Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani.
https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
Mwamuzi wa dabi ya tarehe 01 March ni Nassoro Mwinchui ingawa wote tunajua kuwa inaipenda sana Coastal Union na Simba ss na alishapewa adhabu mara nyingi kwa kuzipa upendeleo Simba na Coasta kwa vipindi vya karibukaribu vilivyofuatana. Alishawahi kutumwa mara nyingi kuchezesha mechi za Yanga...
🎮 Ulishawahi kufikiria kuanza biashara ya kuchezesha game (PlayStation)?
Kile kinachoonekana kama “burudani ya kawaida” kimekuwa fursa kubwa ya biashara inayoweza kukuletea faida kila siku. Siri kubwa ipo kwenye mbinu ambazo wamiliki wa biashara hizi hutumia kuhakikisha michezo inalipa gharama...
Ahmed Arajiga na set nzima ya waamuzi wametuma barua Kwa Bodi ya ligi kuwa hawako tayari kuchezesha Derby hiyo hadi Bodi ya ligi itakapoweka sawa mgogoro Yao na timu zinazoshiriki hiyo derby, maana ni wazi Yanga ameweka msimamo wao wazi kuwa hawachezi
Mwamuzi kama Arajiga amejitengezea CV kubwa...
Juzi Saudi Arabia makomandoo waliovalia kanzu nyeupe na mikanda mieusi huku bastola zikining'inia kiunoni waliwashangaza walimwengu Kwa kuwaandalia kahawa Trump.
Jana Qatar ulimwengu pia ulistaajabu mapokezi ya kipekee Kwa msururu WA magari ya Tesla cyber truck mekundu.
Lakini ya Leo ndo...
CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar.
Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane
• Mkuu wa VAR...
Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8.
Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Kassim Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuchezesha mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya wenyeji Botswana dhidi ya Algeria utakaopigwa Mjini Francistown Nchini Botswana Machi 21...
HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA
YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA
NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI??
SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5.
MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
Timu ya Singida Black Stars imetangaza kwamba mechi ya leo dhidi ya Yanga watapunzisha mastaa wao wa kigeni na kuchezesha wazawa ,wamedai wanapunzisha wachezaji mastaa kwa ajili ya game zinazokuja maana ratiba imekuwa ngumu.
NB: Hii ni match fixing ya wazi,unapunzishaje wachezaji wenye uwezo...
Arajiga ni mwamzi Bora kabisa katika nchi yetu tukubali tukatae, akiamua mchezo kila mpenda mpira Huwa anaridhika kabisa na kuona haki imetendeka
Arajiga msimu huu pekee amechezesha mechi za Yanga 6 Yanga lakini hajapewa mchezo wowote wa Simba auamuwe.
Simba wamekuwa walipewa waamzi...
Watu wasisahaulishwe na yanga kufungwa jana ila yule refa hafai katika ligi kuu haswa mechi zinazohusisha timu yake ya yanga tangu dakika ya kwanza mpaka inafika 44 refa amekwisha wapa nusu ya timu ya tabora united kadi za njano na kuizawadia yanga penati baki ya faulo kama kumi na baki ya hapo...
Timu ya taifa ya wanawake ya Iran imeondolewa katika michuano ya Asian Cup baada ya kukutwa na hatia ya kuchezesha wanaume wanne.
Je ? Unadhani hao wachezaji Wakiume ni namba ngapi hapo pichani?
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
Kwa mashabiki 10,000 wa kwanza kufika uwanjani kesho katika #SimbaDay2023 watapewa fomu ambazo watazijaza na washindi watatu watapatikana kutoka kwenye droo ambayo itachezeshwa na Blueberry Travel Tanzania.
🛑 Mshindi wa kwanza atapata nafasi ya kutembelea Dubai.
🛑 Mshindi wa pili atapata nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.