korea kaskazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    Korea Kaskazini yatupa makombora 10 ya "Ballistic" kujipima uwezo wakati huu wa vita ya Mashariki ya Kati

    Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters. Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
  2. Khanji kapoor

    Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

    Rais korea kaskazini ni comedian Sana Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣 Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁 Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
  3. X

    Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa. Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini. Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
  4. Smartkahn

    Korea kaskazini ndani ya Africa

    Misukule wanauliza pengine mlio timamu muwasaidie kufikisha maswali yao kwa watawala wake 1).Lengo nia au dhamira ya mtawala/watawala ni ipi? 2).Wanasema mnataka wao wawaeleweje? Think wisely and take action.
  5. Richard

    Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  6. The Zanzibar Echo

    Korea Kaskazini yaonya kuwa ‘itajibu’ mazoezi ya kijeshi ya Korea Kusini na Marekan

    Korea Kaskazini imekosea mazoezi ya pamoja ya kijeshi kati ya Korea Kusini na Marekani kama "uchochezi wa moja kwa moja wa kijeshi" na kuonya kuwa itachukua hatu za kujibu. Onyo hilo linakuja huku kukiwa na dalili za kupungua kwa mvutano mpakani wa nchi hizo chini ya kiongozi mpya huko Seoul...
  7. The Zanzibar Echo

    Korea Kusini yaanza kuondoa vipaza sauti kwenye mpaka na korea kaskazini

    Jeshi la Korea Kusini limesema mapema hii leo kwamba limeanza kuondoa vipaza sauti vilivyopo kwenye eneo la mpaka na jirani yake Korea Kaskazini, kama hatua ya kupunguza mvutano kati ya mahasimu hao. Vipaza sauti hivyo vilikuwa vikitumiwa kueneza propaganda dhidi ya Korea Kaskazini, lakini...
  8. Huihui2

    Je Chung Ju Yung, mwanzilishi wa Hyundai aliyeuza ng'ombe mmoja wa baba yake ili kupata nauli ya kuhama Korea Kaskazini

    Chung Ju Yung: Mwanzilishi wa Hyundai na Mfano wa Mafanikio Je Chung Ju Yung (1915–2001) alikuwa mfanyabiashara wa Korea Kusini ambaye alibadilisha historia ya uchumi wa taifa hilo kupitia uanzishaji wa Hyundai Group. Anaenziwa kama moja ya nguzo muhimu za “Miracle on the Han River”—kuinuka kwa...
  9. John abruzzi

    Picha ya satellite ya Korea Kaskazini na Kusini wakati wa usiku (2016)

    The image above of the Korean peninsula was taken by NASA in 2016 and perfectly sums up why capitalism, for all it’s faults, is still a far, far better system than the communist alternative. Capitalist South Korea takes up the bottom half of the peninsula, and you can clearly see all the bright...
  10. The Zanzibar Echo

    Korea Kaskazini sasa ni chanzo muhimu cha silaha kwa Urusi

    Wakati utawala wa Trump unatafakari kuhusu kutuma silaha zaidi kwa Ukraine, mmoja wa washirika muhimu zaidi wa Urusi anaongeza kiwango cha ushiriki wake. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un, ametoa "msaada wake usio na masharti" kwa Moscow, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya...
  11. The Zanzibar Echo

    Korea Kaskazini yaahidi kuendelea kuiunga mkono Urusi

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesisitiza kuwa ataendelea kuiunga mkono Urusi katika vita dhidi ya Ukraine. Ameitoa kauli hiyo katika mkutano wake na Waziri wa Mambo ya nje ya Urusi Sergei Lavrov mjini Wonsan.Kim Jong Un amesema nchi hizo mbili zina mitazamo inayofanana kuhusu masuala...
  12. The Zanzibar Echo

    Korea Kaskazini yaapa kuendelea na mpango wake wa nyuklia bila wasiwasi wowote.

    Barani Asia, utawala wa Korea Kaskazini unafuatilia kwa karibu hali ya Iran. Mashambulizi y a Marekani kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran mwishoni mwa juma lililopita linaweza kuishawishi Korea Kaskazini kuendeleza mpango wake wa nyuklia. Utawala wa Korea Kaskazini umekuwa ukitengeneza silaha zake...
  13. Mi mi

    Ni Korea kaskazini pekee inaweza lindwa na china nchi zingine ni marafiki msaada utategemeana na hali ya vita

    Kama ulikuwa hufahamu sio kosa kwa China kuonekana mbele mbele kwa vita zisizo muhusu hasizo na ushirika nazo. Tusubiri siku North Korea ikivamiwa kama 1950-1953. China currently has a defense treaty with North Korea. This treaty, officially titled the "Treaty on Friendship, Cooperation and...
  14. Rorscharch

    Kwanini ni ngumu Iran kuivamiwa na Marekani na vibaraka wake (Israel) kwa vikosi vya ardhini?

    Ndiyo, wanaweza kutuma ndege na kurusha makombora. Lakini si kuthubutu kutuma askari wa ardhini – maana ardhi ya Iran si ramani ya kuchora, ni kaburi la majeshi ya kiburi. Uvamizi wa Ardhini ni Mtego, si Mafanikio Marekani na Israel wanajua fika kuwa kuivamia Iran kwa vikosi vya ardhini si...
  15. Mi mi

    Kwa nini Korea Kaskazini haishambuliwi kwa kuwa na tishio la silaha za Kinyuklia

    Wadau kwa nini huyu Kim wa Korea Kaskazini na utawala wake hawa shambuliwi kwa kuwa na silaha za Kinyuklia kama anavyo hisia Iran kutaka kuwa nazo hizo silaha japo haijathibitika mpaka sasa kama anazo
  16. O

    Mfumo wa Mawasiliano wa Korea Kaskazini na Sababu za Vikwazo vya Kimataifa

    Luhaga Mpina, katika bandiko lake kwenye ukurasa wa X (zamani Twitter), mbunge huyo ameandika: "Miaka 8 nyuma nchi yetu ilishtumiwa na UN kuwa na uhusiano wa kibiashara na kiulinzi na usalama wa NORTH Korea unaohusisha mkataba wa \$12.5m. Tulikanusha! UN haikutoa ripoti ya uchunguzi, ikashia...
  17. K

    Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kim Jong Un (Korea Kaskazini)

    Hii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
  18. FaizaFoxy

    Korea Kaskazini, kwa Kiduku, kuwa nchi ya Kiislam?

    Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa. Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao...
  19. Magical power

    Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore.

    Korea Kaskazini imepeleka makomando 700 nchini Burkina Faso kwa ajili ya kumlinda raisi Ibrahim Traore na kuhimarisha ulinzi nchini Burkinabe.
  20. Mateso chakubanga

    Rais wa Korea kaskazini: Tutaipa Burkina faso msaada wo kijeshi.

    Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa kijeshi endapo Taifa lolote la nje litajaribu kuivamia Burkinafaso. Sambamba na Korea kaskazini nchi...
Back
Top Bottom