kuambiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Kwanini watu wengi wanapenda kusifiwa na sio kuambiwa ukweli?

    Salama Ijumaa hii? Kusifiwa ni jambo zuri, hasa ukipewa sifa ikiwa umefanya kitu kizuri. Inakupa hamasa ya kufanya vizuri zaidi. Shida inakuja ukiambiwa kinyume. Yaani mtu akikuchana ukweli unakasirika, unafura na kumuona tu hafai. Tena ukiambiwa ukweli na mtu aliyekuwa anakusifia kila siku...
  2. B

    Raia Samia asikie ya kuambiwa: DP World inatupeleka kubaya

    Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu: Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno? "Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi." Ushauri wa bure tunaelekea kubaya
  3. K

    Ni uongo gani ambao umewahi kuambiwa na single mother/father ambao ukiukumbuka leo unacheka tu?

    Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko shinyanga nikajichanganya na demu tukawa tunaishi wote kama mke na mume. Kumbe demu lishazalishwa...
  4. Feisal Salum, za kuambiwa changanya na zako. Muda ni wakili mzuri sana

    Maamuzi aliyoyafanya feisal december muda ndo unatuonyesha yalikua yakijinga sana Feisal ni kweli analipwa mshahara mdogo ila ni ukweli uliowazi ukitaka kuondoka kihuni vile ni timu chache zinaweza kama angekua ni mtu anayeona mbali angelinda kiwango chake na kukiongeza ili hata mkataba wake...
  5. Rais Samia, kwanini 'unatufichaficha' wananchi wako hata tunayotakiwa kuambiwa?

    Nasema kwakuwa najua na nimekitumikia ninachokisema. Nimekuwa kiongozi kwenye vyombo vya ulinzi; chamani na serikalini. Najua kuwa yapo mambo ya kusemwa hadharani na yale ya kuhifadhiwa na kumalizwa sirini. Yale ya hadharani ni ya kusakia 'support' kwa wananchi. Wananchi wasikie na...
  6. Nani yuko nyuma ya hili Tamasha la Matokeo ya Sensa?

    Ifike pahala labda itoshe tuu kuwajua wanao tuhujua hata kama hamna kitu tunaweza kuwafanya. Nafsi zetu ziwanung'unikie tuu watalipwa mbele kwa mbele. Najiuliza ni pesa ngapi zimetumika kuandaa hili tamasha la kuambiwa tuko mil.61? Hivi kweli hawa watawala hawajaona hata shida tu ya maji dar...
  7. Neno gani ambalo ulishawahi kuambiwa dhahiri likakukatisha tamaa?

    Ukweli ni kwamba kuna maneno mengi sana ambayo yanatumika na watu mbalimbali hususani pale wanapotaka kumkatisha tamaa mtu mwingine. Binafsi, kuna neno "Sio kirahisi hivyo kama unavyodhani" Hili ni neno ambalo limeachisha mawazo ya watu wengi kuhusiana na kujihusisha na jambo fulani. Mfano...
  8. B

    Rais Samia, akili za kuambiwa changanya na za kwako

    Kumbuka madaraka uliyo nayo sasa kwa mujibu wa katiba kuna watu hawakupendezwa uwe nayo. Kama ujuavyo, watu hao wala si wa upinzani bali wa kijani wenzako. Walisema waswahili kikulacho ki nguoni mwako. Au unadhani walishakuridhia sasa na kila kitu wewe na wao ni shwari? Hadi sasa kuna mengi...
  9. Q

    Baada ya kuambiwa TCD inatumika kwa manufaa binafsi, Admin aifunga akaunti ya TCD Twitter

    TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo. TCD imesajiliwa kama NGO non Partisan lkn inahudumiwa kwa pesa za Umma. Uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha miezi 6, kipindi hiki uongozi uko chini ya chama cha ACT-Wazalendo chini ya Kiongozi wao Mkuu Zitto...
  10. Hivi unaeza teuliwa bila kuwa chamani, bika kuambiwa? Naomba kujifunza wakuu!

    Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
  11. Watanzania tunapaswa kuambiwa na kujua ukweli kwamba Gesi inayochimbwa Mtwara si yetu

    Kuna mambo bado hayajawekwa sawa na yakaeleweka vyema. Gesi inayochimbwa Mtwara sio ya watanzania, ile gesi ni ya makampuni ya kigeni na sio ya Watanzania. Ieleweke pia kwamba Gesi ile iko 18% nchi kavu na 82% majini ama baharini kwenye kina kirefu. Ieleweke zaidi kwamba shirika la mafuta na...
  12. Hospitali ya Wilaya ya Hai, kumwambia Mama mjamzito anunue vifaa vya kujifungulia ni sahihi kweli au kawaida

    Nimeshangaa na sijaelewa sera ya Serikali kwa kina Mama Wajawazito, tuliambiwa Mama mjamzito kujifungua ni bure ana hudumiwa, sasa Hospitali ya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Mama mjamzito anaambiwa akanunue Pamba ile kubwa, Gloves na akanunue Vidonge vya kuongeza damu na dawa zingine eti wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…