kiroho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vifo vya ghafla vya mamilionea vijana nchini Zimbabwe katika mtazamo wa kiroho

    Mnakumbuka ajali mbaya ya gari ya Ginimbi (2020)? Na sasa hii ya helikopta ya Wicknell Chivayo (2026)? Kiuhalisia vifo hivi vinaacha maswali mazito yanayogubikwa na hofu, ushirikina na siri nzito za ulimwengu wa giza. Kwenye macho ya jamii, vifo hivi si ajali za kawaida tu za barabarani au...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kiroho! Roho ni nini? Hakuna aliyejibu mpaka leo!

    Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What actually is a spirit? Maana hata hizo atoms,protons, neutrons na subatomic particles hatizioni kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa ya kiroho kati ya jua na mwezi( patano la uwili)

    Leo tujadili ya rohoni kidogo! Katika safari ya maisha ya mwanadamu, jua la kiroho na mwezi wa kiroho ni alama kuu zinazowakilisha nguvu mbili zilizopo ndani ya kila nafsi. Wakati Jua linasimama kama chimbuko la mwanga, utashi wa kimungu, na nishati ya utendaji, mwezi unawakilisha ulimwengu...
  4. JamiiForums Tanzania DR NCHIMBI NA KANISA:

    Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania. Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Mtego wa Ukiritimba wa Kiroho: Je, ni Kweli Mwanadamu Anaweza Kumjua Mungu Bila Kiongozi wa Dini?

    Wakuu, salamu. Je, inawezekana kuwa hofu kuu ya taasisi zote kubwa za kiroho duniani haikuwa watu kutenda dhambi, bali ilikuwa ni hofu ya waumini kugundua kuwa wanaweza kuwasiliana na Mungu moja kwa moja bila kupita kwenye milango ya mifumo yao na bila kulipa kodi ya kiroho? Ukitaka kuona swali...
  6. JamiiForums Tanzania Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

    Kuna viio vingi sana kwa wanawake kushindwa kudumu katika mahusiano,kushindwa kuolewa,na kushindwa kuzaa. kushindwa kuolewa na kudumu katika mahusiano yaweza kusababishwa na mambo mengine pia kama tabia ya mtu lakini kwa kiasi kikubwa wengi chanzo ni spiritual attack. Wapo wanaume ia ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanapitia changamoto kwasababu ya vifungo vya kiroho

    November 15 mwaka huu nafunga miaka 39. Kwa mazingira niliyozaliwa, kukua na sasa nilipo nathibitisha pasi na shaka kuwa matatizo yanayowapata watu 98% ni vifungo vya kiroho ambavyo watu hufungwa na mapepo, wachawi au shetani mwenyewe. Hii 2% ndio matokeo ya ujinga. Mtu anapokosa maarifa juu...
  8. JamiiForums Tanzania Uhusiano wa kimapenzi na Mwanamke aliyekuzidi umri ni hatari Mkataba

    Unapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyekuzidi sana umri, fedha, au uzoefu wa maisha, wengi huona tu miili miwili ikikutana au akaunti ya benki ikiongezeka. Lakini katika ulimwengu wa roho—iwe ni kupitia elimu za kale za Afrika (African Metaphysics), miiko ya kiasili, au hata...
  9. JamiiForums Tanzania SIRI YA KUFANIKIWA DUNIANI IPO KWENYE KUTOA MISAADA KWA (WAHITAJI)WENGINE(KANUNI YA KIROHO)

    MAFANIKIO NI YA KIROHO Ikiwemo pesa na mafanikio aina nyingine yote yanaanzia katika ulimwengu wa roho na kuja kudhihirika katika ulimwengu wa nyama unao onekana ulimwengu wa kimwili. KIROHO ZIPO NGUVU ZIPO ZA AINA MBILI TU NYUMA YA MAFANIKIO YA MWANADAMU YEYOTE Nguvu za NURU MUNGU au nguvu za...
  10. JamiiForums Tanzania Je sayansi imeweza kuelezea kila kitu au hata yenyewe ina limitations zake? haswa kwa dunia ya kiroho na imani ni ukweli upi upo nyuma yake

    KAribuni
  11. JamiiForums Tanzania Jinsi neno la Mungu (Biblia) linavyoweza kukupa mbinu na fikra kwenye maisha

    Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE Anzia page ya 5 post ya 100 ndo mistari inapoanzia na itakupa mambo yafuatayo Itakupa wazo jipya kwenye fikra zako na mbinu za kufanya ili utoke hapo ulipo Kama kuna roho chafu itaziondoa...
  12. JamiiForums Tanzania Unabii Tanganyika: Kwanini tunapitia haya? Nini tafsiri yake kiroho!?

    Kiroho, nyakati ngumu zinazopita katika nchi ya Tanganyika hazitokei kwa bahati mbaya, bali hutafsiriwa kama kipindi cha mageuzi makubwa na mtikisiko wa kiungu ili kuandaa taifa kwa hatua mpya. Katika mtazamo wa kinabii, dhoruba za kijamii, kiuchumi, au kisiasa ni ishara kuwa ulimwengu wa roho...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa watu zamani kwa mwanaume na mwanamke hata kiroho

    Wakati wa sasa ni watu wengi sana wanafahamu habari ya maandiko kutoka kwenye vitabu vya dini. Jamii ya kiswahili inafahamu uwepo wa dini nyingi na hasa dini mbili uislamu na ukristo. Watu wa zamani pamoja na mambo yote walielewa uwepo wa nguvu za aina mbili katika uwepo, yaani uwepo wa nguvu...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

    Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa, Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

    DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika. Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto...
  17. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ulimwengu wa Roho: Siri 7 za Kichawi na Kiroho Kuhusu Paka

    Kwa karne nyingi, paka hawajawahi kuwa wanyama wa kawaida wa kufugwa. Tangu enzi za Misri ya Kale hadi zama za wachawi wa Ulaya, viumbe hawa wameonekana kama madaraja kati ya ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho. Hizi hapa ni siri saba zinazothibitisha nguvu zao za kichawi: Macho yao huona...
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu epuka mambo haya (7) kiroho sio mazuri

    NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI 1)USIPENDE KUFAGIA USIKU 🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani 2)KUSHIKWA KICHWA 💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa epuka kabisa mtu kushika kichwa chako mtu anaweza kukugeuzia mambo kupitia kichwa chako 3)SEHEMU...
  19. JamiiForums Tanzania Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  20. JamiiForums Tanzania Lango la Kiroho la July 1 na uhusiano wake katika Ulimwengu wa Giza

    Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa. Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni majira ya mpito ambapo milango ya kiroho hufunguka ili kuruhusu mabadiliko ya kiutawala, tathmini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…