kuchunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Serikali kuzuia internet na kumwaga askari mitaani ilihofia uwepo wa mwakilishi wa UN kuchunguza 29 Oct 2025 watu wangeandamana tena akiwapo nchini?

    Kama umegundua, hivi karibuni kumekuwa na changamoto za upatikananji wa internet, na kwamba askari walikuwa wamewaga mitaani kwa wingi kuliko kawaida, wakiwa na silaha. Labda usichoelewa ni kwamba katika hizo siku, mwakilishi wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa, Onanga-Anyanga, alikuwapo nchini...
  2. Polisi wanadhani ni sifa kuogopwa? Wamewakamata BAWACHA Kwa kusema tu hawaogopi polisi

    Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa? Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
  3. Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
  4. Ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya October 29 inatakiwa kutoka leo

    Tume hii ilianzishwa na Samia November 18, 2025 na aliipa miezi mitatu Miezi 3 imetamatika Leo Au ripoti anapewa Samuya haifiki Kwa jamii
  5. Bado masaa tu, ripoti ya tume ya kuchunguza mauaji na matukio ya October 29,2025 itoke

    Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo Ila Nina maswali najiuliza 1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata...
  6. H

    Tume Bandia Ya Kuchunguza Mauaji ya Octoba Ni Sawa na Wauaji Walivyozima Internet

    SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi. Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
  7. Tume imeelemewa na shuhuda za kweli. Sasa hawataki tena ziende hewani moja kwa moja

    Kwanza iliundwa kimkakati sana Hakukuwa mjumbe hata mmoja nje ya cycle yao.. Wajumbe wote ni makada watiifu wenye maisha mazuri kupitiliza Pili jina lililopewa lilimaanisha kuinasua serikali na tuhuma za mauaji na kuwasakizia wananchi kuwa ndio walifanya vurugu Uongo hupanda lift bali ukweli...
  8. R

    Mwabukusi: Wamemuuwa wakili Joseph Masanja na wamekataa kuchunguza

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza namna mawakili wananyanyaswa na vyombo vya dola wakati wanajitoa bure kutetea wananchi. Mwabukusi amerejelea sakata la wakili kupigwa ndani ya mahakama na kifo cha...
  9. PostGE2025 Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 yakutana Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda. - Kikao hicho ni muendelezo wa majadiliano kati ya tume, waathirika wa matukio ya ghasia wakati na baada ya...
  10. Aliyetoa amri ya majeshi kuua raia ndiye ameunda tume kuchunguza mauaji hayo

    Rais aliyeapishwa na jeshi lililomsaidia kuiba kura, ndiye aliyetoa amri kutangazwa kwa hali ya hatari iliyopelekea mauaji ya raia zaidi ya 10,000. Ameunda tume anayoìtuma kuchunguza mauaji hayo. Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye alikuwa mbunge wa Peramiho amekufa katika mazingira tatanishi...
  11. Q

    Iundwe Tume kuchunguza zile Pikipiki na Baiskeli zenye nembo ya SSH zilitoka wapi, kwa mabeberu, waarabu au pesa za ndani.

    Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti. Serious, sio kwa...
  12. PostGE2025 Marekani kuchunguza suala la raia wake kudaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania

    Marekani kuchunguza suala la raia wake kuadaiwa kukamatwa na mabomu Tanzania. je, walimbambikizia kesi ? ili wamkamate mwanajeshi wa marekani wakategemea hawato chunguzwa tunajua mamlaka ya Tanzania imezoea uongo uongo na kubambikizia watu kesi za uongo ================= Marekani imesema...
  13. Mdau ameongezea ufafanuzi kuhusu tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi

    Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina… Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
  14. PostGE2025 BAKWATA mkoa wa Morogoro yaunga mkono kufanyika kwa uchunguzi vifo vya Oktoba 29

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro limeunga mkono agizo la Serikali ya Awamu ya Sita kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza vifo vilivyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. . Sheikh wa Mkoa huo, Twaha Kilango, amesema uchunguzi wa haraka unahitajika ili...
  15. PostGE2025 Rais Samia: Nitaunda Tume ya Maridhiano na Upatanishi ‘baada ya kujua kiini cha vurugu’

    Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
  16. Azaki zaishauri CCM kuunda tume ya kuchunguza utekaji

    Si dhani kama wanashaurika hawa watu? Ila mimi najuwa wanafahamu kila kitu kinachoendelea na wanauwezo wa kukomesha kabisa hata bila kuundwa hiyo tume ambayo itachukua kodi za wananchi. =================== Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha...
  17. GE2025 Semu: Tutaunda tume ya kuchunguza matukio ya utekekaji

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu amesema kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini . Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya...
  18. K

    Uchunguzi wa Tuhuma

    Nafikiri itakuwa reference Kwa hawa wachunguzi Kuonyesha wanafuatilia kero Za wananchi. 1. Huyu aliyepiga simu kutishia kumpoteza Makurungenzi wa Jamii forum. Mimi Naona evidence zipo ni polisi tu Kuwa na nia ya dhati maana namba zote zimesajiliwa Kwa biometric. 2. Tuhuma wanazotaka Polepole...
  19. W

    GE2025 Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa

    Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamii. Jeshi hilo limesema mbali na...
  20. Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

    Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…