzania wanahofu kwenye swala la kudai haki

    Serikali haina dini ila watu waliomo katika serikali wanamisingi ya dini, zipo theory ambazo zinaelezea tabia ya binadamu inavyoathiri taasisi/utendaji kazi mfano wa behaviorism theory japo kuna code of conduct zimetazamiwa kumctrol muhusika ila effect ya kinachomtengeza kinakuwepo akiwa...
Back
Top Bottom