Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi.
Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa July akidai hajafurahishwa na utendaji kazi japo yeye hakuwepo chuoni maana alisafiri.
Jambo...
Anonymous
Thread
afya
chuo
college
dar
kimara
kimara korogwekorogwe
mmiliki
sayansi
waalimu
wafanyakazi
wake
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Nikaeleza kuwa tumejaribu kuwasilisha kero zetu TANESCO wanasema wanakuja kuongeza transformer kwa...
Anonymous
Thread
changamoto
korogwe
kukatika
mara
mara kwa mara
tanesco
umeme
umeme kukatika
Kituo cha afya cha Magoma wilayani Korogwe mazingira yake sio safi Wala salama kwa jamii inayohudumiwa kwenye kituo hichi.
Wagonjwa wanalalamika hali chafu ya mazingira ya kituo, mda wa kazi manesi hawapo eneo la kawaida kuhudumia wagonjwa na kero ya maji safi na salama hamna kwenye kituo cha...
Wanajamvi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwekezaji kutoka china amekabidhiwa na serikali eneo lote.lenye madini ya dhahabu katika wilaya za mkinga na Korogwe.
Katika maeneo ya korogwe ambapo nilikuwepo wiki iliyopota kumetokea dhahabu nyingi sana, hali hii imewafanya wananchi kuhamishia...
Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa.
Wanaoweza kuongea nao vzuri wanapewa datasheet ila wengine hawapatiwi taarifa za datasheet ila wahame...
Anonymous
Thread
ded
halmashauri
kibali
korogwe
uhamisho
vijijini
watumishi
wilaya
Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu.
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba maalumu ya mgao wa maji hali inayotusababishia usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Cha...
Anonymous
Thread
changamoto
changamoto ya maji
jumaa aweso
korogwe
maji
wizara ya maji
Mmeharibu sana mandhari ya eneo lenu kila mahali majengo na magofu hata parking, sehemu za garden, sehemu za kukimbilia dharura kama moto ukitokea hakuna?
Aisee! Hivi mule kwenye jengo la kanisa waumini wanapata hewa ya kutosha kweli wakati wa ibada? Maana kanisa pande zote limezibwa na majengo...
1. Kuna mazingira ya Rushwa ya ngono kwa Watumishi wao, wakati ambao watumishi wakidai stahiki zao.
2. Kuchepusha dawa za Serikali kupeleka kwenye maduka yao ya dawa, na hivyo kusababisha uhaba wa dawa katika Hospitali ya Mji Korogwe.
3. Kudai 10% pindi Mtumishi anapohamishwa kutoka kituo...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
hatua
haya
korogwe
madudu
mji
serikali
tanga
vigogo
Shamba la mitiki LINAUZWA
Mteja ambae uko serious
Piga simu tuzungumze
0615636384
Miti iko 1700
Uwekezaji huu utakupatia Kila hekari million 300 Mimi nimeshindwa kuendeleza
Karibu umalizie palipo
Baki.
Moja la Morocco
Moja la Mbezi-Gerezani
Moja la Kimara-Gerezani
Inavyoonekana hii route ya Morogoro Road leo ina gari zisizozidi 10.
Kimsingi hali ya hii taasisi ni mbaya sanaa.
Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025
Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini.
Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamempatia ushindi wa kishindo katika kura za maoni akiwaacha mbali sana wapinzani...
Jina: Charles Mhando Njama
Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania
Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Jimbo: Korogwe Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
Aisee hiki kinyang'anyiro cha foleni hapo korogwe NI hatari kwanin tahmini haikufanyika kuhusu ujenzi utakavyoathiri hii Barabara yaani kutokea maji chumvi ikifika saa moja unaweza ukashanga Morogoro road unaigusa saa tatu.
Njia ndogo na kila mtu anataka kupanua apite hasa bajaji imagine foleni...
Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100
Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150
dalali ukileta mteja 10% ya kwako
Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
0615636384
0653172333
Shamba lipo Tanga Korogwe
ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100
Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150
dalali ukileta mteja 10% ya kwako
miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14
Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu,
Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja!
Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !!
Je ni kweli...
Afisa Tarafa wa kata ya Bungu Wilayani Korogwe Ndugu Peter Kahindi amefanya uzinduzi wa kilimo mbadala spices yaani viungo, karafuu, iriki ,mdalasini Tangawizi na nk.
Akizungumza na waandishi wa Habari Peter Kihindi katika uzinduzi huo amesema lengo la kuzindua kilimo hicho ni kuunga mkono...