Mwanzoni sikukitilia maanani kitambulisho Cha nida lakini baada ya kuona umuhimu wake nimeamua Leo nikakifuatilie
Nimeenda kwenye ofisi ya mtendaji nimepewa fomu zote mbili nimejaza
Mtendaji kaweka mihuri yake pale kanipatia fomu kaniambia nirudi jumatatu
Sasa naomba kuuliza kwenu wazoefu...
Hii tabia ilyoibuka hivi sasa ni ya ajabu sana kila napovuka mkoa mmoja kwenda mwingine wabakakugua kitambulisho cha NIDA nakuniuliza naenda wapi, hii tabia haikuwepo kwasasa naona mambo yamebadilika labda nisababu ya maandamano ya D9 yamechangia kuwepo kwa ukaguzi huo.
Serikali toeni haki kwa...
Nimeshangaa sana
Hiki ni nini? Eti hata kama huna kadi ya mpiga kura usihofu.
Mtu utaweza kupiga kura yya Urais 2025 kwa kutumia leseni ya udereva na namba ya nida🤣
Kulikuwa na haja gabu ya kujiandikisha?
Nchi yetu imeshanajisiwa..
Mtume Mohammed alishatoa maelekezo kuhusu nani anafaa kuwa...
Samahani NIDA mimi nilikojiandikisha kabla sijapata kitambulisho cha NIDA nilihama niko MBEYA wilaya ya CHUNYA na nilijiandikisha Dares salaam wilaya ya KIGAMBONI kipindi ofisi za NIDA zikiwa POSTA.Je nawezaje kupata kitambulisho changu cha NIDA nikiwa huku huku mbeya
Habari wadau Kwa watalaamu na wazoefu wa vitengo vya NIDA ufafanuzi kwa namba za NIDA zilizofungiwa hivi karibuni kwa sababu ya mtu kutokwenda kufata kitambulisho chake alipojiandikisha kutokana na sababu mbalimbali kama kuhamishwa kikazi,umbali wa eneo kitambulisho kilipo nk sasa ni hatua gani...
Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania.
Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona.
2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%.
Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025.
Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
Ni kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini?
Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe kitambulisho cha taifa, cheti cha kuzaliwa na hapohapo tena barua kutoka serikali za mitaa. Ina maana...
Mwaka 2017 serikali ilileta utaratibu mzuri mno wa wananchi wa Tanzania kupata kitambulisho hiki muhimu cha Taifa
Iliendesha zoezi la kujiandikisha kuweza kupata vitambulisho hivi kila kijiji, na zoezi lilifanikiwa kwa zaidi za asilimia 70,kwani watanzania wengi walijiandikisha na kuweza kupata...
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Kwa sasa, NIDA...
📖Mhadhara (72)✍️
Ni siku nyingi sana sikutembelea ofisi ya NHIF. Lakini jana nilikwenda kwenye ofisi ya NHIF kuchukua kadi ya Bima ya afya ya mtegemezi, nikaambiwa kuwa sasahivi mambo yamebadilika. Kwa sasa mtu mzima hapewi kadi ya Bima ya afya bali atatumia NIDA (NAMBA YA NIDA) kutibiwa...
Kwa kua sasa hivi kuna idadi kubwa ya id mfano kitambulisho cha NIDA, Kura, Passport, Leseni n.k na taarifa tunazotoa kwenye hizi taasisi zinafanana kila kitu yaani copy and paste hadi ukiwa na wallet vitambulisho ni vingi kuliko hela .
Swali ni je inawezekana kukawa na kitambulisho kimoja...
Kwanza napenda kuipongeza Wizara ya Tamisemi kwa kuja na mfumo mpya wa kadi za kieletroniki katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi.
Sambamba na pongezi hizi bado kuna changamoto ambazo ni mzigo kwa raia.
1. Ili upate kadi hiyo utalazima kuwa na aidha kadi ya mpiga kura, pasi ya kusafiria...
Raia wa Burundi, Kabura Kossan (65) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka sita yakiwemo ya kughushi kitambulisho cha Taifa (Nida) na cha Mpiga kura.
Vilevile anadaiwa kutakatisha Sh8 milioni zilizotokana na kununua eneo lene ukubwa wa heka 100...
Mke wangu ana changamoto ya kutofautiana majina kati ya kitambulisho cha NIDA na vyeti vyake vya kitaaluma.
Nimejaribu kufuatilia vigezo vinavyohitajika Ili kufanya marekebisho, nikakuta pamoja na vigezo vingine ni pamoja na KADI YA KLINIKI.
Sasa hapa kweli, mtu aliacha kwenda klinic miaka ya...
Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona.
1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha.
Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka.
2. Nililalamika ushenzi...
Hivi kuna tume inayoweza kufwatilia upatikanaji wa hivi vitambulisho vya nida
Yaani vimekuwa kama passport ya kuingia mbinguni
Unambiwa njoo wk 2 upate namba unafika wiki ya tatu unaambiwa hamna njoo wiki ijayo
Unakwenda unaambiwa chukua no hii uwe unatupigia ukiwa tayari tu takujulisha
Hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.