kitambulisho cha nida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania KERO NIDA wanataka kadi ya kliniki ili kufanya marekebisho ya jina. Mtu aliyekwenda kliniki miaka ya 1990's anatolea wapi kadi hiyo leo?

    Mke wangu ana changamoto ya kutofautiana majina kati ya kitambulisho cha NIDA na vyeti vyake vya kitaaluma. Nimejaribu kufuatilia vigezo vinavyohitajika Ili kufanya marekebisho, nikakuta pamoja na vigezo vingine ni pamoja na KADI YA KLINIKI. Sasa hapa kweli, mtu aliacha kwenda klinic miaka ya...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KERO NIDA kuna matatizo ya rushwa na urasimu

    Ni siku tatu zilizopita nimelalamikia nida Kawe na uhuni nilioona. 1. Siku naenda kujiandikisha nilifika saa nne nkaitwa saa tisa kupigwa picha. Unaweza hisi ni makusudi ama wewe pekeyako lakini lundo la watu mnaitwa saa tisa wengine walikata tamaa wakaondoka. 2. Nililalamika ushenzi...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania NIDA namba/ kadi imekuwa changamoto sana shida nini? Wekeni fees tulipe basi kuondoa haya

    Hivi kuna tume inayoweza kufwatilia upatikanaji wa hivi vitambulisho vya nida Yaani vimekuwa kama passport ya kuingia mbinguni Unambiwa njoo wk 2 upate namba unafika wiki ya tatu unaambiwa hamna njoo wiki ijayo Unakwenda unaambiwa chukua no hii uwe unatupigia ukiwa tayari tu takujulisha Hapo...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uganda wakamata wageni wanaomiliki vitambulisho na passport feki. Je, Tanzania tupo salama kiasi gani na uhalifu huu?

    Huko nchini Uganda baadhi ya watu wameendelewa kutiwa mikononi mwa polisi kuwa kumiliki nyaraka kama vile vitambulisho na passport za nchi hiyo ambazo ni feki. Polisi nchini humo inaeleza kuwa raia wengi wanaokamatwa wakimiliki nyaraka hizo ni kutoka nchi kama vile Rwanda, Burundi, Kenya, Sudan...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania CAG: Kitambulisho cha NIDA kiwe kigezo cha lazima kwa Wanafunzi wanaoomba mikopo

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu uweke mwongozo unaohitaji uwasilishaji wa NIDA kuwa ni lazima kwa Woambaji wote wa mikopo wenye umri wa zaidi ya miaka 18 na Waombaji walio chini ya umri wa...
Back
Top Bottom