kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nini kinamfanya Emmanuel Nchimbi kuwa na furaha muda wote kuliko kiongozi yeyote nchini?

    Mayi! Mimi mwenyewe au nanyi mwaona? Yaani Emmanuel bhana anafuraha muda wote kuliko kiongozi yeyote hapa nchni. Anayefuata ni Baba Levo. Nyie embu nijuzeni kunani? Maana sio bure. Jamaa yenyu stress Hana. Amzidi furaha Mama Samuya, samuya body language yake tuu yaonyesha ako na stress full...
  2. JamiiForums Tanzania Je sheria za nchi haziruhusu kiongozi wa nchi kujiuzulu nakama zinaruhusu ni sifa/vigezo vipi ambavyo kiongozi wa nchi akiwanavy anapaswa kung'atuka?

    Taasisi ya urais imetoa sana kundule kwenye boliti ya wenzao lakini hakuna matokeo chanya. Je nyani haoni macho kwenye vibanzi? Kati ya watu 70miloini hakuna anaeweza bali yeye tu? so Why!? Mbona kama jahazi linazama mdogo mdogo, ina maana hakuna namna yoyote ya kuleta hari shwari! Kama zipo...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini kiongozi Mzanzibari asipokubalika Tanganyika kwa sababu ya Uzanzibari wake inakuwa ni ubaguzi?

    Kwa nini mtu bara au kwa lugha sahihi na iliyonyooka Mtanganyika hawezi kupata kabisa nafasi muhimu za uongozi huko Zanzibar na haionekani ni ubaguzi ila Mzanzibar anaweza kupata nafasi yoyote ya uongozi hapa bara/Tanganyika ila watu wa Watanganyika wakipinga au wasipopendezwa na hili jambo...
  4. JamiiForums Tanzania Kufuatia vitisho vya Masheikh Kwa TEC, Sasa kama ni Mbwai Wacha iwe Mbwai , Hatutaruhusu UHAI WA KIONGOZI DINI UKRISTO KUGUSWA, 9 Dec ni Maandamano

    Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC. Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha Kanisa ili waingie kwenye huo upuuzi wenu wa MARIDHIANO, Umeshindwa. Hata mchochee Mpasuko wa KIDINI ili...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yeyote fisadi na mwizi

    Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yoyote fisadi na mwizi. kumpindua mwizi na fisadi sio kosa. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi, taifa linaweza kuwepo bila rais lakini haliwezi kuwepo bila wananchi, kwamba wananchi ndio wanaunda rais mtu akijichagua yeye mwenyewe...
  6. JamiiForums Tanzania Nathibitishiwa hapa kiongozi wa banana republic ni mateka wa wanamtandao

    Mwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29...
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi mwandamizi wa Redcross ako nchi jirani yule Askofu atumia zoom

    Bado haijulikani kitajadiliwa kitu gani lakini najuzwa ni hayahaya ya kuzamisha majini manuwari ya mtandao. Najuzwa kabla ya 912 kuna tukio la ajabu la kimafia linasukwa sijui kwa kweli. Jambo moja Redcross wanajiamini nalo ni kutotambulika. Hawajulikani ni kina nani. Wengi wao hawafuatiliwi...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna kiongozi yoyote anayehoji wala kufuatilia suala la mzee wa Cuba?

    Humphrey kwenye wasilisho lake la mwisho alisema kuna wazee wameshanunuliwa na wameuza utu na heshima Yao kwa shetani Alisema wanajiandaa kwa maridhiano feki na akasema atarudi tena kufafanua zaidi, alionekana akiongea kwa haraka na mashaka. Baada ya wasilisho lile umma wa watanzania hawajapata...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda ni kiongozi anayekuvunja miguu gizani halafu anakuletea magongo hadharani

