kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  2. M

    UJIJI: Wazee wa UJIJI -KIGOMA wasema hawajawahi kuona Kiongozi aliyeujaza Uwanjani wa Lake Tanganyika kama Rais Samia

    KIGOMA WAMPA MAPOKEZI YA KIHISTORIA RAIS SAMIA SULUHU, ANATAJWA KUWA NDIO KIONGOZI ALIYEVUTA WATU WENGI ZAIDI LAKE TANGANYIKA Wananchi wa mkoa wa Kigoma wampa mapokezi makubwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan uwanja wa CCM Lake Tangayika. Mapenzi haya...
  3. I

    Kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab auawa na majeshi ya Marekani nchini Somalia

    Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia. Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye kiongozi wake mkuu Bw. Osama bin Laden naye aliuawa nchini Pakistan na vikosi vya vya jeshi maalumu...
  4. J

    Mwanaume wewe ni mwamba, kichwa na kiongozi. Kaa kwenye nafasi yako

    Habari wana JF, Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze kwasababu yeye ndiyo dereva anatakiwa kuwa na uhakika wa safari yenu na ramani ya huko mnakoelekea...
  5. Naomba mawasiliano na kiongozi wa Yanga, nina pendekezo

    Wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nikutanisha ni viongozi kati ya hawa Ally Kamwe, Manara, Rais, hata kama si kukutana nao basi mawasliano tu maana mimi sipo Dar. Nina pendekezo liitwalo "Timu Yangu, Jezi Yangu, Kadi Yangu", humu kuna namna ambayo timu inaweza ikaingza pesa nyingi sana kupitia...
  6. Watangazaji wa CMG mliomfanyia 'Interview' Kiongozi Mstaafu katika 'Birthday' yake Jana mmeiabisha 'Tasnia' nzima

    Kwanza hamkujipanga vyema kwa Coverage yake ndiyo maana hata Mitambo yenu kila Saa ilikuwa inakatakata hali ambayo Iliboa na Ilituboa zaidi. Pili wenye Akili akina GENTAMYCINE tulitegemea kwa Chombo cha Habari kupata ile Fursa basi ndiyo mngeitumia Kumhoji Mambo ( Maswali ) ya Msingi ya kuhusu...
  7. Aliyebahatika kusoma na mtoto wa kiongozi kwenye shule za kata aje hapa

    Pasina kupoteza muda naomba kujua hizi shule zetu za kata ndizo hata watoto wa viongozi wetu wanasoma? Kwa mwenye uzoefu aje atueleze Hali ilikuwaje na mlikuwa mnawachukuliaje? Na wao walijionaje?
  8. Utafiti: Watanzania wana hofu ya kukosa huduma za kijamii wakimchagua kiongozi wa upinzani

    Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani. Utafiti huo wa Repoa walioufanya kwa kushirikiana na Taasisi ya Friedrich Ebert Stiftung ya nchini Ujerumani, mwaka 2021...
  9. Je, mbunge Luhaga Mpina ndiye aliyechukua nafasi ya kiongozi wa upinzani Bungeni?

    Kama mjuavyo, kutokana na namna ya uchaguzi mkuu ulivyofanyika hapa nchini mwaka 2020, hakuna Mbunge yeyote wa upinzani aliyechaguliwa, isipokuwa wawili tu ambao ni yule mama wa Chadema, aliyechaguliwa kutoka mkoani Rukwa na Mbunge mwingine wa upinzani kwa tiketi ya CUF toka mkoani Mtwara. Kwa...
  10. Kiongozi wa upinzani Gabon atakiwa kutotoka nje ya nyumba yake

    Kiongozi wa upinzani wa Gabon, Guy Nzouba-Ndama, amewekwa chini ya kizuizi cha nyumbani ikiwa ni siku tano baada ya kukamatwa kwenye mpaka wa Congo akiwa na mabegi yenye zaidi ya dola milioni 2. (Tsh. Bilioni 3). Kukamatwa kwake kulirekodiwa na kufunguliwa kwa masanduku hayo kuchapishwa kwenye...
  11. Muda ni protocol ya usafiri kwenye msiba wa Malkia, kila kiongozi angetumia usafiri wake kungekuwa na foleni

