kiuongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 Makosa ya kiuongozi aliyoyafanya Rais Samia na kujikuta anapoteza uungwaji mkono wa wananchi kwa wingi na kasi ya kutisha

    Rais Samia alipoingia madarakani kwa kiwango kikubwa alipokelewa vizuri sana na watanzania. Wengi walimuona kama hewa mpya, walimuona tumaini jipya baada ya maisha ya mbilingebilinge ya utawala wa awamu ya tano. Samia alitetewa, kukingiwa kifua dhidi ya critics mbalimbali, akapewa jina la mama...
  2. Kabende Msakila

    Wananchi wa Tanzania tunaamini kuwa changamoto za kiuongozi, madai ya kimaadili na malalamiko mengine tuna uwezo wa kuyatatua mezani

    Team! Salaam! Hakuna taifa lisilokuwa na changamoto za kiuongozi, kimaadili na kadhalika. Tunachojivunia ni utayari wetu wa kupata suluhu za changamoto hizo kwa njia ya mapatano na usuluhishi mezani. Serikali yetu nayo iwe tayari kwa kushauriwa na kuendeleza makubaliano. Hakuna haja ya...
  3. pakaywatek

    Yanga waache mipasho ili kuhalalisha mapungufu yao ya kiuongozi

    Ligi Ina timu 16 basi tuseme wameungana na ndugu yao mwigulu na singida yake zimebaki timu 14, alafu wakataka ligi iendeshwe wanavyotaka wao yaani waweke watu wao ndo waongoze TFF wanataka maamuzi yao ndiyo yatekekelezwe iwe uwanjani Hadi uongozini, na wanatishia wakiwa nyuma ya viongozi wa...
  4. Z

    Freeman Mbowe unaonaje ufanye mapinduzi ya kiuongozi ili uinusuru CHADEMA?

    Mapinduzi sehemu nyingine ni kitu cha kawaida kabisa. Angalia Kagame alivyoijenga Rwanda. Mbowe pindua uongozi uliopo uiponye CHADEMA na anguko kuu. Huoni hii hama hama ya wanachama na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi 2025?
  5. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Jesca Magufuli ni mtu ambaye analazimisha Mfumo umbembe wakati hana uwezo wa kiuongozi, CCM stay alert!

    To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary. Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu. Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli. Mirrad ayo unatumika vibaya.
  6. gcmmedia

    ZItto aonesha udhaifu kiuongozi

    Wakati Tundu Lisu anatangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM taifa, muda mchache baadae Zitto Kabwe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, hasa ukurasa wake kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) ameonesha kufurahishwa siyo na kitendo cha Lisu kugombea, Bali kwamba kuna...
  7. funaku

    Mbinu ya kijasusi - kutengeneza chuki dhidi ya Serikali ili kuacha ombwe la kiuongozi!

    Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu. 1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita. 2-Kupitia Waasisi wetu hususani Mwalimu Nyerere tuliona njia bora ni kudai Uhuru wetu kwa njia ya kidiplomasia. 3-Hata baada ya kupata...
  8. N

    Mambo 10 ya kiuongozi yanayomfananisha Rais Samia Suluhu Hasan na hayati Julius Kambarage Nyerere

    1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu. 2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global" 3. Mafundi wa...
  9. R

    RC Said Mtanda amekuwa akituhumiwa kwa matendo yasiyo ya kiuongozi. Je, kwa alichowafanyia viongozi wa Simba atabakishwa ofisini?

    Mkuu wa mkoa wa kwanza alituhumiwa tukio la unyanyasaji kingono lililomhusisha RC Simiyu. Mamlaka kwa makusudi zikamwacha ofisini Sasa hivi viongozi wa Simba wamelalamika hadharani kwamba amekwenda kukamata viongozi wao akiwa na polisi na kuelekeza wawekwe ndani. Wakati akifanya haya yeye...
  10. Nehemia Kilave

    Mdahalo wa "Elimu ni bora kuliko Pesa " unajidhihirisha sana kiuongozi ndani ya CHADEMA na CCM .

