kombe

Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.

View More On Wikipedia.org
  1. Manara: Yanga msishiriki CAFCC ni kombe la losers

    "Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile." Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video hapo juu ni moja ya sababu. Mmeacha watu wenu wanaropoko kama wehu, halafu leo mnataka tuwaombee...
  2. M

    Kauli ya Manara kwamba wanaoshiriki Kombe la Shirikisho CAF ni "Losers" itaendelea au ataifuta kesho?

    Msimu uliopita Simba ilipotolewa kwenye CAF Champions League na hatimaye kuishia robo fainali Kombe la CAF Shirikisho aliyekua msemaji wa Yanga Haji Manara aliwaponda Simba kuwa wanacheza kombe la "Losers" na kwamba mabingwa wote wapo CAF Champions League. Ikumbukwe wakati anatoa kauli hiyo...
  3. 80% kufanyia kazi nyumbani wakati wa Kombe la Dunia

    Muda wa KUJIAJILI SIJUI ITAKUWAJE BAADA YA KOMBE LA DUNIA... (AU NDIO MKATABA WA MILELE WATU KUFANYIA KAZI NYUMBANI) Serikali ya Qatar imesema wafanyakazi wa serikali wa nchi hiyo watalazimika kufanyia kazi nyumbani wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia yatakayoanza mwezi Novemba mwaka huu...
  4. M

    Kombe la Dunia 2022 Nchini Qatar: Ukifanya yafuatayo unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa

    Habarini za muda huu... Hii nimeikuta sehemu kwenye pita pita zangu nikaona nichangie na nyie... Zikiwa zimebaki siku chache kushuhudia mashindano haya makubwa ya kombe la dunia yatakayo fanyika nchini Qatar, ni vyema kwa watakao hudhuria mubashara huko nchini qatar kujiepusha na yafuatayo:-...
  5. Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  6. Ukraine yawania kuwa mwenyeji kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2030

    Wakati vita vinaanza tuliaminishwa Ukraine imeisha na itazikwa kwenye kaburi la sahau ndani ya siku chache..... Spain and Portugal’s football federations have confirmed Ukraine has been added to their joint bid to host the 2030 World Cup. The three nations announced their collaborative bid at...
  7. M

    Kuna uwezekano mkubwa kombe la dunia Qatar kuhairishwa

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na hali ya vita huko Ukraine hali inazidi kuwa tete. Na leo kwenye hotuba yake Putin ameendelea kusisitiza hatanii kutumia mabomu ya nyuklia. Na uwezekano wa kizitumia ni mkubwa kwasababu anapokea mkong'oto wa haja kutoka majeshi ya Yukrein. Hii itasababisha vita ya...
  8. Ligi kuu ya NBC itasimama wakati Okrah atakapokuwa kwenye kombe la dunia?

    Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
  9. Kila mchezaji wa timu ya Taifa Ujerumani kulipwa Tsh. Milioni 909.5 wakishinda Kombe la Dunia

    Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar. Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
  10. Azam TV watarusha kweli mechi za kombe la dunia?

    Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
  11. Saudi Arabia, Misri na Ugiriki kushirikiana kusaka kibali cha Kombe la Dunia 2030

    Msemaji wa Wizara ya Michezo Mohammed Fawzi amethibitha kuwa nchi hizo tatu zimekubaliana kuungana ili kuomba kibali cha FIFA na mazungumzo hayo yanahusisha wasimamizi wa michezo wa nchi hizo. Misri inataka kutumia uzoefu wake wa muda mrefu katika masuala ya michezo ikiwemo kuwa mwenyeji wa...
  12. J

    Serikali yaipa kongole Multichoice kutangaza Kombe la Dunia kwa Kiswahili

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini Qatar. Akizungumza Septemba 01, 2022 Dar es Salaam katika hafla ya Maonesho kwa Vyombo vya Habari...
  13. Jezi za Timu za Taifa za Kombe la Dunia 2022

    Ikiwa imebaki miezi kadhaa kabla ya Kombe la Dunia la mwaka huu pale nchini Qatar tayari timu shiriki zimeanza kuachia jezi zao. Tuone timu zipi zina jezi kali.
  14. FIFA yauza tiketi Milioni 2.45 za Kombe la Dunia 2022

    Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 - Agosti 16). Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), nchi za Marekani, Uingereza, Saudi...
  15. Chini ya uongozi wa Barbara Gonzalez, Simba SC haiwezi kupata kombe lolote nchi hii

    Najua wengi mtanipinga ukweli ni kwamba mpira wa bongo una Sarakasi nyingi sana nje ya uwanja. Babra hajui chochote kuhusu soka, kibaya zaidi hata wale wanaojua siri za mpira wa nchi hii amewaweka kando. Kama babra ataendelea kushupaza shingo na kutaka kila kitu afanye yeye msimu huu yanga...
  16. N

    NYAMBAFU:;UONGO WA YANGA KWAMBA NABI KESHASHINDA KOMBE LA AFRICA

    Kama majitu yanaweza kuhesabia ngao ya hisani kwamba ni kombe na wanasema wameshinda treble watshindwa nini kuongea uongo mkubwa zaidi? NYIE WAJINGA, JOSEPH OMOG KOCHA WA ZAMANI WA SIMBA, AZAM NA MTIBWA NDIYE ALIIPA AC LEOPARDS UBINGWA WA AFRIKA 2012 WALIPOIFUNGA DJOLIBA HUYO MWARABU WENU...
  17. K

    Tanzania yafuzu kushiriki kombe la dunia la mchezo wa kabaddi

    Timu ya taifa ya Tanzania ya mchezo wa kabaddi imefuzu kushiriki mashindano ya dunia ya mchezo huo ambayo yanatarajiwa kufanyika nchini India mwishoni mwa mwezi Oktoba. timu hiyo imefuzu baada ya kushika nafasi ya pili katika mashindano ya afrika ambayo yalimalizika mnamo julai 28 katika mji wa...
  18. Kombe la NBC waliloshinda yanga sc halijawahi kutokea

    Hakika Yanga sc mmetuheshimisha wana jangwani kwa kombe bora na zuri kama hili.
  19. Hizi kelele za Pre season wala hazina sababu, Msimu uliopita Simba walifanya pre season lakini wameambulia kombe lipi ?

    SIMBA SC NA PRE SEASON 2021 Tujikumbushe kidogo mechi za kirafiki kwa Simba SC na Pre season tukiachana na ile waliyopigwa za kutosha huko ughaibuni ila wakaficha Agosti 21, 2021 FA Rabat Simba 2-2 Rabat (Dilunga, Sakho) Agosti 26, 2021 Olypique 1-1 Simba SC (Pape Sakho) Septemba 8, 2021...
  20. Video: Kombe la ASFC waliloshinda yanga limeharibika

    Aisee kweli Yanga walimiss kushinda makombe, huwezi amini kwa lile shangwe lao kombe la Shirikisho la Azam tayari limeshakatika. Wacha niselete maneno mengi tazama hapa chini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…