kiwanda

Cape Kiwanda State Natural Area is a state park in Pacific City, Oregon, United States. Cape Kiwanda is on the Three Capes Scenic Route, which includes Cape Meares and Cape Lookout. Hiking to the top of Cape Kiwanda allows views of Nestucca Bay to the south and Cape Lookout to the north.
A sea stack, named Haystack Rock, is located 1⁄2 mile (0.80 km) southwest of the cape. It is one of three features along the Oregon Coast that are called "Haystack Rock," though the one in Cannon Beach is more widely known.
One of the attractions, called the Duckbill, in the park was destroyed by vandals in August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited utanufaisha kwa Ajira 3,500-4000 na Kukuza Mapato ya Serikali

    Rais Samia akiwa katika uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited amesema Mradi huo uatwezesha ajira 3500 hadi 4000 huku serikali ikikadiriwa kupata kiasi cha mapato ya dola millioni miatatu sabini na tatu " Tathmini iliyofanywa inaonyesha kuwa...
  2. GE2025 Rais Samia: Serikali inakadiriwa kupata Mapato Mrabaha Dola 373,000,000 Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani, Namtumbo

    https://www.youtube.com/watch?v=aCAOOMPcPiw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kumpokea tayari kwa tukio la Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani...
  3. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha Dawa na Zana za Kilimo Nchini Belarus

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, leo tarehe 22 Julai 2025, ameendelea na ziara yake rasmi nchini Belarus kwa kutembelea maeneo muhimu ya uzalishaji na ushirikiano wa kimkakati. Akiwa katika mji wa Minsk, Majaliwa alitembelea kiwanda cha Belmedpreparaty, ambacho ni maarufu kwa utengenezaji wa dawa...
  4. Rais Samia atoa Bilioni nne ujenzi kiwanda cha kuzalisha nishati mbadala

    RAIS SAMIA ATOA BILIONI NNE UJENZI KIWANDA CHA KUZALISHA NISHATI MBADALA 📌Kiwanda kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa nishati safi nchini 📌REA kugharamia ununuzi wa mtambo wa STAMICO 📌Stamico yapania kusambaza Nishati Safi ya Rafiki Briquettes kila kona Serikali kupitia Wakala wa Nishati...
  5. Kiwanda cha General tire - Arusha

    Hivi tukifufua kile kiwanda cha Matairi Arusha ambapo miundo mbinu ipo kwa pengine 50% na tukasema tairi zote za magari ya kawaida ya Serikali Mikoa yote wachukue pale na majeshi yetu pia wachukue pale.nk Bila kusahau soko la kawaida la secta binafsi; Hivi si tutakuwa tume serve mabilioni ya...
  6. M

    Kiwanda kipya Cha CEMENT kigoma chaanza kuuza cement kwa Tanzania na nje ya nchi congo,burud

    Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
  7. Vichekesho Afrika haviishi, Kanisa lina maana kubwa kuliko kiwanda

    Vichekesho vya kisiasa/kiutawala toka Afrika bara la watu weusi. 1. Kiwanda kinauliwa ili lijengwe kanisa watu wakaombe uchumi wa nchi ukue. 2. Rais wa nchi fulani mashariki mwa Afrika anajisifia kujenga kanisa ikulu maana yake lengo hasa la yeye kuwa ikulu ni muda mwingi kuutumia kukesha...
  8. Wazee wa Toyota easy to maintain. Mmeona kiwanda chenu vingunguti? Spare fake kibao

    Wananzengo habari, Jana mkuu wa mkoa wa DSM alikuwa kwenye magodauni vingunguti ambapo wamekuta viwanda vya kutengeneza spare za TOYOTA na NISSAN. Ina maana ukienda kariakoo au mitaani spare zinatoka pale na mafundi wanawaambia hii original. Navyojua hakuna spare original bei rahisi. Endeleeni...
  9. M

    Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  10. Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha maloba(magunia) kwa hapa Dar

    Waungwana habari ya jioni Naomba kufahamu kilipo kiwanda cha haya maloba kwa hapa Dar. Natanguliza shukrani.
  11. Kiwanda cha madini adimu kujengwa kijijini cha Ngwala Mkoani Songwe

    Kampuni ya Mamba Minerals Ltd inayowekeza kwenye mradi wa madini adimu imeweka wazi mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha na kuongeza thamani madini adimu kijijini Ngwala Mkoani Songwe badala ya kusafirisha madini hayo yakiwa ghafi. Hayo yamesemwa wakati wa uzinduzi wa zoezi la ulipwaji...
  12. W

    Kiwanda cha Dangote chaleta neema kwa wananchi wa Mtwara

    Wananchi wa vijiji vya Likonde, Hiyari, Mkwajuni, Mwembetoga, Kyoba, Msijute, Mbuo na Mayanga, mkoani Mtwara, wameeleza kuridhishwa kwao na mchango mkubwa unaotolewa na Kiwanda cha Saruji cha Dangote katika kuboresha huduma za kijamii kwenye maeneo yao, hususan kwenye sekta za elimu, afya, maji...
  13. D

    Kiwanda cha Silaha cha Rwanda. Wapo mbali sana hawa jamaa

    Rais Paul Kagame akitembelea kituo cha Shirika la Uhandisi na Uzalishaji la Rwanda (REMCO) wakati wa maonyesho katika Kongamano la Kimataifa la Usalama la Afrika (ISCA), lililoanza Jumatatu, Mei 19 mjini Kigali. Rwanda yaanza kuonyesha silaha zilizotengenezwa na kampuni ya ndani ya REMCO katika...
  14. Sales Person Mtu wa Masoko katika kiwanda Cha Sembe.

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Ya Unga wa Sembe, Dona, Pumba ya Mahindi. Mashara : 300k ~ 600k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : / Whatsapp 0754397178
  15. KERO Responded Misugusugu Kibaha: Kiwanda cha kutengeneza pombe kinatiririsha maji machafu na kuzalisha harufu kali eneo lote linalozungukwa na Kiwanda

    Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi kinachoitwa Maranile Group Ltd kinachozalisha Pombe kali, kwani muda wote eneo zima la Mleleguo...
  16. Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

    Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
  17. Wapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Hapa Tanzania?

    Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu Asante
  18. Gharama ya uanzishaji wa kiwanda cha pombe

    Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc. Kwa yoyote mwenye ABC karibu. Ahsante
  19. Machimbo au kiwanda wanapouza mifuko ya nylon kwa Bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam

    Habari, Anayefahamu wanapouza au kiwanda Cha mifuko ya nylon kinapatikana maeneo gani kwa hapa dsm Mifuko hutumika hutumika kuwekea vitu vidogo vidogo madukani
  20. Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga sio ndoto bali fursa halisi ya kifedha na kiuchumi. Kwa kuwepo kwa bomba la mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga, unaweza kufanikiwa kwa urahisi zaidi. Bomba hili litakalobeba mafuta ghafi (crude oil) kutoka Uganda litakufungulia fursa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…