Katika Hali ya kustajabisha tar 31 Dec 2021, mitaa ya Kimara Mavurunza, kijana mwenye genge la nyanya, tikiti,nanasi etc. Alivamiwa kijana mwingine mwenye hasira huku akifoka na kumwambia mara ngapi nimekuonya hutaki kusikia, basi jamaa akachukua kisu cha palepale gengeni akamwambia Leo...