kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zitto ni mjanja sana, Ofisi za ACT Wazalendo mikoani zina picha yake ukutani na sio picha ya Kiongozi wa sasa Dorothi Temu

    Staili za Vladimiri Putini wa Urusi.
  2. JamiiForums Tanzania Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  3. JamiiForums Tanzania Bw, Mnyika kama kiongozi uliyesaidia transitional, how do you survive?, maswali ni mengi sana!

    Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia, #Pole sana bw. FAM.
  4. JamiiForums Tanzania Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anapokuwa Muongo

    NI kujulishana juu ya Viongozi wa Serikali ,kuanzia Mkuu wa Nchi akifuatiwa na ngazi mbali mbali hadi balozi wa nyumba kumi kumi. Ni kesi ngapi maarufu za kupotea watu maarufu ,tuwaweke pembeni kina sisi pangu pakavu. Watu maarufu waliojulikana na kuvuma , kurahisisha ni zile zinazowahusisha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ningalikuwa kiongozi ningalitenda haki

    Katika Uislamu, kuna hadithi maarufu sana inayosema kuwa kiongozi muadilifu atapata thawabu kubwa Siku ya Kiyama. Mtume Muhammad (SAW) amesema: (Hadith - Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim) Hii ina maana kwamba kiongozi anayehukumu kwa haki, anayewatendea watu kwa usawa, huruma, na uadilifu...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Makonda: Barabara Arusha ni ajenda ya kila kiongozi kuanzia ngazi ya mtaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema katika mkoa wake waliamua kuifanya ajenda ya barabara kuwa kipaumbele kuanzia kwa kiongozi ngazi ya chini hadi wa juu. Makonda ametoa kauli hiyo jana Jumamosi Aprili 26, 2025, wakati wa maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wa Kidini. Je, mwanamke anaweza kuwa Rais?

    Kwa sasa, tunaona mwanamke anayewania urais pamoja na chama cha siasa kinachotaka mgombea wao wa nafasi hiyo awe mwanamke. Hata hivyo, dini inasema bila utata kwamba mwanamke haruhusiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Anaweza kuwa makamu wa rais, waziri, au kushika nafasi nyingine za uongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa vigogo wote wa serikali na wananchi kwa ujumla

    Kumbuka, umekuwa ukijulishwa vitu vingi; umekuwa ukipewa taarifa nyingi kabla ya wewe kutenda au kutendewa chochote. Umejiaminisha kuwa hakuna kitu chochote kibaya au kizuri kitakachokupata bila wewe kuwa na taarifa ya mapema. Lakini, wakati wako wa kuaga dunia ukifika—muda wa kufariki...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Wilaya ya Maswa anayedaiwa Kuhujumu Mafuta ya Magari ya Serikali Afichuliwa

    Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi. Kwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania sisi tumesema no reform no election viongozi wa ccm wanatabiri vurugu mbona kila kiongozi anasitiza amani

    no reform no election sio vurugu wala nini kichatakiwa hapa ni mabadiliko
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania tumekosa dira, kila kiongozi anakuja na mapendeleo yake!

    Nchi inaenda kwa kufuata kiongozi mkuu anataka nini, ila haifati kuwa kwasasa kama nchi tunahitaji nini..! Si mbaya kiongozi kuwa na vipendeleo vyake lakini ni vyema mapendekezo ya nchi kwa wakati huo yanatakiwa yapewe kipaumbele!. Leo anakuja rais anaependa nakuamini ktk uanzishwaji wa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Isichukiwe Kwa vile ni CCM, wala Kiongozi wa CCM Asichukiwe Kwa Sababu tu ni Kiongozi Wa CCM, Bali Kwa Matendo Yao

    Kati ya watu walioonekana kumwunga sana mkono Rais Samia mara baada ya yeye kutangaza 4R, walikuwa ni wanachama na wapenzi wa vyama vya siasa vya upinzani, na wapenda demokrasia wote wanaoipenda nchi yao kwa dhati na kweli ya moyo. Watu hao hao ndiyo leo hii wanaonesha kumchukia sana Rais Samia...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila kujali chama au cheo tofauti na Nyerere ni kiongozi gani nchini ana ueledi, unyenyekevu, uwajibikaji na utekelezaji?

    Bila kujal chama au rank, tofauti na nyerere ni kiongozi gan katika historia ya taifa letu anatik box za ueled, unyenyekevu, uwajibikaj na utekelezaji Moja ya kitu cha kishujaa niliwahi kuona ni pale Nyerere alipo admit makosa yako katika hii interview aliyofanya tena akihojiwa na mtu alie...
  15. JamiiForums Tanzania NI lini tutapata Kiongozi mwenye upeo mkubwa kama huyu Mzee?

    Nimesikiliza hii clip huyu Askofu ana upeo mkubwa Sana, nilichogundua pia ana kipaji cha kufundisha MTU akelewa. Hawa jamaa (ROMA) ndio maana wanaitawala dunia, shule Sana aiseee. Hivi wa upande wa pili (BAKWATA) ana uwezo wa kusimama kuyazungumza haya Kwa maslahi ya taifa?!
  16. JamiiForums Tanzania Siyo kila mwanasiasa ni kiongozi

    Makala ya Kitaaluma Na Alloyce, P.R. Utangulizi Katika historia ya siasa za Afrika na duniani kwa ujumla, mara nyingi jamii imekuwa ikiwachukulia wanasiasa wote kama viongozi. Mwelekeo huu umekuwa na athari mbaya kwa maendeleo ya kidemokrasia, utawala bora, na ustawi wa wananchi. Wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 & COVID 19, kipimo sahihi cha kumpima Tundu Lissu kiuongozi

    Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leadership character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi. Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi mwenye Mamlaka Simiyu anatishia vijana wanaopinga mawazo yake

    Habari za Muda huu ndugu zangu na wanafamilia wa NYANZA FM COMMUNITY!? Binafisi najua mko salama Kwa asilimia kubwa na niseme poleni kwa wenye changamoto mbalimbali zinazo wakabili. Nimesoma maandiko na comment za watu wote humu kuanzia Jana asubuhi. Nishukuru na niwapongeze nyote mlioweza...
  20. JamiiForums Tanzania DRC kuwekewa vikwazo na FIFA baada ya kiongozi wa soka la wanawake, Olive Kiloha kufungwa Machi 28

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF), Kiloway Kiloway kukamatwa na kufungwa Machi 28, mwaka huu. Olive Kiloha amezuiliwa katika Gereza la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…