kinyume na sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ukuswanywaji huu wa Taarifa Binafsi kwa wakazi wa Masaki si sawa. Sensa ilikuwa ya nini?

    Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa. Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
  2. Idugunde

    TCRA wanakiuka ibara 18 ya katiba ya JMT . Mpaka sasa hawajaifungulia JamiiForums kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi hii

    Ibara ya 18 ya katiba ya JMT imempa kila mtanzania haki ya kushiriki katika mijadala, kupeana taarifa na kuwa huru kupata habari. Kifungo cha Jamii forum jukwaa ljnalowaunganisha dunia nzima Watanzania kilisha keo saa sita usiku. Lakini mpaka sasa hivi Jamii forum haijafunguliwa Jambo ambalo...
  3. R

    PostGE2025 Wakili Madeleka: Kesi ya Mange siyo halali ni kinyume na sheria

    Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana kwamba siyo halali akibainisha sheria ya uhujumu uchumi sura ya 200 huwezi kumshataki mtu ambaye...
  4. R

    PostGE2025 TEC: Kukataa majeruhi wasitibiwe, kufichwa na kunyimwa miili ni kinyume na sheria, watu wapewe maiti za ndugu zao wazike

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia Novemba 11 hadi 14, 2025 kwa matukio yalyotokea nchini Oktoba 29, iliyogubikwa...
  5. R

    Raia saba wa China wahukumiwa miaka 20 jela kwa kusafirisha na kuwatumikisha raia wa Malawi Afrika Kusini kinyume na sheria

    Mahakama jijini Johannesburg imewahukumu raia saba wa China kifungo cha miaka 20 jela kila mmoja kwa kosa la kusafirisha binadamu kutoka Malawi na kuwalazimisha kufanya kazi kiwandani nchini Afrika Kusini. Kundi hilo lilikutwa na hatia Februari 25 kwa kuwasafirisha raia 91 wa Malawi wasio na...
  6. Mshana Jr

    Wamiliki silaha kinyume na sheria kusamehewa

    Jeshi la Polisi kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 66 cha Sheria ya Udhibiti wa Silaha na Risasi ya Mwaka 2015, Sura ya 223 na marejeo ya mwaka 2023 ametoa msamaha wa kutoshitakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume...
  7. chiembe

    Polepole ashtakiwe kwa kutoa siri za serikali kinyume na sheria ya usalama wa taifa

    Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana. Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
  8. Genius Man

    Bushungwa CHADEMA walikuuliza kuna watu walikamatwa na Jeshi la Polisi na kutupwa msituni kinyume na sheria je hili lina baraka zako mbona huliongelei

    Kuna watu wasio na hatia walikwamatwa mahakamani walipoenda kumfariji kiongozi wao lissu na kupigwa kisha kutupwa msituni, Sasa CHADEMA na Watanzania walihoji kuhusu hili suala linalo kiuka haki za binadamu kwamba zina baraka za waziri Bashungwa au laah?, Mbona hatuoni waziri akiliongelea...
  9. W

    Zaidi ya Degree 100 zimefutwa baada ya vyuo 15 kufanya kazi kinyume na Sheria Kenya

    Nimewaza tu kwa sauti kwamba mtu umepigika zako miaka mitatu ya kutafuta digrii alafu unakuja kufutiwa kwamba ni feki. =================================== Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu imetaja vyuo 15 vinavyofanya kazi kinyume cha sheria nchini Kenya na kuwaonya Wakenya kwamba vyeti vya kimasomo...
  10. K

    Watia nia mliotumia rushwa ili kupenya mmezikiuka taratibu za CCM

    Baadhi ya Watia Nia Uenyekiti wa Mitaa na Vitongoji mliomwaga mihela ya rushwa mkapenya mmezienda kinyume taratibu za CCM na kuikiuka sheria iliyopelekwa bungeni na Rais na kupitishwa, mnatajikiwa msipigiwe kampeni bali mpelekwe jela kwa unyang’au wenu. Nilisikika katika ulimwengu wa kiroho...
  11. Ritz

    ICJ: Israel imeyakalia maeneo ya Palestine kinyume na sheria

    Wanaukumbi. =========== THE HAGUE, Netherlands (AP) — The top United Nations court said Friday that Israel’s presence in the occupied Palestinian territories is unlawful and called on it to end, and for settlement construction to stop immediately, issuing an unprecedented, sweeping...
  12. Sildenafil Citrate

    Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023. === Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
  13. Nyankurungu2020

    Hayati Magufuli alisimama kidete Sheria ya Kulinda Rasilimali za Tanganyika ikatungwa. Leo hii Mkataba wa Bandari upo kinyume na sheria hii

    Kifungu cha 11 cha National wealth and reources (permanent sovreignty) kinazua makampuni yatayoingia mkataba na nchi yetu kutumia rasilimali kufungua kesi nje ya nchi kwenye mahakama za kitaifa. IGA ya mwarabu imeenda kinyume na sheria za nchi. Ila ilipitishwa na ikabarikiwa na mahakama kuu.
  14. Suley2019

    Korea Kusini: Google na Meta zapigwa faini kwa kuuza taarifa binafsi za watu kwa matangazo

    Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria. Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliamua kutoza faini ya bilioni 69.2 na bilioni 30.8 dhidi ya Google na...
  15. kookaburra

    Mapenzi kinyume na sheria

  16. beth

    Tunisia: Rais Kais Saied avunja Baraza Kuu la Mahakama, Majaji wasema ni kinyume na Sheria

    Hali ya Kisiasa Nchini Tunisia imezidi kudorora baada ya Rais Kais Saied kusema anavunja Baraza Kuu la Mahakama, kitendo ambacho kimetajwa kuwa kinyume na Sheria, huku Majaji wakisema hawatokaa kimya. Rais Saied amewashutumu Majaji kwa upendeleo na ufisadi. Mwezi Julai 2021, alijiimarishia...
  17. figganigga

    Issa Shivji: Ufutaji wa Uchifu Kisheria, ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa

    Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali. Ufutaji wa...
  18. waziri2020

    Kesi ya Mfanyabiashara Salehe Alamri kumiliki silaha kinyume na sheria yapigwa kalenda hadi September 28, 2021

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa jana katika mahakama ya hakimu mkazi wilayani Babati mkoani Manyara . Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa Jana na hakimu wa mahakama hiyo,Kimario hadi September 28 mwaka...
Back
Top Bottom