kodi

  1. Nishati Safi ya Kupikia, Pongezi TotalEnergies Kuongoza Njia, Wengine Wafuate. Rais Samia, Serikali Yako Itie Mkono Kufuta Kodi Zote na Kutoa Ruzuku

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Npashe la leo. Kwa wengi wa waliozaliwa mijini, hawaijui adha ya kupika kwa kuni mamilioni ya akina mama, wanawake, mabibi zetu, mashangazi zetu, wake zetu, watoto wetu, wapenzi wetu, au kwa kifupi wanawake wa Tanzania, wanaoteseka kwa kupikia...
  2. Kila Mtanzania anayeingiza kipato kwa kufanya kazi alipe kodi. Hakuna cha misamaha kwa viongozi wakiwemo wabunge kwani wote tunahitaji huduma bora

    Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani. Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
  3. Rais Samia: Walipa Kodi Wanakubali Faini za Makosa Lakini Si Kulipa Kodi Kwani "Ni jambo gumu na sirahisi kukubalika"

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
  4. P

    Ukifuatilia ripoti za ukasanyaji kodi, mapato na mikopo, Tanzania tungekuwa mbali sana kimaendeleo

    Ingawaje nchi nyingi za Afrika ni maskini huku miundombinu, huduma za msingi zikiwa hafifu na wananchi wengi kuishi katika umaskini wa kutisha, viongozi wa Afrika wanafahamika kwa kuishi maisha ya anasa, wanamiliki makampuni na biashara na majumba/magari ya kifahari ambayo hayaendani na...
  5. Hili swala la kukusanya kodi mbona kama tunajichanganya wenyewe kama nchi

    Hivi, najiuliza, inawezekanaje serikali yenye watumishi wengi na wenye taaluma za hali ya juu bado inashindwa kutatua tatizo la kwa nini Watanzania wengi hawalipi kodi? Hadi inafikia hatua rais kuunda tume maalum ya rais kwa ajili ya kutoa ushauri juu ya masuala ya kodi. Mimi si mtaalamu sana...
  6. R

    Ushauri: Kuongeza Tax base, Rais na Wabunge walipe Kodi

    Salaam, Shalom!! Akiongelea Suala la Kodi, Mh Rais amesema kuwa tax Base ya nchini petu ni chini ya milioni mbili. Hili limefika hapa Kwa sababu nyingi ambazo tumekuwa tukizipigia kelele Kila kukicha, Kwa kuwa kiongozi wetu amedhamiria kuongeza Tax base Ili wengi zaidi wapate hamasa ya kulipa...
  7. L

    Rais Samia: Kodi ndio Damu ya Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchungu,hisia kali na msisitizo mkali sana.amesema ya kuwa Kodi ndio Damu ya serikali.ambapo kila Mtanzania anapaswa kulipa kodi. Hii maana yake nini watanzania wenzangu? Hii ni...
  8. Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini tunachokusanya kingi kinaingia mifukoni kwa Watu

    https://www.youtube.com/live/ZEQdEtlGZ6o Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi Dar es Salaam, leo tarehe 04 Oktoba, 2024. RAIS SAMIA: UCHUMI WETU UNAKUA LAKINI HAUAKISI TUNACHOKIPATA Rais Samia Suluhu Hassan amesema...
  9. TRA kusanyeni kodi toka kwa wafanyabiashara wa ndani ya treni ya SGR

    Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo...
  10. S

    Msaada: Mtanzania akinunua gari dogo la kutembelea Kenya atawajibika kulipa kodi Kenya na Tanzania?

    Kwa Wataalamu wa kodi, Mtanzania akinunua gari dogo la kutembelea kwenye duka la magari kenya atawajibika kulipa kodi Kenya na Tanzania? Pia soma: Zijue gharama za kodi kabla hujaagiza gari
  11. Kodi ya Fremu alipe directly mmiliki wa Frem na sio mpangaji

    Ukifungua biashara ukienda TRA ili wakokotoe kiasi cha kodi unachopaswa kulipa lazima wakuulize umepanga frem ya bei gan, Ile thaman ya frem kwa mwaka wanakokotoa asilimia ambazo ndio kodi ambayo kimsingi ilibidi ilipwe na mmilik wa frem au Jengo. Pointi ni kwamba wamilik wa majengo au frem...
  12. Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  13. Msaada ufafanuzi Kodi ya Mapato Yatokanayo na Ajira

    Habari familia, kuja jambo linanitatiza, kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu ulipo tangu zamani ama ni mabadiliko yaliyotokea hivi karibuni? Maana unakuta anayelipwa Gross...
  14. Kuna mtu kasema nyani/sokwe/tumbiri wanajifanya hazimo ili wasiitishwe kulipa kodi!

    Hii mijamaa ina akili sana duuh, ebu tazama
  15. car rentals/ kodi magari

    Unahitaji gari la kuaminika kwa siku chache au wiki? Usiende mbali! Rhond's company limited huduma zetu za kukodisha magari zinatoa: Magari yaliyotunzwa vizuri Vipindi vya ukodishaji vinavyobadilika Bei nafuu Mchakato wa haraka na rahisi wa kuweka gari Safiri kwa faraja na uhakika...
  16. Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha

    Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu. Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka kwa mali yako, unahitaji kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha thamani ya jengo lako na kufanya...
  17. Kodi za mabango si rariki kwa soko la ajira na uchumi.

    Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho. Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1. Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
  18. Napinga kodi yangu kitumika kulipia vyama vyenye kazi ya kuleta taharuki na vurugu kwenye jamii.

    Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
  19. P

    *HATA AKISEMA ANALIPA KODI YEYE, USILALE KWENYE GHETO LAKE......*

    HATA AKISEMA ANALIPA KODI YEYE, USILALE KWENYE GHETO LAKE...... Hakuna mwanaume ambae hajui hii kanuni, Ila kukumbushana sio dhambi .... Nakumbuka kuna manzi nilikuwa na mfukuzia tokea tuko darasa la 4, Mpaka tuna maliza la 7 bado manzi alinikazia ... Kama bahati tukapangiwa shule...
  20. Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao

    Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) amewataka Wafanya biashara wilayani Ngara Mkoani Kagera Kurasmisha Biashara zao ili kupunguza mzingo wa kodi kwao Mhe. Kigahe ameyasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…