Kongwa District is one of the seven districts of the Dodoma Region of Tanzania. It is bordered to the north by Manyara Region, to the east by Morogoro Region, to the south by Mpwapwa District, and to the west by Chamwino District. Its district capital is the town of Kongwa.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Kongwa District was 309,973, up from 249,760 in the 2002 Census.
Kwenye Uchaguzi wa kura za maoni CCM kwenye Jimbo la Hayati Job Yustino Ndugai, matokeo yaliyotangazwa na Karibu wa CCM wilaya ya Kongwa dr Isaya Moses Mngulumi amewashinda makada 12 Kwa kupata kura 4,436 SAWA na Asilimia 45.26 akifatiwa na Dr Samora mshang'a aliyepata kura 2,834 swa na Asilimia...
Matokeo ya awali katika kata 14, matokeo yanaonyesha Isaya Mngulumi anaongoza kwenye kata zote kati ya kata 22 za Wajumbe waliopiga kura siku ya Leo.
Ikumbukwe kuwa Isaya Mngulumi alishika nafasi ya pili akitanguliwa na Hayati Ndugai. Hapa ni kata ya Kibaigwa
KONGWA. Leo ndo siku ya mwishó ya kampení za kuwania ubunge jimboni Kwa Hayati Ndugai. Hapa Ni kata yaSongambele ukiwa ni siku ya pili ya kampení zilizoanza Jana kwa kata 11 na siku ya Leo watia nia kuhitimisha kwa kata 11 zilizobaki na kesho Ijumapili ndiyo siku rasmi ya kujua nani atarithi...
Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said ameshindwa kupenya katika mchujo wa majina 13 ya wagombea ubunge Jimbo la Kongwa.
Hersi ameungana na wagombea wengine 11 ambao majina yao yameshindwa kupenya katika mchakato huo, huku aliyeshika nafasi ya pili kwenye kura za maoni Agosti 4, 2025, Isaya...
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma, George Simbachawene, amesema kuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai, atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika kusimamia utungwaji wa sheria ya Makao Makuu ya nchi yaliyopo Dodoma.
Akizungumza katika...
Hivi ndivyo alivyoeleza Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.
Zaidi huyu hapa
Swali letu ni hili, unadhani kwanini kifo cha Ndugai kimeshangiliwa badala ya kuwa Huzuni kama Marehemu wengine wanapofariki akiwemo Maalim Seif na Ally Kibao?
======================
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa, Saimon Mayeka...
Kiufupi Ndugai hajaacha Legacy yoyote .
Miaka 25 Bungeni , miaka saba Kama Speaker wa Bunge Ila hakuna alichoacha kwao Kongwa .
TAIFA halina cha kujivunia .
Naipa pole familia yake.
Pia soma >> TANZIA - Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia
Spika wa zamani wa bunge la Tanzania job ndugai amepitishwa na wajumbe kuwa Mgombea ubunge CCM jimbo la Kongwa kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika October 29, 2025
Wananchi wa jimbo la Kongwa mkoani dodoma wameendelea kumbada kwa maswali mazito, Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, ambaye ni Mtia Nia wa Ubunge jimbo la Kongwa mkoani Dodoma akijinadi mbele ya Wajumbe kuomba kura.
Chanzo: Jambo Tv
Good morning!
Jana usiki nilipewa taarifa ya ajali iliyotokea kwenye maeneo ya mpakani mwa wilaya ya kiteto (manyara na )na wilaya ya Kongwa.
Inasemekana gari lile lilikuwa linaelekea mkoani Dar es salaam ambapo lilipinduka na kuwaua watu watano palepale na baadhi yao kujeruhiwa.
Sasa kwa...
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wameshukuru Serikali kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi mbalimbal inayotekelezwa na TASAF nchini.
Salimu Mshana, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya kukabidhi nyumba za walimu (familia nne) wa shule ya Sekondari...
Ndugu zangu Watanzania,
Speaker Wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai Ameibukia Jiji La Tanga akiwa Ameongozana na Madiwani Mbalimbali kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kongwa .
Ambapo yeye pamoja na Waheshimiwa Madiwani ,mkuu wa wilaya na mstahiki meya wa halmashauri ya Kongwa wamefika jijini...
Nimeona watu hawa wenye ushawishi mkubwa wametua Kongwa. Ni maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025? Nani kati yao analitaka jimbo? Ni ziara ya kawaida au kimkakati?.
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona vyaelea ujuwe vimeundwa.tupo hapa tulipo tukiwa na utulivu wa kisiasa kwa sababu kuna watu walijitoa kwa jasho na Damu kulilinda ,kulipigania na kulitetea Taifa letu.tupo hapa tulipo kwa sababu kuna watu walitimiza vyema sana wajibu wao na kutanguliza mbele...
MHE. KATIMBA - SERIKALI ITAENDELEA KUKARABATI SHULE KONGWE
Serikali imeendelea kutenga fedha za ukarabati wa shule chakavu nchini zikiwemo shule za msingi katika Vijiji vya Kalundi, Lyapinda na Londokazi kadri ya upatikanaji wa fedha.
Hayo yamesemwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi...
Ajari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini
Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana.
Ni kati ya coaster na kimbinyiko
MUNGU awape nafuu wote walio umia
Ulipoongea suala la nchi kupigwa mnada, kuuzwa vipande yawezekana nilikudharau, nilikukejeli, nilikutukana, nilikuona huyu ni masalia ya Jeshi la mtu mmoja JJPM.
Siku unadharaulika mbele ya kamera za waandishi nilichekelea sana na kusema ndiyo dawa yenu watu wa kariba yako wasiompenda mama...
Ukiniambia hapa hakuna mazingira ya RUSHWA BASI NASTAHILI KUWEKWA HOSPITALI YA AKILI MIREMBE.
Iko hivi:
Niliomba kupatiwa huduma ya umeme mara mbili na kupewa nambali hizi kama rejea ya maombi hayo 1. 2907220637 ambayo mpaka leo haijarejesha majibu na 2. ikawa 2112220335 ambayo nayo hadi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.