kiwango cha juu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kuna aina mpya ya kutengwa kwa njia ya kidijitali kwenye magroup, ni kitu nilichogundua kinawumiza wengi

    Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
  2. Carlos The Jackal

    Maandamano yapo palepale ni makubwa mno kushinda Okt 29.

    Toeni vitisho sanaaa Toeni matangazo Tumieni Propagandaaa Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa. Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi Kagueni vitambulisho Tangazeni hali ya Hatari Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu...
  3. Prof_Adventure_guide

    Tundu Lissu: MwanaSheria wa Kiwango cha Juu Kisheria na Kifalsafa

    Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo...
  4. matunduizi

    Kiwango cha juu ya kumuamini Mungu ni kuishi kama Shetani hayupo kabisa Wala hakuhusu

    Vitabu vya kiroho Biko wazi, mamlaka yote yako chini ya Yesu. Hakuna kiumbe chochote mbinguni na duniani au kihai chochote popote kilicho juu ya mamlaka hii. Watu wengi wanaishi katika double power mindset. Yaani Wanaamini ziko NGUVU mbili zinashindana zenye uwezo unaokaribiana. Moja ya Mungu...
  5. N

    KERO Jeuri ya Makondakta kuongeza nauli daladala za Segerea-Kawe imefikia kiwango cha juu kisicho vumilika. LATRA mmelala?

    Ni wazi, LATRA kama chombo cha udhibiti kimeshindwa kudhibiti tabia ya Makondakta na Madereva wa daladala za Segerea-Kawe kuongeza nauli kiholela. Ikifika jioni, daladala hizi zimekuwa na utaratibu wa kuongeza nauli kinyume na sheri, zikidai wastani wa Tsh. 1000-2000 kwa baadhi ya siku. Kwa...
  6. Tlaatlaah

    Umahiri na weledi wa kisheria wa wakili Nassoro Katuga ni wa kiwango cha juu mno mahakamani, hacheki na mtu, hahitaji ushabiki, wala hana mzaha

    Muungwana ni mtu na nusu awapo mbele ya mahakama. Anajua wajibu wake ipasavyo. anayakabili majukumu yake vyema na kwa weledi wa kiwango tajika. Hababaiki, hatetereki wala hayumbishwi na yeyote awepo mahali pake pa kazi. Nassoro katuga sio tu mahiri wa sheria, bali pia ni mwamba na nguli wa...
  7. Yoda

    Kuongezea(ku-dilute) sabuni ya maji maji iwe nyingi ni upumbavu na ushamba wa kiwango cha juu.

    Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili...
  8. Yoda

    Huu sio uchochezi wa kidini wa wazi kabisa tena wa kiwango cha juu kabisa?

    Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa. Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
  9. Tlaatlaah

    Jeshi la Polisi Tanazania linafanya kazi nzuri sana kisasa, kwa mipango na weledi wa kiwango cha kimataifa kabisa kote nchini

    Mungu Ibariki Polisi Tanazania kwa kufanya kazi kisasa na kwa weledi wa kiwango cha kimataifa katika kubaini shari za bandits na kulinda usalama wa raia, mali zao na makazi ya waTanzania wote, bila kusubiri athari za fujo, vurugu na uporaji uaopangwa kabla na vibaka wahalifu na matepeli...
  10. Meerkat

    Akili Pekee Haitoshi. Kiwango cha Juu cha Akili ni Ufahamu

    Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu. Watu wengi hufikiri kwamba akili (IQ) pekee inatosha kumfikisha mtu kwenye mafanikio, lakini ukweli ni kwamba ufahamu (awareness) wa hali ya juu ndio unaotofautisha watu wa kawaida na wale wanaoweza kujitambua, kuelewa mifumo...
  11. SSH2025_2030

    Kiwango cha juu cha Elimu ya Menyekiti anayemaliza muda wake CHADEMA

    Mwenye kujua kiwango cha juu cha Elimu ya Mwenyekiti anayaliza muda wake CHADEMA
  12. M

    LGE2024 Uchaguzi huu uliopita ni kuwadharau Watanzania kwa kiwango cha juu sana

    Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli. Uchaguzi huu umeonesha ni kwa jinsi gani waliopo madarakani wanavyowadharau wananchi wao. Ebu fikirini...
  13. and 998 others

    Kiwango cha juu cha ELIMU ya Gachagua?

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya aliyekua Naibu Rais Kenya Rigathi Gachagua tafadhali. Ukimsikiliza matamshi yake Kuna kitu utang'amua
  14. A

    Kiwango cha juu cha ELIMU ya Zembwela

    Mwenye kufahamu kiwango cha juu cha ELIMU ya huyu mtangazaji/ Msanii Nguli tafadhali
  15. Tlaatlaah

    January Makamba amefiti vizuri Wizara ya Mambo ya Nje. Heshima na ushawishi wa Tanzania duniani ni ya kiwango cha juu sana

    Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge wa Jimbo la bumbuli mh.January Makamba.. Mchango wa Tanzania kwenye forums mbalimbali duniani...
  16. K

    Tukimpa Rais Samia jukumu la kuwa mtalii namba Moja wa Taifa, tutakuza utalii wa kimataifa Kwa kiwango Cha juu. Tuwatumie mabalozi wamsaidie

    Hongera na pongezi nyingi ziende Kwa Rais wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Kwa kukubali kutangaza utalii kupitia filamu ya "THE ROYAL TOUR". Mengi ya kukatisha tamaa yalisemwa kabla ya matokeo ya filamu hiyo kuanza kuonekana lakini Sasa kinachosemwa ni ushindi na mafanikio. Kulingana na takwimu...
  17. M

    Kuzuia habari Waraka wa Maaskofu kuripotiwa kwenye Vyombo vya Habari ni uminywaji wa kiwango cha juu sana katika utoaji habari

    Katika awamu Hii vyombo vya habari hasa TV, Magazeti, na Radio vimebanwa hasa kupitia BAHASHA za KAKI zinazotolewa na akina napenauye. Ishu ipo hivyo, vyombo vya habari vilivyo vingi hapa nchini ni njaa kali, kwa hii serikali ya wala rushwa na mafisadi yanayokula kwa urefu wa kamba zao...
  18. M

    Pakistan wana bidhaa nzuri na bora, lakini tumekariri Dubai, Uturuki, China na Thailand

    Wakuu, Pakistan hua hatuitaji kibiashara wala hata bidha zao hatuzitaji lakini kiuhakika jamaa kwa viwanda vidogo na vikubwa nao sio haba. Bidhaa zao nyingi ni bora na za kiwango cha juu hivo ni muhimu sana kuelekeza macho nchi nyingine kama hizo, Nadhani tusiendelee kukariri sehemu ya...
Back
Top Bottom