kirahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais nikuombe usihalalishe kupanda kwa bei kirahisi hadharani unahujumiwa sana

    Mh. Rais Samia kurasimisha kupanda bei hadharani kunahamasisha wafanya biashara kupandisha bei hata vitu visivyo hitaji kupandishwa gharama tena wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa Nikuombe mama usipende kuhalalisha hili la bidhaa kupanda bei hadharani kwa kauli na hasa ukizingatia wewe ni rais...
  2. JamiiForums Tanzania Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

    Sijajua ni kwa nini baadhi ya Wakristo wamekuwa wakisadikishwa na kuaminishwa na wao haraka haraka huamini na mwishowa siku hujikuta wakiwa mateka wa kifikra. Visa vingi sana tumeviona na tumevishuhudia vya watu kuuziwa kijifuko cha chumvi tu hii ya dukani kwa shilingi laki moja huku...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu haondolewi kirahisi mnavyodhania. Akiondolewa Baraza la Mawaziri linavunjwa lote

    Mnapiga ramli juu ya PM Kassim kuondolewa mnadhania ni rahisi kama mnavyodhania? Akiondolewa basi mtambue kuwa baraza zima linavunjwa na raisi anateua na kuapisha upya. Someni ibara ya 57(2)(e) ya katiba ya JMT na muache kukurupuka kupiga ramli za kishamba.
  4. JamiiForums Tanzania Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

    Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume: Only smartness itakufanya uwachakate wadada kirahisi sana

    Kitu ambacho nimegundua, mwanaume ukiwa smart (unavaa vizuri,unakuwa msafi, unajijali , unafanya mazoezi ya viungo kuimarisha afya, unakula vizuri, yaani smartness in general) basi utawavutia wadada wengi sana na utawachakata mno na wengine watakuwa wanakutongoza wenyewe. NB: SIJAZUNGUMZIA...
  6. JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kufungua website yoyote iliyozuiwa kwa kutumia kivinjari cha opera

    Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa. kuna browser inyoitwa opera, hii ni browser kama ilivyo kwa google chrome, lakini imeboreshwa zaidi kwa kuwekewa ndani yake feature ya vpn, huna haja ya kudownload vpn, ukiwa na opera ushamaliza mchezo. 1. ingia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe tunaachana na Maamuzi ya Hayati na kufanya aliyoyakataa ili tupate kirahisi Pesa za Mabeberu na watufanye watakavyo?

    Hongereni kwa Ubunifu huo wa Kinafiki wakati nanyi pia mlikuwa ni sehemu ya yaliyokuwa Maamuzi ya Hayati huku mkisimama Hadharani Kuyapongeza na Kuyaunga mkono, ila leo baada ya Kumhifadhi Milele Kanda ya Ziwa mmembadilikia ghafla. Sasa KEROZENE nasubiri zangu kwa hamu mkubali na Pesa za hao...
  8. JamiiForums Tanzania Kila nikizunguka Tanzania naiona legacy ya hayati Magufuli ambayo haitafutika kirahisi

    Nikitembea kwenye barabara za lami ambazo alizisimamia kwa zaidi ya miaka 20 na kurahisisha usafiri hapa nchini naona hayati alilitendea jema taifa letu. Vipi kuhusu Mfugale Flyover na Kijazi interchange! Leo hii Kibaha mpaka Mbezi foleni ni story iliyosahaulika. Stand ya kisasa ya ya...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la wajenga mabanda holela na kujiita Wamachinga Suluhu yake haitapatikana kirahisi

    Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
  10. JamiiForums Tanzania Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

    Ukitulia kabisa na kama tokea mwanzoni umeangalia Kesi ilivyoanza na inavyoenda huhitaji Akili Kubwa sana kujua kuwa ni Kesi ya 'Kimkakati' zaidi na lazima lililopangwa litokee. Kwa nia njema tu nikaja na Threads zangu Mbili ( ambazo hata hivyo mpaka leo sijui kwanini ziliunganishwa au kufutwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, wajua smartphone zina dhahabu kwa hiyo ukizikusanya nyingi zilizoharibika unajilia hela kirahisi

    Simu Janja zinatengenezwa kwa madini kadhaa ikiwemo dhahabu, fedha, platinamu, shaba na paladi. Ukikusanya simu nyingi na kuvuna madini hayo unaweza kuwa milionea ndani ya muda mfupi sana Imeajwa kuwa Iphone ina gramu 0.034 za dhahabu hiyo ni sehemu ya utajiri unaobaki hata baada ya simu...
  12. JamiiForums Tanzania CCM haiwezi anguka kirahisi, ina kila namna ya kuwa-reward makada wake

    Habari wakuu. Baada ya kusoma kiarticle fulani, nimeona kitu hiki. Tawala nyingi huanguka kutokea ndani. Si kitu rahisi watu kutoka nje kuangusha utawala ambao upo established. Mfano ni Rais wa Misri Mubarak, alianguka baada ya majenerali kuacha kumuunga mkono. Mambo yanayoweza sababisha watu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

    Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama. Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa muda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…