    CCM wanaamini katika Elimu hasa nafasi za juu na uteuzi, ili uteuliwe lazima kuwe na usomi ndani yake . Huku CHADEMA tunakwenda Kiuhalisia zaidi kwamba Pesa ni bora kuliko elimu na ukizikosa uwe na ushawishi kidogo . Yote sawa ila nadhani kuna upande unahitaji mabadiliko Muwe na siku njema
  11. Tlaatlaah

    UDP,CHADEMA, CUF N.K PANAHITAJIKA MABADILIKO MAKUBWA MNO YA KIMFUMO, KIKATIBA NA KIUONGOZI ILI KUWE NA TIJA YA KISIASA MPAKA KWENYE MAISHA YA WANANCHI

    vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini, Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
  12. L

    Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Ni Kiongozi Makini Na hodari sana kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Katika mambo ambayo CCM huwa makini nayo na kutofanya mzaha au majaribio au kukosea basi ni katika suala zima la kusuka safu nzima ya uongozi wake ndani ya chama.inafanya hivi kwa sababu inatambua kuwa CCM ndio moyo wa Nchi,ndio itoayo Dira na muelekeo wa Taifa letu...
  13. L

    Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

    Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua...
  14. P

    Wakati ni sasa kwa vijana kushika nafasi za uongozi

    Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa. Ni muda wa kuwashukuru wazee wetu kwa kazi waliyoifanya ya kujenga taifa hadi kulikisha hapa lilipo. Kuna...
  15. Erythrocyte

    LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  16. L

    Mafanikio ya Rais Samia yanawatesa waliokuwa wanaomba ashindwe kuongoza nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Mafanikio makubwa kiuongozi aliyoyapata mh Rais ndani ya muda mfupi wa uongozi wake yanawaumiza na yamekuwa mateso makubwa sana kwa Baadhi ya watu. Yameleta mateso ya moyo ,presha ,hofu,chuki,vinyongo na Dua mbaya kila uchwao. Usione watu wakiropoka ropoka na kuongea...
  17. Kabende Msakila

    Tundu Lissu vs Zitto Kabwe - nani ana uwezo wa kiuongozi?

    Salaàm! Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi. Sasa hata kama opposition wameshinda kwa bahati mbaya ikiwa hao wawili wamegombea kupitia VYAMA tofauti - yupi awezaye...
  18. The Supreme Conqueror

    Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea

    Kuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea. Katiba+Bendera=Mzalendo 🇹🇿
  19. GENTAMYCINE

    Nguvu kubwa iliyotumika kumchafua Hayati Magufuli ndiyo imegeuka kuwa laana ya Kiuongozi kwa watu wanaomchafua

    Tumetukanwa mno na Kudhihakiwa sana hapa JamiiForums kwakuwa tu akina GENTAMYCINE walipenda aina ya Utawala (Uongozi) wa Hayati Magufuli. Nakiri kama Binadamu Hayati Magufuli nae alikuwa na Mapungufu yake (ambayo hata Mimi na Wewe tunayo yetu) ila kwanini GENTAMYCINE nilimpenda na namkumbuka...
  20. peno hasegawa

    Orodha ya viongozi walioteuliwa na Rais Samia na kuonyesha uwezo mdogo kiutendaji na kiuongozi ni hawa hapa

    Karibuni mjifunze kitu kwa kaliba ya wanaoteuliwa kupewa vyeo bure na kushindwa kutumika na umma. 1. Halima Dendego Mkuu wa Mkoa wa Iringa 2. RPC songwe-ACP Theopista Mallya, kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe 3. RPC Geita 4. Waziri wa Tamisemi na Naibu wake 4. Waziri wa Afya-Chanjo...
Back
Top Bottom