    MARAIS WA AFRIKA KUPAKIWA KWENYE BUS NI DHIHAKA? Na Abbas Mwalimu (0719258484). Jumatatu tarehe 19 Septemba, 2022. Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu viongozi wa Afrika kupakiwa kwenye usafiri (bus) wa gari moja wakati wakielekea kwenye ibada ya mazishi Westminster Abbey. Swali ni je...
  12. T

    Utabiri: Huenda kiongozi mkubwa wa Taifa kubwa duniani siku zake zinahesabika

    Uwenda Siku za kiongozi mkubwa a Taifa fulani sasa zinahesabika kama mshale wa saa. Yes kuna kila dalili jamaa anataka tumia silaha hatari za maangamizi kwenye ugomvi ameuwanzisha yeye mwenyewe na ni ukweli usio pingika. Mipango yake hata kabla yakuwa dhahiri wenzake walisha juwa nia yake na...
  13. Huyuk kiongozi wa Chadema ndio kusema hataki panya road kudhibiwa? Au ndio kupingapinga tu. ? Mkimbizi ni mkimbizi tu.

    Tungesikia malalamiko ya ndugu za marehemu kuwa haki haikufanyika sawa. Sasa hawa analalama nini?
  14. Dar es Salaam inataka kiongozi mbabe na mafia hasa siyo huyo mswahili

    Makala haiwezi Dar es Salaam na kamwe hatoiweza kwa sababu ni mswahili mno! Dar es Salaam ni Jiji lihitajilo Kiongozi mafia hasa kwa sababu ya uwingi wa wakazi wake kuwa ma mafia. Makundi kama Panya Road si ya kuyapigia ngojera kwenye mic kisiasa bali ili yakomeshwe inapasa umafia ndaniye...
  15. Sabaya kiongozi Mkuu wa Upinzani baada ya 2025 anayetengenezwa kimkakati na CCM. Ubunge. ukuu wa wilaya na mkoa wala uwaziri si level zake

    Sabaya kwa Sasa ni mwanasiasa mwenye mvuto kuliko wote Tanzania ni kwa sababu CCM wamemtengeneza kimkakati Utawala uliopo uko tayari kabisa kumkuza Sabaya na kumpa nguvu zote kuliko Upinzani uliopo . Mvuto kisiasa wa Sabaya ni zaidi ya Mtanzania yeyote sauti yake inasubiriwa na vijana wengi...
  16. T

    SoC02 Wino wangu kwa Kiongozi

    UTANGULIZI Neno Kiongozi limebebwa na neno ‘nafasi’ ambayo inakamilisha uwepo wa icho cheo yaani ‘’KIONGOZI’’ Ni vizuri kuelewa katika maisha tunayoishi leo kuna mwanzo wake vivyo hivyo kuna mwisho wake,kujikumbusha ni swala la muhimu sana hili nafasi zetu tunazopata duniani iwe ni kwenye...
  17. Naibu waziri wa maji, Mhandisi Marryprisca Mahundi ni Kiongozi shupavu mfano wa kuigwa

    Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania. Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza...
  18. Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambano

    Asema ni kosa kubwa sana limefanyika na litagharimu pakubwa, haamini macho yake majeshi ya Urusi yanaacha silaha za kila aina na kutoroka. Chechen ambao ni wapiganaji wa kiislamu walijitokeza kuisadia Urusi kwenye hivi vita ila sasa hivi hali imekua sio tena. Ramzan Kadyrov: ‘If today or...
  19. Kiongozi asiye mzalendo na anayejali tumbo lake huwa hana huruma na raia masikini na wasio na uwezo

    Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma. Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira. Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma. Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
  20. Kenya2022 Rais Uhuru Kenyatta: Nitakabidhi Madaraka nikiwa natabasamu lakini kiongozi wangu ni Raila

    President Kenyatta: I Will Hand Over Power Smiling, But Raila Is My Leader President Uhuru Kenyatta now says that he will gleefully hand over the reins to president-elect William Ruto on September 13, 2022, when his former deputy takes his oath of office. Speaking on Wednesday when he met...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…