kituo cha afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyeibwa wodini baada ya kuzaliwa apatikana, akutwa amelala kwa anayetuhumiwa kumuiba

    Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga amelipongeza Jeshi la Polisi Wilaya ya Kipolisi Msalala Mkoani Shinyanga na wananchi kwa kazi kubwa waliyoifanya kufanikiwa kupatikana kwa mtoto mchanga aliyeibiwa wodini katika Kituo cha Afya Lunguya Halmashauri ya...
  2. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Mara: Wilaya ya Bunda yatumia milioni 60 kujenga msingi wa jengo moja la kituo cha afya

    Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Unapohisi dalili za Covid-19 nenda kituo cha afya kupima usijitibu

    UNAPOHISI DALILI YA #COVID19 NENDA KITUO CHA AFYA USIJITIBU Wataalamu wa Afya wanashauri pindi unapohisi dalili za Corona nenda kituo cha afya ukapime badala ya kuanza kunywa dawa na kujaribu kujitibu. Inaelezwa kuwa miongoni wa dalili hizo ni pamoja na kupata shida wakati wa kupumua, kupata...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Milioni 400 kujenga majengo matano ya kituo cha afya cha Mtoa - Iramba

    MILIONI 400 KUJENGA MAJENGO MATANO YA KITUO CHA AFYA CHA MTOA - IRAMBA. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea kufanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi ambapo akiwa kata ya Mtoa amesikiliza kero za wananchi na kufuatilia ujenzi wa...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Serikali kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati kila Kijiji na Kituo cha Afya kila Kata

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeamua kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati katika Vijiji na Vituo vya Afya katika Kata. Ameeleza, "Tumeamua hivyo ili tuwe na ujenzi wa Zahanati na Vituo vya Afya kimkakati zaidi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kujifungua Kituo cha Afya ni salama zaidi

    Siku za kujifungua zinapokaribia ni muhimu maandalizi ya kumfikisha mjamzito Kituo Cha Afya yafanyike kwasababu kujifungulia Kituo cha Afya ni salama zaidi ya kujifungulia nyumbani. Hakikisha Mama ana vifaa hivi: Sabuni, Boksi dogo la glovu, Khanga/Vitenge, Nepi, kifunga kitovu, kiwembe/mkasi...
  7. Dogo G

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Zahanati, Kituo cha Afya, Hospitali ya Rufaa?

    Waungwana hamjambo, Kuna maneno ya hizi taasisi huwa yananichanganya. Kuna tofauti gani kati ya zahanati, kituo cha afya, na hospitali ya rufaa?
Back
Top Bottom