kioo

  1. Uliyepitia mambo magumu: Vitu kwenye kioo cha kuona nyuma vinaonekana karibu kuliko uhalisia

    Hayo si maneno ya busara toka kichwani kwangu bali toka kwa mwanamuziki Hayati Lucky Philip Dube. Anasema "Inaonekana kama vile kila kitu kilitokea jana tu" anaendelea kusema "Machozi hayawezi kuleta furaha bali furaha inaweza kuleta machozi" Hapa anamaanisha nini? Kulia sababu ya jambo lolote...
  2. Kioo cha iPad 2

    Nahitaji kioo cha iPad 2 kwa mtu yoyote ambaye anacho au anaweza kujua wapi nitakipata anijulishe kwa pm tafadhali
  3. K

    Kioo cha PC aina ya ACER kimevujia wino. Naweza kusafishiwa kikawa safi au hadi niweke kingine?

    Habari zenu wakuu kioo changu cha PC kimevujia wino naweza kusafishiwa kioo kikawa safi au kunaulazima wa kununua kingine, msaada tafadhali
  4. Msaada wa kupata kioo cha Samsung galaxy S7 edge

    Wakuu habari zenu,ni matumaini yangu mnaendelea vizuru Mungu atupe uzime hili janga lipite Nina simu yangu ya Samsung Galaxy S7 edge imepasuka kioo Kam kun mtu yeyote anayeweza nisaidia kupata kioo Cha mkononi maana dukani kina Bei NAOMBENI MSAADA WENU WADAU NA MAFUNDI simu
  5. Nauza Vioo vya laptop (2) vizima kabisaa pamoja na keyboard ya dell inspiron 15

    Je una laptop iliyovunjika kioo Nina laptop mbili za Dell inspiron 15 Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee. Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6) bei ya kioo nitakufaanyia kwa 90,000 tu pamoja na kukufungia pia nina keyboard nzimaaa Keyboard nauza 40,000...
  6. Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael ya Israel pamoja na Atos ya Ufaransa ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" ama "Glass Battlefield"

    Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael pamoja na Atos ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo" Kampuni ya uzalishaji wa mifumo ya kijeshi ya Rafael (Rafael Advanced Defense Systems) ya Israel imeshirikiana na kampuni ya Atos (Atos Information Technology) kwenye mradi unaohusu uundwaji wa "uwanja wa...
  7. Afrika Kusini: Mwanamke aliyeweka vipande vya kioo kwenye uji wa mwanaye ashtakiwa kwa kesi ya mauaji

    Mwanamke mmoja wa Limpopo, Afrika Kusini apelekwa mahakamani, kushitakiwa kesi ya mauaji ya mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi n moja (11) Nhabiseng Mokwana, 28 anadaiwa kumlisha mtoto wake uji aliouweka vipande vya kioo jambo lililosababisha kifo cha mtoto huyo. Mwanamke huyo alikamatwa wiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…