Jamat, Naibu Mkuu wa Ujumbe wa Kidiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, alitambulishwa bungeni baada ya kukamilika kwa uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali 2026/2027, ambapo wabunge walipiga shangwe kubwa
Hii inashiria nini zaidi kwa wabunge na nchi kiujumla
Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni.
Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani, hajaonekana hadharani tangu achukue madaraka, Mahali alipo hata haijulikani wazi
Netanyahu anaendelea...
Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, ametembelea Ubalozi wa Iran nchini Tanzania kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, aliyefariki tarehe 28 Februari 2026.
Khamenei, aliyeiongoza Iran kwa miongo...
Mvutano kati ya Marekani na Iran una mizizi ya kina katika historia, itikadi na mapambano ya madaraka, na kupanda kwa nguvu kwa Maimamu Wakuu (Ayatollah) kulibadilisha kabisa uhusiano huo. Ili kuelewa kama Ayatollah alikuwa “tatizo” kwa Marekani na Iran, ni lazima tuanze kabla ya Mapinduzi ya...
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mara ya kwanza ameweka wazi hadharani kuwa maelfu ya watu waliuawa wakati wa maandamano ya hivi karibuni nchini humo.
Akizungumza katika hotuba yake siku ya Jumamosi, Khamenei alisema maelfu waliuawa, “baadhi yao kwa njia zisizo za kibinadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.