kocha mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kocha gani anafaa kurithi mikoba ya Ten Hug pale Manchester United?

    Wana Man Utd, Xavi au Nagelsmann yupi anafaa kuwa kocha mpya wa Man Utd? Kipara ngoto kashaondoka. Yupi anayefaa? Pia soma > Erik Ten Hag atimuliwa Manchester United baada ya kipigo dhidi ya West Ham United
  2. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya unaekuja wa United panga timu yako hivi ili umalize top 6

    Leo kipara ngoto anasepa.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Azam yamtangaza Rachid kuwa kocha wao mpya

    Tunayo furaha kumtangaza, Rachid Taoussi, kuwa Kocha Mkuu wetu mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja. Taoussi, amekuja na wasaidizi wake watatu, Kocha msaidizi, Ouajou Driss, Kocha wa utimamu wa mwili, Badr Eddine na Kocha wa makipa, Rachid El Mekkaoui. 🇲🇦 Taoussi amewahi kuvifundisha vilabu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rachid Taoussi kuwa kocha mpya wa Azam FC

    Hizi mpya kabisa, possibly amna mtu karipoti tanzania hii : utaona chawa wana ripoti after this post , I will be short : kocha mpya huyo from Morocco anakuja na benchi lake lote la ufundi. Rachid Taoussi has managed several clubs throughout his career. Here is a list of the clubs he has...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali ombi la Jacquiline Ntuyabaliwe (Mjane wa Reginald Mengi) kuutambua wosia alionao

    Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ameangukia pua baada ya mahakama kutupilia mbali rufaa yake. Ntuyabaliwe aliitaka mahakama iutambue waraka wa wosia wa marehemu Mengi ambao ulikataliwa na mahakama kuu. USSR --- Mahakama ya Rufani imetupilia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Sema wewe Talib Hilal nikisema mimi kocha mpya wa Simba hafai ntaonekana msaliti

    Kocha Talib Hilal amekaririwa na redio moja nchini akisema jana kuwa kocha mpya anayetarajiwa kuingia kandarasi na Simba Faldu David's hana uwezo na hawezi kuifikisha popote pale Simba. Talib defender wa zamani wa Simba na baadae akawa kocha anasema recodi ya kocha huyo mpya ya mechi 12...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huyu hapa kocha mpya wa Simba SC

    Niko hapa kuthibitisha kuwa Fadlu Davids ni kocha mpya ajaye Simba SC Raia huyo wa Afrika Kusini ni kocha msaidizi wa Raja Casablanca
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Jose Mourinho kutangazwa kuwa kocha mpya wa Fenerbahce ya Uturuki

    Inadaiwa kuwa Jose Mourinho ameamua kurejea katika Maisha ya kufundisha soka kwa kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa Fenerbahce ya Uturuki. Kocha huyo anatarajiwa kuchukua nafasi ya Ismail Kartal ikiwa na maana itakuwa ni ajira yake ya 11 kwenye ukocha. Timu hiyo imemaiza msimu...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hossam Hassan awa kocha mpya wa Misri

    Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
  10. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Akina Cadena na Matola bado wanawachosha wachezaji na mazoezi ya under 18. Kocha mpya hajaanza program. Tunapoteza mechi ijayo pia

    Bado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa. Wanawafundisha wachezaji individual skills kama kupiga vichwa, kuruka, mazoezi ya kuchosha ya viungo uku umebaki mda mchache kukabiliana na Makikiri...
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kumrithi Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’

    Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kuwa mrithi wa kiti kilichoachwa wazi na Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ Kabla ya kutua mitaa ya Msimbazi Kocha Benchikha ambaye ni raia wa Algeria aliiongoza USM Alger katika fainali za Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)msimu uliopita na...
  12. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zuberi Katwila kocha mpya Simba

    Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo. Inasemekana pande zote mbili wameshafanya makubaliano na tayari kocha huyo wa vikombe amekabidhiwa timu kwa...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba msitafute kocha mpya kipindi hiki, mtakurupuka tena.

    Hakuna kocha mzuri asiyekuwa na timu ya kuifundisha, na hakuna timu bora inaweza kuachana na kocha na mchezaji bora katikati ya msimu labda kwa dau kubwa la kufa mtu. Simba haina fedha ya kubwa ya kuzinyanganya timu bara wachezaji na makocha wao bora kabla ya mwisho wa msimu. Hamna haja ya...
  14. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni yaleyale mlete mzungu. Fernando Da Cruz kocha Mbovu eti ndio kocha mpya Simba, basi Viongozi hawajitambui

    Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki. Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu. Viongozi wanaweka siri ili watu...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mazuzu Mkutanoni wametajiwa Kocha Mpya na Kusahau Kuuliza Maswali na Kuhoji Kupigwa Fedha nyingi

    Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu. Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa...
  16. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Miguel Angel Gamondi atangazwa kuwa Kocha mpya wa Yanga

    Klabu ya Yanga leo imemtangaza Miguel Angel Gamondi (59) Raia wa Argentina kuwa Kocha Mkuu wake mpya. Miguel Angel Gamondi amewahi kufundisha timu mbalimbali ikiwemo Wydad Casablanca ya Morocco, Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini na CR Belouzdad ya Algeria. Kocha Miguel Angel hadi anatangazwa...
  17. AbaMukulu

    JamiiForums Tanzania Youssoph Dabo Atangazwa Rasmi Kocha Mpya Azam FC

    Taarifa rasmi toka Chamazi zinathibitisha Azam kushusha kocha mpya kutoka Senegal. Yossouph Dabo ni kocha kijana mwenye mafanikio makubwa ambayo yameipaisha Senegal kwenye ulimwengu wa soka . Kocha huyo amepewa kandarasi ya miaka mitatu. WASIFU WAKE. Dabo amezaliwa kwenye mji wa...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya taifastars :Kashinda sawa lakini apite hapa atueleze haya..

    Ushindi usitunyamazishe huyu kocha tumhoji kikosi aliita yeye? Je anauhakika gani wa viwango vya wachezaji aliowaita Kama vile Beno kakolanya alimuona wapi kwenye ushindani? Hivyo hivyo kwa metacha toka mwezi wa 12 amecheza mechi 3 tu yeye kocha anauhakika gani wa kiwango chake,, Feisal hana...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mbeligiji Adel Amrouche (58) ateuliwa kuwa kocha Mpya Taifa Stars

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linamtangaza Adel Amrouche (58) kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars. Kocha Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na...
Back
Top Bottom