kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
  2. Elimu ya bima na ujasiriamali zifundishwe kuanzia ngazi ya shule ya msingi

    Nimesikitishwa sana na taarifa za kuungua kwa soko la Kariakoo. Hasara iliyopatikana ni kubwa mno, haswa ikizingatiwa kuwa wafanyabiashara wetu hawana elimu ya kutosha ya bima, hivyo huwa hawakati bima, ni wachache Sana wenye kufanya Jambo hili. With wangu kwa serikali hasa wizara ya elimu...
  3. KATIBA MPYA: Umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30

    Habari Tanzania! Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo; 1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa. 2...
  4. J

    Mnyika: Bavicha ngazi zote kuanzia taifa hadi Msingi undeni kamati za kudai Katiba mpya kabla hatujaingia rasmi mitaani!

    Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amevitaka vikao vyote vya kikatiba vya Bavicha kuanzia Taifa hadi Msingi kuandaa kamati za kudai Katiba mpya. Mnyika amesema ni vema wakajipanga sawasawa kabla ya kuingia rasmi mitaani kushinikiza uundwaji wa katiba mpya. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  5. A

    Umuhimu wa kufundisha watoto kuogelea kuanzia miezi mitatu

    Mtoto huwa anaishi kwenye maji ndani ya placental. Hujigeuza na huzoea mazingira yake. Anapozaliwa humchukua muda mfupi kuzoea hali ya duniani, kipindi hiki mtoto analia sana hasa akihisi baridi ya usiku. Miezi mitatu mtoto anakua amepashapata chanjo za awali na ameanza kujenga adopted immune...
  6. M

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Wana JF naombeni ushauri wenu zikiwemo changamoto zake. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUELEWA BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
  7. Bila Barakoa, Muhimbili huingii kuanzia leo. Msindikizaji mmoja tu

    Twende na sayansi
  8. Kuanzia kesho vijana msikose bando, mikeka mingine inafuata

    Kuanzia kesho vijana wasikose bando. Kuna mikeka minne(pdf) iko njiani. Mkeka wa kwanza unawahusu walioteuliwa kuwa makatibu tawala wa wilaya. Mkeka wa pili ni wa walioteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji. mkeka wa tatu ni wa waliifanikiwa kupata ajira...
  9. Rais Samia, ni sawa kutaka tuanze upya lakini lazima tuwe na pa kuanzia

    Rais Samia mara baada ya kuapishwa alisema, tuanze upya. Sentensi ile ilibeba maana nzito iliyofichika kwa wasiotaka kutafakari. Unaanza upya pale ambapo unaamini ulikosea, na ili uanze upya ni lazima ufahamu ulipokuwa, ulipokosea na namna ulivyokosea, ili unapoanza upya usiingie kwenye makosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…