Hili ndio swali ninalojiuliza mpaka sasa kuhusu hatima ya huyu kiongozi wa dini na ambae pia ni mwanasiasa.
Je, na familua yake nayo imezuuwa kuongea chochote?
Viongozi wengine wa kanisa lake nao wamezuiwa hata kuhoji alipo?
Tukumbuke wanaopotea pia hupotea kwa stahili hii
Mwenye majibu...