    Hivyo ndivyo Makonda alivyo.. Hana huo uzalendo wa hivyo. Ni jambazi anayeweza kukujia usiku akakutoboa macho na akakuletea miwani mbele ya waandishi wa habari.. Kwa ufupi tu Makonda ni katili kuliko ukatili wenyewe..
  10. JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye ya Mungu hawezi kufurahishwa na haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini

    Ni wendawazimu pekee wanaoweza kufurahia ushuzi huu nchini eti kiongozi mkubwa kabisa anaongea utumbo mbele ya vyombo ya habari eti walipigwa risasi sio watz ni raia kutoka nje, wakati watoto wetu dada zetu na wajomba zetu wamepigwa risasi wakiwa nyumbani swali hawa ni raia wa kigeni? Nahisi...
  11. JamiiForums Tanzania Daniel Sillo, Kiongozi anayejitengeneza historia katika siasa za Tanzania

    Mbunge wa Babati Vijijini, Ndugu Daniel Baran Sillo, ameendelea kuandika historia katika medani ya siasa nchini, hususan mkoani Manyara. Safari yake ya kisiasa ilianza kwa uthubutu na ujasiri mwaka 2015, alipojitosa kwa mara ya kwanza kuwania ubunge, ingawa hakufanikiwa. Hata hivyo, hakurudi...
  12. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amkabidhi nyaraka za kazi Rais Samia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa nyaraka za kazi kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kuwasili katika Ofisi yake Ikulu Chamwino, akiwa tayari kuanza rasmi majukumu yake baada ya kuapishwa.
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanganyika tu vinavyomchekea Kiongozi anayeua raia wao

    Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao. Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa, Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa wananchi makundi yote, abarikiwe

    Salaam! Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama. 1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea. 2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea. 3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea. Kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Alaah Salah kiongozi wa Gen Z wa Sudan mwaka 2019, na je amefanikiwa kiasi gani kuijenga Sudan mpya

    Maaka 2019 Alaah Salah alikuwa na umri wa miaka 22 huku akiwa mwanafunzi wa mwaka wa 2 pale University of Sudan. Aliongoza na kuhamasisha maandamano yaliyomtoa Omar Bashir madarakani. Mpaka sasa Omar Bashir yuko kifungoni akitumikia adhabu ya makosa ya jinai aliyotenda. Hapo awali Sudan...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli: Kuna tofauti kati ya Kutiki na kuchagua kiongozi anayefaa kwa taifa lako

    Kutiki maana yake ni kuweka alama.ya vyema. Hata kama ulichokiwekea alama ya vyema hakifai kwa manufaa yako. Lakini kuchagua ni kupambanua kile kilicho chema kwa manufaaa yako na taifa lako. Hivyo hata kama wanaokwenda kutiki watatiki tu kama mkumbo. Lini watatiki?
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano yamefanikiwa sio mpaka barabarani. Kitendo cha kila Kiongozi Kuimba maandamano ndio mafanikio yake

    Watawala ni muda kubadilika wenye mamlaka ya Mwisho ni Umma nguvu ya Umma haijawai kushindwa na Chochote Amiri Jeshi Mkuu Uwa anakimbia kupitia mlango wa Nyuma naomba watawala badilikeni Muda hauko Upende wenu jitafakari sana kitendo cha Nyie kuimba maadamno kuanzia Rais mpaka viongozi wote ni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine anamuona Dkt. Bashiru kwenye nafasi kubwa sana pengine kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi?

    Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
  19. W

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yeyote wa umma anayekuwa milionea katika ofisi za Serikali ni mwizi

  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi Asiyekemea Utekaji na Kupora Demokrasia ni Shetani wa Dunia

    Katika nyakati ambazo dunia inapiga hatua kuelekea ustaarabu wa kweli wa kisiasa, bado wapo viongozi wanaogandamiza misingi ya haki, uhuru wa kiraia, na demokrasia. Katika mazingira haya, haiwezi kuwa kosa kumuita kiongozi wa namna hii "shetani wa dunia", ikiwa hataki kukemea utekaji wa raia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…