kiwanja kinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. yello masai

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibamba shule

    Wakuu Kiwanja kinauzwa. Kipo Kibamba Shule kituo kinaitwa Bwawani kama unaelekea Kibwegele. Ukitembea kwa mguu ni mwendo wa dakika 3 hadi 4 kutoka barabara kubwa. Ukubwa ni 20 × 20. Bei ni 5.5M. Haipungui hata mia. Kiwanja ni cha kwangu mwenyewe, mi sio dalal. Kama unahitaji, comment hapa...
  2. Kakakuona

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza viwanja katika maeneo mbalimbali

    Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm. Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale. Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25) Kina hati ya wizara. Contact : 0742141467
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbweni-kizuri mnoo

    Size sqmt 877. Bei 100m, aliye serious mazungumzo yapo. Muhusika anasafiri kwenda Marekani mwezi ujao, so anahitaji mteja kabla hajasafiri. Eneo ni Mbweni JKT, ni pazuri mnoo, njoo mwenyewe ujionee. Umeme upo. Mpangilio wa nyumba ni mzuri sana Eneo lina utulivu na upepo mzuri. Lipo 100m kutoka...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kipo kibaha kwa Mathias, Squire meter 400. Kipo msangani juhudi,jirani na stend ya bajaji Bei milioni 3
  5. Ester505

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Morogoro, 760 sqm

    Kiwanja kinauzwa Morogoro mjini. NI Cha makazi na biashara. Bei Ni 6,300,000. 0785367879
  6. shin gun wook

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha, Kwa Mathias

    A plot for sale Kibaha Kwa Mathias. Ukubwa: Mita 20 kwa 20. Umbali: Km 5 Bara bara ya lami. Usafiri piki Piki 1500, bajaji 1000. Umeme na maji ya dawasco yapo. Huduma za kijamii zote zipo. Kipo jirani na shule. Bei milioni tatu na nusu +255766042214
  7. liter

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kisemvule

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa ft 80 kwa ft 50 kinapatikana Mkuranga Kisemvule njia panda ya kibamba bei 2.5ml Kwa mawasiliano 0712150581. Karibu sana
  8. mwakyambikig

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Maramba mawili Dar es salaam 23 kwa 20

    Kiwanja kipo maramba mawili eneo la king’azi, ukubwa 23 kwa 20, Sifa ya kiwanja 1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari, 2. Hakipo mbali na Barabara ya tanroad inayotokea maramba kwenda mloganzila unaiyona ukiwa eneo la tukio. 3. Umeme na maji vimepita mpakani mwa kiwanja...
  9. 87Method

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa kipo kimara suka

    Kiwanja nikizur Sana Kinauzwa kipo kimara suka Ukubwa ni mita 20 kwa 22 Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700 Pkpk Tsh. 1000 Barabara safi. 📞 📲 call/whatsapp: 0689859495 no cheni namaliza biashara
  10. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye vyumba viwili kinauzwa Kibaha kwa Mathias

    Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo. Kimepimwa kwa hatua za miguu tu hatua 30 urefu na 10 upana . Pamejengeka tayari, ni eneo lililochangamka. Bei Milioni 15.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Kibaha miembe saba

    Nauza kiwanja Kibaha miembe Ukubwa mita 54 kwa mita 23 Nimepunguza bei ya awali ilikua Mil.13 sasa nauza kwa Mil.9.5, WhatsApp au kupiga kawaida 0674 223 223.
  12. GREAT VISIONAIRE

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa milioni 5 Bugogwa, Mwanza, kimepimwa

    Kiwanja kipo,nyamwilolewa kata ya bugogwa. kina ukubwa wa 30*25 Kimepimwa. Bei Milioni 5 Mawasiliano:0765540059
  13. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha Miembe 7 mita 600 toka morogoro road

    Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni
  14. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    Kiwanja (20x40) Tsh 6.5M kimekaa Tambarale kabisa, kimezungukwa na makazi ya watu pamoja na huduma zote kijamii Kiwanja hiki Kipo kiluvya makulunge karibu na zahanati ya makulunge upande wa kulia wa barabara ya kuelekea kwa sumaye, umbali kutoka kwa hiyo barabara mpaka kiwanja kilipo ni dakka3...
  15. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kinyerezi - Songas

    Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2. Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi - Songas basi watakwambia kuwa hii ndio Masaki ya Kinyerezi). Kiwanja kipo kwenye barabara ya lami ya...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Kipo Kibaha kwa Mathias. Ukubwa wa squire meter 600 Milioni 3 Umbali km 5 toka Morogoro road Barabara nzuri imewekwa lami, bado kidogo ikamilike Umeme na maji vyote vimefika kwenye kiwanja 0672 893 600
  17. Baba Ndubwi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Makunduchi (Makunduchi plot for sale.)- Zanzibar

    Plot for sale in Zanzibar - Makunduchi: Area : Makunduchi, opposite VETA college. Document : Title deed Distance: 1.5 kilometer from the beach (Clove Island Zanzibar Villas) Location: 6°24'27.6"S 39°33'52.2"E Size: 600 square meters Contact: 0682955526 Price: TZS 20 million Karibuni wakuu.
  18. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamazi Mbande bei m3.3

    Mtenja serious ____________ KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI 💵 M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO CONTACT US 0768041126 0689357572
Back
Top Bottom