kinondoni

Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dar: Jeshi la Polisi limewaua waliowahi kuwa Askari wake katika tukio la Ujambazi

  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni. Wote Mnakaribishwa.
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anatarajia kushinda uchaguzi wa jimbo

    MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2. Kubenea ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Oktoba 2020 wakati anazungumza na wanahabarii jijini Dar es Salaam, kuhusu mwenendo wa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Nukuu za Ndugu Humphrey Polepole Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Makongo Juu - Kinondoni

    NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI 11 Oktoba 2020 1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa Dawasco wawepo hapa kumaliza tatizo la maji, wasipofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi tutalala nao...
  5. JamiiForums Tanzania Ma HR wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Kinondoni wanaringa sana mpaka wanakwaza

    Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta. Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…