kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

    Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa.. Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade). Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema...
  2. JamiiForums Tanzania Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwa sisi Watanzania

    1. Inawezekanaje watu wanatekwa na watekaji pengine tunawafahamu lakini tuna kigugumizi cha kuchukua ngumu na za haraka dhidi ya hao watekaji? 2. Inawezekanaje wakati mwingine mtu anatekwa hadharani mchana kweupe na mbele ya umati wa watu lakini waliopo hawachukui hatua kuwadhibiti na...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi hawawezi kusema wanachunguza kitu ambacho wananyooshewa vidole na zaidi ya nchi nzima kama wahusika lazima wananchi mbeya wajilinde

    Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza. Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ndo kusema hawa wanaohama CHADEMA wenyewe hawataki kabisa kusikia kitu kinaitwa "uchaguzi huru, wa haki na kuheshimu kura?" Au kuna kitu nyuma yake?

    Chadema chini ya Lisu wanatete maskini na kura zao kuheshimiwa pindi wanapopiga kura na mshindi aliyeshinda ndo atangazwe tofauti na sasa ambapo kura huwa zunapinduliwa aliyeshindwa na anatangazwa mshindi mfano Nape, gwajima, majaliwa nk walitangazwa bila kushinda Kwahiyo hao wanaohama wanataka...
  6. JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania kuna kitu gani kinaendelea? Mmepewa nini mpaka mnajitoa akili?

    Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema. Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu, •Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Najua kuna ma-great thinkers humu ndani, mnisaidie kitu!

    Ninapokea boom 595000/=kila baada ya miezi miwili.nina lipwa Ada 225000/=.kwa mwaka. Ada ya Chouo NI 1330000/= kwa mwaka NAOMBENI USHAURI ninawezaje kumeneji hizi fedha ili ninapo maliza chuo niwe na chochote kitu ,nawasikiliza tafadhari!!
  8. JamiiForums Tanzania Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

    Kwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu. Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi? Copy to: secretarybird | Binti Sayuni03 To yeye | Joanah | dosho12 Lax | Chica Gee | Mshangazi dot com | Poor Brain | mshamba_hachekwi | Tajiri Sina BAYA | and 100 others
  9. JamiiForums Tanzania Ratiba ni kitu sahihi katika maisha

    Habari.. Katika maisha yetu ya kila siku ni vyema kuwa na RATIBA yoyote inayoongoza maisha yetu kama ni kwa Wiki,Mwezi, Miezi au hata Mwaka...Almuradi tuu tusiache kuwa na RATIBA inayotoa kipaumbele katika Maisha yetu.. Mfano nkiwa mdogo kuna familia pale street ilikuwa na ratiba ya diko...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu tunachogusa, kushika wala kukanyaga – kugusa ni udanganyifu wa akili

    Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu. Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni. Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other) kwa sababu ya nguvu ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali

    Viongozi wa dini epukeni siasa za upinzani wahuni waweza kuwafanyia kitu kibaya ili wapate kick za kisiasa na kusingizia serikali lengo likiwa kuchafua serikali na kujijenga kisiasa Wanajua akifanyiwa chochote kibaya kiongozi wa kidini mpinga serikali lawama zitaenda kwa serikali na wao...
  12. JamiiForums Tanzania Mzungu akikupa msaada jua kuna kitu utampatia tu

    Je? Hicho kitu ni kitu gani mpaka sisi waafrika hatukioni. Kwa waafrika wenzetu.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna koo/familia kila kitu kinaenda vibaya, nyingine kila wanachogusa kinatick... Kwa nini?

    UKOO WAKO UNA LAANA AU UNA KIBALI?" Je, umewahi kujiuliza: Mbona baadhi ya familia wote wanapitia umasikini kizazi kwa kizazi? Watu wana elimu nzuri lakini hakuna maendeleo? Wengine hawajasoma, lakini kila biashara yao ina faida? Kuna familia watu wanakufa kabla hawajafanikisha chochote...
  14. JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  15. JamiiForums Tanzania Je watendaji wetu wanapofanya kitu ni kwa sababu ya rais, serikali au taifa?

    Si nadra kusikia watendaji wa umma wakisema "rais amefanya, ametoa, anataka, hataki,' na mengine mengi. Je watendaji wetu wapo kwa ajili ya rais au taifa? Je wanafanya wafanyayo kwa sababu ya hisani, mapenzi, au utashi wa rais au matakwa ya sheria za nchi? Je rais wetu ni sheria na yuko juu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Acha kujidanganya pesa sio kila kitu

    Huyu hapa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, ambaye anafahamika ulimwenguni kwa jina maarufu la “Sleeping Prince” April 18 mwaka huu, alitimiza umri wa miaka 36, ambapo umri huo umemkuta akiwa bado kitandani ‘coma’ bila fahamu zozote. Mwanamfalme huyo wa Saudi amekuwa kwenye hali hiyo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ushawahi kusikia kitu kiitwacho Trojan Horse?

    Huyu alikuwa farasi mkubwa wa mbao wa kutengenezwa. Alitengenezwa na jeshi la Ugiriki. By then kulikuwa na vita baina ya Wagiriki na Troy. So baada ya kupigana sana, mwisho wa siku Wagiriki wakatengeneza huyu farasi wa mbao. Wakampeleka mpaka nje ya mji wa Troy halafu wao wakasepa. Sasa watu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?

    Ni kitu gani Cha Ajabu uliwahi kukiona na hata ulivyowambia watu hawakukuamini?
  19. JamiiForums Tanzania Mamia wajeruhiwa kutokana na mlipukoa Iran

    Mamia ya watu wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa na moto katika bandari ya Bandar Abbas, zaidi ya kilomita 1,000 kusini mwa Tehran, Iran, kwa mujibu wa maafisa na vyombo vya habari vya serikali. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa mlipuko mkubwa ulitokea katika Bandari ya Shahid...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ukipata leo siku yako itamalizika poa?

    Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh? Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa. Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…