Nguruwe na kisamvu cha kopo vyote haramu ila angalau nguruwe amehalalishwa kuliwa kwa kiasi kidogo kama hapo ulipo umekosa kabisa chakula na nguruwe ndo nyama pekee iliyopo inalusiwa kula kidogo ila usishibe ila kisamvu cha kopo hakirusiwa kuliwa na umuoni mtume.
Juzi usiku nilikuwa kijiweni kwangu nikitoa huduma kama kawaida, mara akaingia dada mmoja ambaye namfahamu akiwa ameambatana na wadada wengine ambao nao sio wageni pamoja na watoto wakiume wawili.
Mtoto mmoja namfahamu ni wahuyo dada nikajua wamekuja kwa ajili ya matibabu zaidi maana Siku 2...
Nina Visamvu Viwili vya kuchukua Mwenge na Ubungo ngoja nivifuate nije nivitwange na Mchi Mmoja niliouandaa ili nione kama hakuna tofauti au Mtaalam ndiyo Kakosea na Katudanganya.
Habari
Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu
Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu, uaandaaji, uuzaji, n.k
nitashukuru sana kwa mawazo yenu
Asanteni
Kwamba kisamvu kikitwangwa ndio kitalika this is fantastic.
Mnaojua kuendesha baiskeli mtakubakiana na mimi kuwa hakuna chombo kigumu kujifunza kama baiskeli,
Kwamba pasi ikipata moto itanyoosha nguo iliyojikunja.
Chanuo nae aliyegundua alikuwa genius
Kibao cha mbuzi na kukuna nazi
Supu...
Wakuu naomba muongozo, nimekuta haya matangazo kadhaa mitandaoni yakiongozwa na bidada Al-maaruf Mariam Biriani yene jina la USIKU WA KISAMVU CHA KOPO.
Kwa kweli hilo jina na hizo picha za matangazo zimenisisimua kidogo. Kuna nini huko naomba kujua, kama nini nijiandae tu
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza
Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu
Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni
Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa, majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.