Mimi ni Mtumishi katika Kituo cha Afya Kigamboni (Ferry karibu na Kituo cha Polisi Mzizima), uongozi kutumia vibaya madaraka yao kwa kujilipa stahiki zisizo sahihi mfano; wanajilipa hela za doctors OnCall allowance wakati hawaingii hizo call (viongozi hao ni mganga mfawidhi, Katibu wa Afya...
Mbunge wa Jimbo la Malinyi, Dkt. Mecktridis Mdaku ametoa msaada wa kuboresha mfumo wa usambazaji majisafi katika kituo cha Afya cha Kata ya Itete, Kilichopo Wilaya ya Malinyi, Mkoani Morogoro na kusaidia kuondoa adha ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu Kituoni hapo.
Hatua hiyo...
Habari,
Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini.
Kuanzia mwezi wa pili mwaka 2026, sisi WAVIU tumeanza kupata shida ya kuzorota kwa huduma. Kwa mfano...
Anonymous (c723)
Thread
afya
arv
bukoba
bukoba vijijini
huduma
kagera
katoro
kituochaafya
matunzo
mkoa wa kagera
tiba
vijijini
vvu
Kituo cha Afya cha Bunju kimekuwa kikitoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi, hasa katika upande wa kliniki za wajawazito. Mbali na utaratibu kuwa mbovu, pia kuna kutoza gharama kubwa zisizoeleweka.
Kwa mfano, mama mjamzito anapoenda kliniki ya kwanza, anatozwa kiasi kikubwa cha fedha tofauti...
Mambo vipi wakuu mbalimbali .
Nimekuja Leo baada ya salamu ni juu ya kero hii.
Katika kituo kidogo Cha matibabu kinachomilikiwa na wakorea pale Karibu na soko la majengo kumekuwa hakuna faragha kati ya mgonjwa na wagonjwa wengine ama kati ya wagonjwa na watu wengine mbalimbali wanaofika...
Wanahabari wametembelea Zahanati ya Kizimkazi iliyopo Mkunguni ambapo katika ziara hiyo wamejionea jinsi zahanati hiyo inavyofanya kazi na yenye hadhi ya hospitalI kubwa kutoka na kila huduma ya matibabu inapatikana.
Daktari Dhamana wa Zahanati hiyo, Tamimu Hammad Saidi amesema "Zahanati inatoa...
Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Mimi ni daktari nafanya kazi katika moja ya taasisi hapa nchini
Nina uhitaji wa kufungua kituo Cha afya au hospital endapo nitafanikisha kupata jengo lenye sifa zifuatazo
1. Jengo liwe limezungukwa na idadi ya watu wengi
2. Jengo liwe na vyumba vya kutosha walau...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeielekeza Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa kituo cha afya cha Farkwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma.
Maelekezo hayo yametolewa na...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na watendaji wa Wizara hiyo kukutana na kufanya mapitio ya vigezo ili kukipandisha hadhi kituo cha Afya cha Mama Ngoma kilichopo kata ya Kwakoa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro kuwa hospitali.
Ametoa maelekezo hayo...
Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amefanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata ya Mninga.
Akizungumza na wananchi waliojitokeza kituoni hapo, Kihenzile amesema kuwa ujenzi wa kituo hicho hadi kukamilika siyo nguvu zake...
Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano tena hakuna la maana.
=======
Wananchi wa Kata ya Mtipa, mkoani Singida, wamefanya sherehe kubwa...
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly ameahidi kukabidhi mabeseni Mia Moja (100) kwa kila kituo cha Afya kilichopo katika Jimbo la Sumbawanga Mjini.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Wakubwa habarini za majukumu, na pia nawapa hongera katika kipindi hiki cha MFUNGO MTAKATIFU( ISLAM& ROMAN CATHOLIC)
Mimi ni kijana( me) 25 OLD ambaye nimehitimu ngazi ya diploma in clinical medicine 2024.
Hivyo naomba naombeni ushauri katika kada hii hususani kujitolea (volunteer)
Katika...
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga.
Mhandisi Jumbe amekabidhi mifuko hiyo ya saruji wakati wa...
Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho.
Kituo cha Afya cha Maheha kilichogharimu shilingi milioni 400 sasa kimeanza kutoa huduma na wananchi wengi hususan wanawake wamejitokeza...
Serikali kupitia ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa - TAMISEMI (Afya) imeahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 hadi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi kilichopo Kata ya Ukumbi Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa.
Ahadi hii imetolewa na Naibu Waziri wa ofisi...
Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Mhandisi Stella Manyanya, ameonesha masikitiko yake bungeni baada ya kuuliza swali mara tano kuhusu changamoto ya upungufu wa wodi katika Kituo cha Afya Kiyagara, bila serikali kuchukua hatua.
Mbunge huyo ameuliza swali hilo tarehe 28 Januari 2025, katika Mkutano wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema, dhamira njema ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ya kuipa kipaumbele Sekta ya Afya nchini ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma za uhakika za matibabu bila kuzifuata nje ya nchi.
"Vission yake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.