kubadilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kubadilisha jina ulilotumia kusajili kwenye LIPA no inawezekana?

    Habari wadau, Kuna lipa no ya biashara yangu nlisajili kwenye mtandao wa Airtel, sasa nimefikia uamuzi wa kubadili jina la biashara, nataka no za LIPA no ziwe zile zile, nibadili jina tuu, inawezakana?
  2. JamiiForums Tanzania Kariakoo ni fulsa ya kubadilisha maisha ya maelfu ya watanzania

    🌍 Kuibua Upya Kariakoo: Kutoka Soko la Jadi Hadi Kitovu cha Biashara ya Kidigitali Afrika Kwa muda mrefu Kariakoo limekuwa moyo wa biashara nchini Tanzania, likihudumia si Dar es Salaam pekee bali pia mamilioni ya watu kutoka Afrika Mashariki na Kusini. Lakini katika dunia ya sasa ambapo karibu...
  3. JamiiForums Tanzania Kipi sahihi kuwa na fundi mmoja permanent ama kubadilisha mafundi?

    Nina wasiwasi na fundi anayenirekebishia pikipiki anatumia udhaifu wangu wa kutokuwa na uelewa juu ya changamoto za pikipiki na kutojua bei ya vifaa kunikanda linapokuja ishu ya payments baada ya service. Kwa wamiliki na wazoefu wa pikipiki which ni best way ya kufanya service kutumia fundi...
  4. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichotokea Baada ya kubadilisha uvaaji wangu wa saa kutoka mkono wa kushoto na sasa kuwa kulia

    Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania LATRA Wanaruhusu kubadilisha lori kuwa basi la abiria?

    Mwenye uelewa na haya mambo, nakumbuka zamani haikuwa issue kubadili lori na kuwa basi la abiria kwa kuunda na kuvisha bodi. Je hili linawezekana leo? manake unaweza kubadilisha alafu ukaambiwa haijakidhi viwango. Mwenye taarifa sahihi weka mezani. Asante
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe CCM wanaweza kubadilisha katiba yao tena mtandaoni lakini ya Wananchi aaah!

    Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao. Pia ameeleza kuwa ajenda ya kikao hicho ni Marekebisho ya Katiba ya Chama hicho ila najiuliza kama...
  7. JamiiForums Tanzania EFD machine niliyonunua TZS 500,000 kubadilisha printer ni TZS 142,000 siyo upigaji huu?

    TRA angalieni hawa mawakala wenu,Bei za marekebisho za machines pindi zikipata hitilafu ni kubwa sana ukilinganisha na biashara zenyewe tunazofanya. Hapo pia bado gharama za uhuwishaji ambapo ni kias Cha TZS 45,000 kila mwaka.
  8. JamiiForums Tanzania Unajua kauli moja inaweza kubadilisha joto la kisiasa nchini?

    Hata kama siyo wote , lakini wengi wataweza kuelewa wakiona mtuhumiwa ameamua kubadilika toka moyoni! Fikiri, kwa mfano, alkijitokeza na kusema, "Ndugu Watanzania wenzangu, naomba mnisamehe! Nimetambua makosa yangu, na ninayajutia sana. Mnisamehe, na mnipe muda nirekebishe nilikoharibu" Kwani...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko 7 ya Mtazamo Yanayoweza Kubadilisha Maisha Yako

    Mafanikio yako yanategemea sana mtazamo wako. Wazo hili nililipata katika uzoefu wa Richard Yu. Alikimbia China ya Kikomunisti, akaanza maisha upya Marekani (yeye na wazazi wake), na baadaye akajenga biashara kadhaa zenye mafanikio—ikiwemo online school (shule ya kidigitali). Safari yake...
  10. JamiiForums Tanzania Hobi yako hiyo unayopoteza nayo muda, inawezaje kubadilisha maisha yako?

    Mvulana Aliyependa Kusoma Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Inafaa kubadilisha kada?

    Naomba kuuliza eti inafaa kubadili kada ikiwa umeshaajiriwa mfano kutoka elimu kwenda afya yan umeajiriwa kama mwalimu badae ukaamua kwenda kusomea udaktar inafaa
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la nguzo ya TANESCO kuoza mtaa wa Mavurunza, Kimara

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO Kimara wanakuja na wanesema kwa kuwa line ni kubwa wao Kimara TANESCO hawahusiki. Nakumbuka kwa mara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kubadilisha jina

    Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi. Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/= Sasa Kuna mtu amenishauri niende mahakamani niwe nimejaza Ile deed pool gharama haitazidi 15k Naombeni ushauri...
  14. JamiiForums Tanzania Je Kuna uwezekano wa kubadilisha airtime kwenye airtel kuwa airtel money...

    Naomba kuuliza kama inawezekana kubadili airtime kwenye airtel iende kwenye airtel money na kutoa Kwa wakala cash?
  15. JamiiForums Tanzania Ni katika harakati za kuhuisha, kuchanga upya kama sio kubadilisha kabisa mfumo

    Tulikua watu makini kama wa 4-5 ama 6 sikumbuki vizuri... (waandamizi wa jambo flani, sijui ni jambo gani ila ni kama jambo la maana sana) Tulikua tunakatiza mitaa fulani usiku huko kijijini, tukiwa katika njia ya vumbi inayotosha kupita gari, gafra ukaona kikosi/kikundi cha watu Sita...
  16. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kubadilisha Egyptian Pound kuwa Hela ya Tanzania?

    Salamu. Ama baada ya salamu Mimi ni mzima wa siha muruwa. Mwezi Dec nilipata wasaa wa kutembelea nchini Misri, ratiba yangu ilikuwa very tight kiasi kwamba hata airport sikuweza kubadilisha Egyptian Pound kuwa USD. Sasa zimekaa ndani Nina zaidi ya Pounds laki Moja ya Misri, ubalozini...
  17. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

    Msaada wa haraka tafadhali! Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k. Majina yanayobadilishwa ni mawili: la kwanza na la kati. La mwisho (la ukoo) litabaki kama lilivyokuwa. Utaratibu ukoje? 1...
  18. JamiiForums Tanzania Kama umefungwa KIROHO ili usifanikiwe tumia njia hii kujifungua

    Mada hii natoa angalizo Kwa watu hawa , haiwahusu. 👇🏾 Atheists God non believers And religionist. Ipo hivi kuna njia Mbali mbali za kujifungua KIROHO dhidi ya madhabau za KICHAWI ambazo zilikaa na kukunenea laana katika MAISHA yako. Madhabau zote za kichawi ili zikupate huwa wanacheza...
  19. JamiiForums Tanzania Wivu wa Mbowe unamsukuma kujaribu kutengeneza story ambaz hazipo.

    Dunia ilimsikia Magufuli akimuahidi Lissu Cheo, akawaomba hadi wazee wa Singida waongee na kijana wao. Leo Mwenda zake ameenda zake, hatukumsikia Lissu akiirudia kauli ile ya Magufuli ili kuchuMbowe credits Badala yake leo Mbowe ndiye amejivalisha uhusika wa Tundu Lissu, anatembea na story ile...
  20. JamiiForums Tanzania Kubadilisha kozi ukiwa umeajiriwa na Serikali

    Habari JamiiForums, Nina maswali mawili kidogo. 1. Nahitaji kukuuliza swali kidogo, hivi mtu akiajiriwa na Serikali anatakiwa kukaa miaka mingapi kazini ndo akasome tena mfano ana diploma anataka degree🙏 2. Na mfano Serikali imekuajiri kama mtu mwenye diploma ya environment health na unataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…