Pamoja na kuteua tume ya mchongo itakayo kuja na majibu ya uongo ili muendelee kuudanganya umma na kujisafisha.
Tambueni umma wa sasa sio wa miaka ya uhuru hili mulielewe kabisa na umma wa sasa umewakataa.
Baada ya hayo tambueni hizi ndio hoja za msingi za vijana.
Kukithiri kwa vitendo vya...
My people,
Natambua kabisa bandiko hili halikubaliki kwa wengi wenu na mna haki ya kufanya hivyo kama ambavyo nami nina haki ya kuandika haya
Guys Serikali inaondoka madarakani pale tu ambapo jeshi au majeshi ya Ulinzi na Usalama yakiwa pamoja na wananchi na kujitenga na Dola,hapo ndio mtegemee...
Msimfiche najua hata yeye anajua hili.
Tanzania asilimia kubwa ya wananchi wana maisha ya chini ukiona watu wengi wanakupinga basi jua ndio hao na ina maanisha hakuna kitu unafanya kwao.
Mimi frankly speaking sikua nakubaliana na Magufuli kwa mambo ya kidemokrasia Narudia ni Mimi Binafsi
Ila...
“Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu.
Aidha tunataka watanzania duniani kote kuandamana pamoja kusimamisha dunia.
Naona mashekh wanaendelea kukiwasha kuwajibu TEC lakini bila hoja za maana. Hii vita sasa ni mbaya kunakoelekea!
===================
Wanaokusudia kuandamana tarehe 9 Desemba, sisi kama Waslam tutatoka kwenda kukabiliana na watu hao kwa sababu tunahitaji amani yanchi. Hapa Tanzania tunahitaji...
Uwepo wa kesi nyingi za uongo za serikali kwa watanzania inapaswa kuwa sababu nyengine kuu ya kuandamana huu ni uchizi
Hatuwezi kuongozwa na vilaza na watu wanao waza upuuzi upuuzi tu muda wote hwana mchango wowote kwenye nchi bali tatizo linalopaswa kuondolewa
Anasema kusema vijana wamenunuliwa ni makosa na kuwakosea sana. Anasema vijana si wajinga kiasi hicho.
Ingawa, anaona kusema wamehamasishwa hilo halina mjadala kwani kulikuwa na uhamasishaji kabla ya Uchaguzi.
"Kusema vijana wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi, wamehamasishwaje hiyo ni...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kuwa Rais Samia siku ya kesho Jumanne ataongea na wazee wa Dar es salaam lakini atatumia mkutano huo kulihutubia taifa.
Amesema ''Kutokana na Mkoa wetu kuendelea kurejea katika hali yake ya amani Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
asubuhi
chalamila
dar
dar es salaam
genge
haramu
ikulu
kesho
kuandamana
kuelekea
kuzungumza
mjadala
mkoa
nani
nchi
nchi yetu
ndugu
nyingine
rais
rais samia
rc chalamila
saa
sababu
samia
taifa
wazee
Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU.
Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is dismantled, true statements of love can never be said to exist betwee civilians and police killers.
Au...
Vijana walihongwa ili kuandamna 29,Oct. Hiyo ni lkauli ya Samia Suluhu Hassan.
Sababu za vijana wa Gen-Z kuandamana zinajulikana; ambazo kiufupi ni madai ya kubinywa kwa haki zao.
Ni jambo lisiloingia akilini kwamba mtu ahongwe kwanza ndipo aamue kuwa na msimamo wa kutetea haki zake mwenyewe...
Mashabiki wa Yanga wamepigwa na Ubaridi mara baada ya Club hiyo Kongwe nchini Tanzania Kuzindua Jezi zinazofanana na matambala matambala
Ikumbukwe msimu huu hawakutoa Jezi nzuri hivyo wananachama na mashabiki walikua na imani kuwa huenda za kuchezea club bingwa zikawa na unafuu lakini wapi...
Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Mange kimambi aliwaambia vijana wasiogope walambe pasi ya moto tarehe 29 wataokolewa na wajeda.
Vijana wa Dar wakalamba pasi ya moto kwa siku moja na nusu wakaona hakuna ukombozi wakaacha wakakimbilia maghetoni kwao.
Vijana wa mikoani hawakutaka kupitwa na wala viepe nao wakaanza kuilamba pasi...
Kama adui yao alikuwa ni serkali kwanini wamechoma vibanda vya maskini wa taifa letu,
Kama adui yao ni tume ya uchaguzi kwanini wachome mwondokasi.
Walipanga kuwauwa na kuchoka moto nyumba za wanaccm huku wao wakijiita wanademokrasia.
Walikuwa wanawahimiza kuandamana na kuwaambia wajitoe...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo (video clip) inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikisema "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha".
Ukweli ni kwamba picha hiyo mjongeo ilikuwa ni wakati wa sherehe za jando/tohara mwezi Juni 2025...