ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena,
Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu...