Kama kuna habari iliwaumiza wengi ni kauli ya tajiri Dangote kuhamisha uwekezaji wa kiwanda cha mafuta kutoka Tanga kwenda Mombasa.
Ni imani yangu kuwa mkutano wa Rais Samia leo na Tajiri Dangote, pamoja na mambo mengine umejaribu kuhuisha matumaini ya mradi huu kubaki Tanga.
Ni lazima kama...
Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
My Take
Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania.
Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, ametangaza nia yake ya kuwekeza nchini Kenya kwa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta (oil refinery) chenye uwezo wa kuchakata mapipa 650,000 kwa siku. Uamuzi huu unakuja baada ya kuwepo kwa mipango ya awali ya kujenga kiwanda...
Mkenya hajawahi kumpenda Mtanzania au kumtakia mema
Hv kwann Ruto ana push kiwanda cha mafuta kijengwe Tanga ? Nahc kuna Disadvantages nyingi kuliko advantages
Kampuni ya usambazaji wa mafuta ya GBP, iliyopo jijini Tanga, imeungana na vyombo vingine vya usalama, likiwemo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, katika juhudi za kukabiliana na moto mkubwa uliolipuka na kuendelea kuteketeza Kiwanda cha Mafuta na Vipodozi cha Mamujee.
Moto huo ulianza kuwaka usiku...
Rais Samia leo Aprili 9, 2025, anatarajiwa kutembelea kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta cha Luanda Oil Refinery ikiwa ni siku ya tatu na ya mwisho ya ziara yake ya kikazi nchini Angola.
Ziara hiyo inaweka alama muhimu ya kihistoria, kwani ni mara ya kwanza kwa Rais wa Tanzania kutembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.