kocha wa yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga, Ramovic aingia ubaridi, asema ni mara yake ya kwanza ligi ya Mabingwa

    Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema! "Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Oruma: Kocha wa Yanga hafiki Krismasi

    "Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua kila kitu na wametumia nguvu kubwa kumbakisha Stephane, Pacome na Mzize na malengo yao ni kufika mbali...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga, Ramovic: Kwenye timu yangu sitaki pombe, sitaki wachezaji wa kujirusha

    Sasa itakuwaje wakuu. Sead Ramovic kocha mkuu Yanga SC aliwahi kuzungumza katika moja ya mkutano na waandishi wa Habari Afrika Kusini alisema; "Kwenye timu yangu sitaki Pombe, sitaki wachezaji kufanya party na pia sitaki mtindo wa maisha wa kutokujali na kama utataka kufanya haya nitakutoa."...
  4. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mwinyi Zahera ni bilionea? Nimemkuta mtaani gari yake imeishiwa mafuta

    Kipindi Yanga inajitafuta kabla GSM hajaokoa jahazi. Kipindi yanga iko hoi kiuchumi kulikuwa na huyu kocha Mwinyi Zahera, tuliambiwa kuwa alikuwa akuwanunulia chakula Yanga na kulipa posho pale zinapochelewa. Tukaambiwa ana apartment ufaransa na ubelgiji. Baada ya Yanga kumtema nilisikia...
  5. Son of Gamba

    JamiiForums Tanzania Yanga raha sana kuanzia Kocha mpaka wachezaji wote wana furaha, tazama video hii

    Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi. Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji. Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi itakula goli nyingi sana pale Chamazi. . Makolozidadi endeleeni kununa.😛😛😛
Back
Top Bottom