kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Cha msingi kwa sasa ni kuondoa kwa nguvu uongozi wa kisiasa kote ndani ya Afrika

    Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu kuelekea kuwaondoa wanasiasa wote madarakani na viongozi wao ili kujipanga upya na kuleta HAKI kwa wote sivyo hamna kitu hapo.
  2. JamiiForums Tanzania Je, Kuna Umuhimu wa Viongozi wa Juu wa Kisiasa Kuangaliwa Afya ya Akili?

    Afya ya Akili inahusu hali ya mtu kiakili na kihisia, ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kufikiri, kujieleza, kudhibiti hisia, na kujihusisha na watu wengine katika njia za afya. Ni hali ambapo mtu ana uwezo wa kukabiliana na changamoto za kila siku, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi ya busara...
  3. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Dijitali inavyosukuma kwa kasi kete ya mabadiliko ya kisiasa Barani Afrika

    Photo: fintechassociation.africa/ Kwa zaidi ya miongo miwili, tawala nyingi za mataifa mengi ya Afrika zimekuwa zikikabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa utawala bora, kuendelea kwa vitendo vya ufisadi na mifumo dhaifu ya uwajibikaji. Hali hii imekuwa ikitazamwa kama...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM sasa ni mufilisi kisiasa, haijalaani mauaji

    CCM kwa sasa ni sehemu ya serikali kandamizi. CCM hainaushawishi kwa sasa na haiwakilishi wananchi wa kawaida kabisa. Imepita takriban wiki tatu baada ya mauaji ya wananchi wa kawaida hasa vijana. Mauaji, kuteka watu sasa katika utawala wa CCM kwa sasa ni mambo ya kawaida na CCM IMEYARUHUSU...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tujiepushe na Udini, Ukanda, Ukabila na Itikadi Kali za Kisiasa* 🇹🇿

    Udini, ukanda, ukabila na siasa za chuki havina mustakabali mzuri kwa taifa letu. Hizi ni sumu zinazotutenganisha kama Watanzania, na kama hatutazikemea mapema, zinaweza kuligawa taifa, kuharibu mshikamano na kuvuruga maendeleo yetu ya pamoja. Kwa nini tunapaswa kuviepuka: ✅ Udini unavunja...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimo hai, bora na cha kisiasa kwa kutumia mkojo wa sungura.

    HABARI NJEMA KWA WAKULIMA Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao. Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza mazao na uzito kwenye mazao kama mpunga, mahindi, maharage, ulezi na mtama. Mkojo wa sungura pia...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Unawaona wanaopost video hizo? Ni kwa ajili ya manufaa yao ya kisiasa lakini muda utakwenda na utasahaulika wakishapata wanachotaka! Jilinde

    Kwa wale wote wanaopenda kufuata mkumbo wa maandamano naomba niwakumbushe tu baada ya wao kufanikisha takwa lao la kisiasa utasahaulika kama ulijitoa uhai wako. Mwaka 2007 baada ya serikali ya Nusu mkate kupatikana Raila alipewa kitengo na ndio hivyo wale wote waliojitoa uhai walisahaulika...
  8. JamiiForums Tanzania Nilisema kuhusu wahaini kuachiwa ili kumjenga kisiasa Rais Samia hatimaye leo yametimia

    Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini, Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika. Hatimaye yametimia leo.
  9. JamiiForums Tanzania Nani atamfunga Paka Kengele?- Taswira ya hali ya kisiasa Tanzania

    Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo zinakuwa tishio mbele ya masikio makali ya Paka. Baada ya mateso ya muda mrefu, wanakusanyika kutafuta...
  10. JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa Kazi kwa sababu ya "Chapisho la Kisiasa"

    Na: Jumanne Mwita Leo tarehe 12/11/2025 nimesimamishwa kazi. Sio kwa sababu nilichelewa kazini, wala kwa kosa la kitaaluma — bali kwa sababu nilichapisha au nili "screenshot" chapisho la mtu mwingine lenye mtazamo wa kisiasa. Chapisho hilo halikuwa la matusi, halikuhusiana na kazi yangu...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  12. JamiiForums Tanzania DPP epuka kushitaki ovyo kesi za Uhaini na Ugaidi Kisiasa, Waharifu wanaweza kutumia mwanya huo kuyatenda kweli

    DPP nakuonya mno Kwa uzalendo wangu na ujuzi wangu kidogo kwenye mambo ya usalama Kumezuka tabia ya kushitaki ovyo mahakamani haya makesi ya Uhaini na Ugaidi na kuutangaza kwenye media ili hali ni mambo ya Kisiasa na yapo wazi hivo Haya matendo ni mabaya mno hakuna nchi inayataka hata...
  13. JamiiForums Tanzania Sala ya Kuwaombea Viongozi na Waathirika wa Hali ya Kisiasa Tanzania

    Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha. 1...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Sio kwa Ubaya, ila Kutumia JWTZ kwenye mambo ya Kisiasa ni Jambo ambalo sioni kama Lina mwisho Mzuri Mbeleni

    Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
  15. JamiiForums Tanzania Mchungaji: Hatutaacha kukemea maovu sababu ni suala la mbinguni siyo la kisiasa.

  16. JamiiForums Tanzania Julius Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa

    GT Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii. Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 BAKWATA yakana kutumika na Serikali

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu ya Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) itaendelea kusimamia maslahi ya Nchi ambapo ametoa wito kwa watanzania kuendelea kuwa wazalendo na Taifa lao pamoja na kuilinda amani. Mufti ameeleza hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Makundi kama ISIS, Al-Qaeda ,Hamas n.k, Yametokana na vurugu za kisiasa sio dini

    Hardtimes create tough men Machafuko na vurugu za kisiasa, ukosefu wa elimu sahihi ya dini,elimu ya kiraia na mateso ya kijamii(uongozi) vilizalisha kizazi cha vijana wenye hasira waliokua kutokana na mazingira magumu vikapelekea makundi haya kuzaliwa si kwa misingi ya Qur’an. Asili ya vikundi...
  19. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli ni mkomavu wa kisiasa au msaliti kwa baba yake?

    Mengi yamesemwa kuhusu kifo cha Hayati Magufuli. Watu wake aliofanya nao kazi kwa ukaribu wanasema Magufuli ameuwawa na kundi linaloitwa wanamtandao. Ukianza kulichakata kundi ili unakuwa members wake ndio wanaoratibu kila kitu kwa sasa kwenye CCM. Na kuna yule asemwi lakini ndio alikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia anaonesha ukomavu wa kisiasa kwa mivutano ya kisiasa inayoendelea

    Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…