Mahakama ya Mkoa wa Lindi imemhukumu Nurdin Mwanga, mkazi wa Mnolela, kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa miaka 16.
Hukumu hiyo imetolewa Oktoba 08, 2026, katika Kesi Na. 19961 ya mwaka 2026, na Hakimu Mkazi Deliphine Kimati...