kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TEC mbona hamtoi updates za Maendeleo ya Kiafya ya Padre na Mwalimu wangu SAUT (2006-2009) Kitima?

    Halafu mwambieni huyo Mtu wenu kuwa akiwa anaenda kuwatembelea na kuwapigia Magori Wakatoliki (hasa akiwakosea) asiwe anafanya Siri kwani siku hizi hakuna Siri sawa?
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kitima yupo wapi hatujazoea kimya hii

    Kapona? Au bado wenye data?
  4. JamiiForums Tanzania Mtu wa kwanza kukamatwa lile tukio la kujeruhiwa kwa Padri Kitima mbona hapelekwi mahakamani? Au movie imebuma?

    Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni? Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima. Move imekuja kuharibika kupitia...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tunaomba tujue maendeleo ya kiafya ya Fr. KITIMA

    Mlio karibu na mahali anapo hudumiwa mtupe mrejesho wa maendeleo ya afya yake maana kumekuwa na ukimya wa maendeleo ya afya yake.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini aliyetweet kumtishia F Kitima police hawakumkamata hadi waziri atoe agizo? Kwani hawakuiona ile tweet?

    Moja ya vitu vinanishangaza sana ni namna mambo fulani hufanywa na vyombo vyetu hasa vya usalama. Mimi ninaamini kuwa police wana wataalamu wa intelejensia wa hali ya juu sana. Na sina hakika kwamba huyu waziri wa mambo ya ndani ni mbobevu kwenye mambo ya kiusalama kuliko wataalamu...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa apongeza Jeshi la Polisi, kwa kumkamata mtuhumiwa wa vitisho dhidi ya Padri Kitima

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu...
  8. JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Serikali inalaani shambulio dhidi ya Padri Kitima

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu. Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya...
  10. JamiiForums Tanzania Makamu Rais Dkt Mpango: Waliohusika Na Shambilio Dhidi Ya Padri Kitima Wachukuliwe Hatua.

    https://www.instagram.com/reel/DJO2fzEC2Om/?igsh=MXM2cW1zd3Q2NDBqNw==
  11. JamiiForums Tanzania Shekhe mkuu na Bakwata mnaamini FAZA kitima alikuwa analewa? Aibu iwe juu yenu

    Nina imani shekhe mkuu wa mkoa wa Dsm angekuwa yule aliyen'golewa hasingekaa Kaa kimnya mpaka Leo hasijitokeze kukemea kitendo alicho fanyiwa FAZA Kitima. Swali je Shekhe mkuu Wa Tanzania na Bakwata mpoooo?
  12. JamiiForums Tanzania Askofu Nzigilwa: Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka. Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashungwa: Serikali kuwasaka waliosambaza Waraka feki wa TEC, Waliomshambulia Fr Kitima na aliyesema "siku za Kitima zinahesabika"

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelaani vikali tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima na kuliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumhoji mtu aliyeandika kwenye mitandao ya kijamii kuwa "siku za Kitima...
  14. JamiiForums Tanzania Kujua waliomshambulia Fr. Kitima, kapimeni DNA kwenye meza, viti, vijiko, chakula, na viywaji vinanyosemekana washambuliaji walikuwa wanatumia

    Dunia imefika mbali sana kwa sayansi na teknolojia hasa kwenye majeshi na njanja za matibabu. Kama inavyosemekana kuwa waliomshambulia Fr Kitima walikuja kama wateja na kuagiza vinjwaji na vyakula wakaenda kula wakati wakisoma target yao, baada ya kushambulia wakakimbia. Kama hawa watu...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?

    Je ni sahihi Serikali kumjeruhi Father Kitima?
  16. JamiiForums Tanzania Yule anayetoa pole mtu akipata madhila kwenye kurasa za Rais Samia kaenda likizo kwenye tukio la Kitima?

    Wakuu, Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀 Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama...
  17. JamiiForums Tanzania Chalamila: Suala la Padri Kitima litakuwa na uwazi lakini kwa kufuata miiko ya taaluma

    https://www.youtube.com/watch?v=glHXp1fBkdU Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila amewataka watanzania kuwa na imani na Jeshi la Polisi katika kipindi hiki wakifanya uchunguzi juu ya waliotekeleza shambulizi dhidi ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Dkt...
  18. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani walaani Padri Kitima kushambuliwa, walaani vitendo vinavyolenga kunyamazisha wito wa haki, maridhiano, na haki za binadamu

    TAMKO LA UBALOZI KUHUSU SHAMBULIO DHIDI YA PADRI CHARLES KITIMA Kufuatia shambulio la kushtua na la kikatili dhidi ya Padri Charles Kitima, tunaungana na Watanzania na kutoka kila upande wa kisiasa kumuombea apone kabisa na kulaani vikali vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mashambulio Pacha Kenya na Tanzania Mbunge Charles Were na Padre Charles Kitima

    Wataalamu wa ubashiri na nyota na pia jamii ya wana intelligensia tumeyasikia matukio haya mabaya yaloyotokea Ndani ya nchi hizi jirani. Ikumbukwe mwaka 1998 kuliwahi kushuhudiwa mashambulio ya awali duniani ya kigaidi yanayotumia milipuko katika majengo Nairobi na Daressalaam yaliyofanywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…