kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakagua Miradi ya ujenzi Kituo cha Utalii na Kituo cha Utafiti

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti, Timotheo Mnzava (Mb) imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajenda yake ya kukuza utalii ikiwemo katika miradi ya ujenzi wa kituo cha utalii kwa gharama ya shilingi...
  2. JamiiForums Tanzania Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme

    Sintofahamu imetokea mkoani Njombe na hii ni baada ya moto ambao bado haujafahamika chanzo chake kuwaka na kuteketeza eneo la kituo cha kusambaza umeme mkoani humo. Mara tu baada ya kudhibiti moto huo, Kaimu meneja wa TANESCO mkoa wa Njombe Mhandisi Lazaro Bartazai alidokeza kuwa hakuna athari...
  3. G

    JamiiForums Tanzania West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Ndugu mwana JF, Napenda kuzidi kuwakumbusha kuhusu biashara ya mafuta saivi ndio biashara inayoshika hatamu Kwa Kasi sana. Biashara ambayo inakupa faida Kwa haraka bila mawazo kwani biashara hii ni nzur sana. Unaweza wekeza kituo 1 Cha mafuta ndani ya mwaka 1 ukawa na uwezo wa kujenga kituo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

    Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi). Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Kituo cha kupozea umeme GGM ni kielelezo cha Historia kwenye Sekta ya Umeme Nchini

  7. JamiiForums Tanzania Katoro -Geita kupatiwa Wilaya ya Kipolisi na kujengewa Kituo cha Polisi

    Serikali imesema itaupatia Mji mdogo wa Katoro Mkoa wa Geita Wilaya ya Kipolisi na kuujengea Kituo kipya cha Polisi chenye hadhi ya Wilaya ili kuimarisha Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati wa ziara ya Katibu...
  8. JamiiForums Tanzania TANESCO kuzindua kituo cha kupokea na kupozea umeme cha Mgodi wa Geita mine

    Hatimaye Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) inaenda kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukamilisha ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme unaofikishwa mgodini hapo Kituo hicho kilichojengwa kwa gharama ya Sh60.6 bilioni...
  9. JamiiForums Tanzania Napendekeza kituo kikuu cha Treni Mwanza kiitwe UMUGHAKA MWANZA STATION

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Hili ni pendekezo Kwa viongozi wa Serikali,najua wengi wenu mko humu na mtapitia huu Uzi. Sababu za Kituo hicho Kipya kitakachokuwa kizuri kupita maelezo kupewa jina la UMUGHAKA ni zifuatazo:- 1. UMUGHAKA ni Jasiri,hivyo kituo hicho kitakachojengwa...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

    Mwana JF Leo nipo hapa kukuoneaha (kukuambia) umuhimu wa kuweka Beam chin kabla kuzika Tank la mafuta. Ukiweka bim inakusaidia Kwa 90% kuwa na uhakika wa Tank lako kutokupanda juu au kuibuka. Hakikisha unaweka bm yenye chuma za kuanzia mm16 mpaka mm25 kulingana na ukubwa wa Tank Kunja huk za...
  11. JamiiForums Tanzania Mikataba ya TACTIC ya ujenzi wa Barabara, Kituo Kikuu cha Mabasi na Soko Kuu la Jiji yasainiwa Mbeya

    Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameishukuru Serikali kwa kusikiliza kilio cha Wananchi wa Mbeya kwa hatua ya kuanza kuboresha miundombinu mbalimbali katika Jiji la Mbeya...
  12. JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika

    Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta wagonjwa 12 wakiwa wametandikiwa magodoro maeneo mbalimbali ikiwemo sakafuni, kwenye mabenchi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa kituo kwa mtoto mlemavu

    Wasalaam Kuna jambo linamiumiza kichwa nimeshindwa hata kulala usiku huu nikaona niwashirikishe humu Historia ya Charles David Mtoto huyu ambae nimepata kufahamiana na mama yake kwa zaidi ya miaka 7 hivi. Kwa majina anaitwa Charles David. Hakuzaliwa na ulemavu, alipata ulemavu wa mwili na...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara Wilaya ya Temeke; Barabara kutoka Kituo cha Polisi Chang'ombe hadi Buza ina mashimo 46!

    Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam. Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku Kero zetu kubwa huku ni usafiri na inayotunyemelea ni ya barabara kuharibika pasipo marekebisho tangu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Kituo cha Mafuta kilichojengwa Kimara Stop Over kimejengwa eneo la hifadhi ya barabara ya Morogoro?

    Unapotokea mjini kwenda Mbezi, ukiwa eneo la KIMARA STOP OVER, kuna kituo cha mafuta kinachoitwa RUPIA. Wakati wa Serikali ya awamu ya 5 nyumba nyingi na vituo vingi vya mafuta vilibomolewa ili kupisha ujenzi wa barabara. Mara tu Serikali ya awamu ya Sita ilipoingia tulishangaa kuona kituo kile...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini kituo cha polisi cha Oysterbay? Natilia shaka matumizi ya kituo hicho

    Kituo cha polisi cha Oysterbay tofauti na vituo vingine mara chache sana kimekuwa kikitoa kesi za vibaka , uhalifu nk. Lakini kila aliyetekwa na kupotezwa amepita kituoni hapo either kwa siri au kwa uwazi. Sio story ya Sativa tu kuna story nyingine nyingi za watu kutekwa na kuonekana nje ya...
  17. JamiiForums Tanzania Magaidi wavamia makanisa mawili ya Orthodox, sinagogi na kituo cha polisi huko Urusi

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇷🇺Mapigano na magaidi yanaendelea, baadhi ya wanamgambo wameondolewa, wengine wamezuiliwa. - Wanamgambo wawili waliangamizwa huko Dagestan, -Gari la doria linawaka moto kwenye Mtaa wa Ordzhonikidze. -Mashambulizi ya silaha yalifanywa kwa makanisa mawili ya Orthodox...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Wahalifu wote Watukutu wakishindikana kwa Kutotoa Ushirikiano wakipelekwa Kituo cha Oysterbay hutoa Ushirikiano huo kwa dakika chache tu?

    Nasubiria Majibu yenu ya upesi kwani kuna Mtu kaniibia Kuku wangu Bandani kule Kwangu Bagamoyo Mkoani Pwani.
  19. JamiiForums Tanzania Huduma katika Kituo cha Polisi Oysterbay ziboreshwe

    Utakapoenda kituo cha polisi Oysterbay na ikakupasa usubirie huduma, Utaelekezwa nje, upande wa pili wa barabara. Sehemu yenyewe haina Mabenchi ya Kukaa Ni njia ya Vumbi Hakuna Kikinga mvua wala jua. Wizara ya mambo ya Ndani na Jeshi la polisi, jirekebisheni kwa hili.Mana nawaza kama Oysterbay...
  20. JamiiForums Tanzania Familia yangu huiambii chochote kuhusu kituo cha runinga cha Cheka Plus

    Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media Cheka Plus inakuja kwa kasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…