kiuongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TPP

    Tofauti kati ya Tanzania na China kiuongozi

    Ili taifa liendelee lahitaji wananchi na viongozi kuheshimu na kuziogopa sheria na wala sio kinyume chake" sheria kuogopa kundi fulani la watu(watawala ) Former security chief China ex-railway minister China's former justice minister
  2. L

    Mpambe wa Mwigulu, Iramba hana weledi wowote wa kiuongozi zaidi ya siasa tu

    Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la Mandi Kapendo lakini alilotumia mwishoni kabisa akisoma Tumaini Sekondari alimalizia na la Innocent...
  3. chiembe

    Naona hazina ya kiuongozi kwa Naibu Waziri, Atupele Mwakibete na Steven Byabato, wajibidishe, wawe wachapakazi na wanyenyekevu

    Katika manaibu Waziri ambao nikiwaangalia naona taifa Lina hazina ya uongozi, ni hao vijana wawili, natamani waendelee kupata mentorship ya kiuongozi, wajibidishe kwa wananchi waliowapa kura, hao ndio base yao, na watanzania kwa ujumla. Uongozi wa kitaifa uwalee na kuwapa mafunzo ya aina...
  4. Carlos The Jackal

    Rais Samia anamuakisi Mzee Jakaya Kikwete kiuongozi na kiutendaji

    Kama ni Mwanadamu mbele ya Kioo, basi JK ni Kioo Cha Samia na Samia ndio JK linapokuja suala Zima la kiutendaji na Kiuongozi. Safari za nje ,hivi Kuna Nchi JK hakwenda ? Ila Sasa Safari zao wote wawili, Ni upotevu wa Fedha za Wala hoi na misafara Yao mikubwaaa na Bado safari zenyewe...
  5. L

    Rais Samia ameongea ukweli na kushauri vyema kuhusu viongozi kutambua mipaka yao kiuongozi

    Ndugu zangu Jana October 3/2022 mh Rais Samia alikuwa anawaapisha viongozi aliowateua katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Balaza la mawaziri, Ambayo siku zote hulenga katika kuboresha utendaji na kuleta ufanisi kazini utakaokuwa na tija katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi. Pili...
  6. G-Mdadisi

    Zanzibar: Wadau Wapendekeza Somo la Usawa wa Kijinsia kufundishwa Mashuleni kuwaandaa watoto wa kike Kiuongozi

    IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayowajengea wanawake misingi bora ya uongozi katika ngazi mbalimbali ndio kikwazo kikuu kinachokwamisha ufikiaji wa usawa wa kijinsia katika vyombo vya maamzi nchini. Hayo yameelezwa na viongozi wa vyama vya siasa Kisiwani Pemba katika mkutano wa...
Back
Top Bottom